YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,056
Putin Anakimbia vita alimpa masaa 24 Raisi wa Ukraine ajiuzulu la sivyo Russia itamuondoa kwa nguvu imeshindikanaHizo taarifa zote ni ukweli japo hamtaki kuuskia Warusi wa Gongo la Mboto, operation iliyokusudiwa siku chache imebuma, Kiev imeshindikana, Urusi wameanza mkakati mpya wa kutafuta pakutokea, useless kabisa, na njaa inawauma balaa maana malori ya supplies yalipigwa mabomu yote, majenerali wameuawa, wanajeshi wengi wanaumwa Frostbites, waziri wa ulinzi hoi, Putin ana hamaki hajui ashike lipi, uchumi wa nchi unaangukia pua.
Mwezi wa pili sasa Zelensnkyy Raisi wa Ukraine anadunda mzima na anamtwanga mrusi