Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wacha kujitapa tapa hapa ........
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
...Two 2 wew labda upo west ya huku mbagala ....em kakojoe ulale kwanza.....
typical muuza kahawa.....
 
Vietnam haikua jirani na Marekani, Urusi amedhihirisha udhaifu mkubwa sana kushndwa kuteka Kiev na tayari ameanza mikakati ya kutotoroka, useless kabisa.
Nyinyi Wakenya subilini uchaguzi muuawane kama mlivyo zoea haya mambo mengine yako nje ya uwezo wenu.

Nyinyi na Somalia si mpo jirani?
Vip alishababu mmesha ianamiza?

Sasa ni miaka kumi tangu mmeingia Somalia mmeshindwa kuliangamiza kundi la wahuni wasio zidi 30,000 kila siku linawahenyesha limesha uwa maelfu ya wanajeshi wenu.
 
Wale Pro NATO na propaganda zao kuhusu RUSSIA,
1. Gari zimeishiwa mafuta
2. Russia hawana chakula
3. Russia imeishiwa silaha imeomba china
4. Russia wanaua raia wasio na hatia
5. Russia hawana uwezo wa kukaa ukraine wiki uchumi wao mdogo
6. Majeshi ya Russia hayana morareee

Haya mtuambie sasa hizo propaganda zenu zimefikia wapi?? Mimi nilijua hamrudi tena kwenye huu uzi manake mmejaaa propaganda tu hamna hoja, mnaishia kutukana tu shenzi sana.

Pro NATO naombeni majibu yenu tafadhari sana manake ndo ulikua wimbo wenu humu ndani, bila shaka mmejifunza Russia sio Africa anajua anafanya nini.

Pro NATO nawapa ushauri bure kabisa
“Western media wants you to believe in a lot of lies. Don't be a fool. Do some research before believing anything you read”.
Russia is on the good side of thing.
#IStandWithPutin #istandwithrussia
 
Wale Pro NATO na propaganda zao kuhusu RUSSIA,
1. Gari zimeishiwa mafuta
2. Russia hawana chakula
3. Russia imeishiwa silaha imeomba china
4. Russia wanaua raia wasio na hatia
5. Russia hawana uwezo wa kukaa ukraine wiki uchumi wao mdogo
6. Majeshi ya Russia hayana morareee

Haya mtuambie sasa hizo propaganda zenu zimefikia wapi?? Mimi nilijua hamrudi tena kwenye huu uzi manake mmejaaa propaganda tu hamna hoja, mnaishia kutukana tu shenzi sana.

Pro NATO naombeni majibu yenu tafadhari sana manake ndo ulikua wimbo wenu humu ndani, bila shaka mmejifunza Russia sio Africa anajua anafanya nini.

Pro NATO nawapa ushauri bure kabisa
“Western media wants you to believe in a lot of lies. Don't be a fool. Do some research before believing anything you read”.
Russia is on the good side of thing.
#IStandWithPutin #istandwithrussia

Hizo taarifa zote ni ukweli japo hamtaki kuuskia Warusi wa Gongo la Mboto, operation iliyokusudiwa siku chache imebuma, Kiev imeshindikana, Urusi wameanza mkakati mpya wa kutafuta pakutokea, useless kabisa, na njaa inawauma balaa maana malori ya supplies yalipigwa mabomu yote, majenerali wameuawa, wanajeshi wengi wanaumwa Frostbites, waziri wa ulinzi hoi, Putin ana hamaki hajui ashike lipi, uchumi wa nchi unaangukia pua.
 
Na ndo maana us ..uk hawamsogelei wanajua jamaa ana nguvu za kuharibu dunia nzima .......
.[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
.wew unafkir urusi ni kenya .....hapo.nairobi tu ....alshabbabu tu wanawatoa jasho
WABONGO: NATO wanamuogopa Russia .

RUSSIA : Sitaki Ukraine ajiunge na NATO kwa usalama wa nchi yangu.

wataalam hebu tudadavulieni hapo. Nani anamwogopa mwenzie
 
Dollar share DROPS in global transactions


The share of the US dollar in global financial settlements dropped in February, according to the SWIFT interbank transaction system.


The use of the greenback fell 1.07%, down to 38.85% of all global transactions conducted via SWIFT. However, on a yearly basis, the dollar's share was still up by 0.42%.


The share of settlements in euro, on the other hand, rose in February by 1.23%, to 37.79%. The euro has increased the most among the top 5 global currencies year on year.
 
“There were shelling every day, but now it’s all over – Russia has entered. Everything is normal now."

Images from Mariupol, which show how difficult the humanitarian situation is in the city. People live without light and heat, and food is cooked right on the street near their houses. Saves only humanitarian aid from the Russian military.

“We saw shelling from the other side. You see the result yourself. There was one injured person… [AFU] moved further away, and everything is more or less normal. It's just this genocide, no help... hungry people have been sitting here for a month and a half. And they just pull out of what they have,” said one of the residents who remained in Mariupol.
Galip SV Liwagu
 
The Ministry of Defense showed the Buk-M3 crew, which, during a special operation in Ukraine, destroys air targets, including Bayraktar.

Deputy battery commander Vladimir said that now the main goals of his air defense system are enemy UAVs:

“You take up [combat duty] with the idea that you have to give everything as much as possible, 100%. So that those who are waiting for us at home can sleep peacefully, and in the future no one will disturb their sleep.”

The department noted that the young officer had already proved himself and was awarded the medal "For Military Valor".

 
A new round of negotiations is ahead, because we are looking for peace. Our priorities in the negotiations are known. Ukraine's sovereignty and territorial integrity are beyond doubt. Effective security guarantees for our state are mandatory. Our goal is obvious - peace and the restoration of normal life in our native state as soon as possible.
Galip SV Liwagu
images (4).jpeg
 
[emoji117] Ukraine haijamalizika kijeshi kwanza ndo limepanuka zaidi kutokana na silaha na wapiganaji wapya.
[emoji117]Ukraine inaongozwa na wayahudi sasa ukisema imekaliwa na wanazi inaonyesha ulivyokua mjinga
[emoji117]Ukraine tangia mwanzo haijapewa ndege vita hata moja na ndio maana wanazitaka wapeleke moto Moscow.
[emoji117]Putin amebadili msimamo baada kushindwa ichukua kyiv ndo kaamua kuelekea donbass.
Jamaa upo mweupe sana
 
Hizi zilikuwa bunduki za msaada majasusi wa urusi walifanikiwa kuzitorosha kutoka mpaka wa poland na ukraine mpaka khersan hawa majasusi walijifanya wanajeshi wa ukraini. Hii picha moja tu ila bunduki zimebebwa nyingi
View attachment 2166417
Ila wee mwanangu kusema la ukweli ni kwamba hunaga akili kabisa yaani empty set maana vitu unqvyopostig ninvya kipuuzi mno ni bora ata Pro Russia wenzio ila wewe duuuh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tunaambiwa apa hilo taifa wote mabilionea, hawana njaa inakuaje wanaenda adi mpakani uko kwa mexico kudodge just $2 kwa Gallon [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847] ina maana bei ka ya kwetu huku waswahili imewashinda au [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Maana hapa Tanzania kwa sasa 1Litre per 2500+

Wao 1Litre kwa 1$ ama 1Gallon per 4.5$ ni ile ile ka ya uswahilini apa na washaanza kukimbilia mpakani mwa Mexico walikokua wanakomaa kujenga ukuta [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]

Vipi au hao ni matajiri wa mchongo kama Pro USA wanavotuaminisha apa...
Bro umesoma ulichokiandika lakini mzee wangu au umepuyanga tu
 
Top news for the day:

- European Council President Charles Michel called on the international community to maintain a dialogue with Vladimir Putin;

- German Chancellor Olaf Scholz said that already in 2022, Germany will try to become independent from the import of coal and oil from Russia;

- Joe Biden, after a recent speech in Poland, assured that he did not call for a change of power in Russia;

- Kim Jong-un said that the DPRK will continue to develop offensive weapons.
Galip SV Liwagu
20220326_103402.png
 
Kabla hatujampa hongera tuzingatie kwanza msaada aliopewa kutoka magharibi na vikwazo alivyowekea urusi. Lakini pia tusisahau na dhamira ya urusi kuhusu raia wa kawaida (humanitarian corridors) na mazungumzo yanayoendelea pia size ya eneo la nchi ya Ukraine.

Ni 'eqn' moja yenye 'variables' nyingi. Ili tupate jibu sawiya ni lazima tuzifanyie kazi 'variables' zote.

Mimi sioni kama Putin amechelewa kumaliza 'operation' yake hapo UKR. Ila kama wewe unaona amechelewa na unafkiri ushujaa wa Zelensky na vikosi vyake ndio vimemchelewesha usisahau na hayo mambo mengine!

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app

Kuhusu muda: kwa maoni yangu, Urusi amechelewa kumaliza hii operation sababu ya USA na NATO, wao ndo hawataki imalizike haraka si Urusi. Ingekuwa imeshaisha. Fuatilia alichokisema Puttin wakati anatangaza operation yake uniambie kama ilikuwa ni jambo la zaidi ya mwezi.

Kuhusu Ukraine kusaidiwa: Ukifanya jinai kwa tajiri mkubwa ukashtakiwa kisha ukashindwa kupata mwanasheria wa kukuwakilisha akatokea tajiri mwingine akakulipia mwanasheria ukashinda kesi utapongezwa hatakama hukuwa na uwezo wa kushinda bila mwanasheria.
 
Wanazingua kinoma [emoji3][emoji3][emoji3]....wanapenda kuji mwambafai kwenye media[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]..blaaah .....blaaah....blaaa .....blaaha[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19] ...wakati PUT IN ...anawagonga kimya kimya .....yaani ni kupiga panapouma ....shenzi kabisa....afu na hivo vikwazo wanaviweka ..kumbe vinawafinya wao wenyewe........VIIIVA PUT 'IN'....VIIVA RUSSIAN.............afu mimi najiweka wazi urusi ikianguka bado mimi naiunga mkono ...sababu mwamba PUT IN ...anapigana na nchi karibu 30 ..na marekani wanafadhil hii vta upande wa ukrain.......[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji123][emoji123][emoji123]..VIIVA RUSSIAN ....AN 'PUTIN[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Safi sana
 
Back
Top Bottom