Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Nimeacha kusoma nilipoona historia ya Libya huijuiUnaua Sadam kisa maslahi binafsi wewe kama sio mnazi mambo leo ni nani?
Ukaenda Libya ukaua wananchi, ukaua na raisi nyie kama sio wanazi wa kisasa ni kina nani? We ni nani umpangie matumizi mali ya mtu? Kama sio ideology za Hitler ni nini?
Unawekea wenzako vikwazo unapoona wanakuja kukupita katika technology na uchumi (China) turejee tiktok, huawei n.k, nauliza huu kama si unazi mambo leo tuiteje wataalamu, hizi si ideology za kinazi?
Unampangia mwenzako matumizi ya kutumia uranium yake kwa matumizi ya amani kabisa ikiwemo kufua umeme, wewe kama sio mnazi ni nani?
Umezunguka duniani umeuawatu wasio na hatia kwa sababu ya maslahi yako binafsi, ikiwemo kudhamini vikundi kusababisha civil war mfano Africa, wewe kama sio mnazi ni nani?
Namuelewa sana Putin, acha akomeshe huu uxeng...
Wadau endeleeni kuweka list ya vitendo vya unazi mambo leo.
👉Arab spring ndo iliangusha nchi za kiarabu
👉Arab spring ilianza Tunisia kutokana na mfumuko wa bei
👉Gaddafi aliuwawa na raia wake ambae walichoshwa na udikteta
👉Huyo Gaddafi unaemlilia ndo alimfadhili Idi Amin kuvamia nchi yenu Tanzania