NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Eti sijui javelin ...javelin ....sijui upumbavu stinga ....misifa iliopewa hizi machuma chakavu mpaka nikaogopa kumbe mamidoli yenyewe hamna kitu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....VIIVAA PUT IN ..[emoji13][emoji13][emoji13]..VIIVA RUSSIAN PEOPLE[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji123][emoji123][emoji123]It is reported that fuel reserves in Ukraine are left for 5-10 days View attachment 2165947
Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
Jamaa waoga sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wenzao wa ukraine huku wamepigwa stop wasilete shidaWatu waandamana Tel Aviv, Israel, kumsapoti Putin na kupinga propaganda za wamagharibi dhidi yake
View attachment 2165610
Nyongeza nakazia wasichokijua USA anadaiwa kuliko mataifa yote duniani. Hakuna nchi isiyokopa. Ila mkopo wa USA umezidi GDP Nominal yake...Mzee unaona ujanja kupewa misaada? Ndomana mnaambiwa mkubali kupitisha ushoga na nyie mnapitisha kisa njaaa. Misaada ya US ni ya masharti sana kama hujui ndo nakwambia sasa ujue ukweli.
Wanakupa misaada unajua nyuma wanabeba nini?. Tunataka dunia yenye usawa kila taifa liwe na maslahi na rasilimali zake na sio kupangiana.
Hio mikopo ndo inafanya tuzidi kuwa maskini hio ndo agenda yao hwataki kuona African tunaendelea, Shida ya waafrica ipo kwa viongozi wakiona umenyooka wanaanza kuleta zengwe mfano mzuri libya, zimbabwe nk
Hao unawasujudu ndo wanafiki na wanaoleta migogoro na uvunjifu wa amani duniani. Hivi unaona ni sawa upewe msaada na ukubali kusaini kupitisha ushoga??
Tunavyoona nchi kama Russia wanasimama na kupambana na hawa jamaa inabd tumuunge mkono hawa washafanya dunia yao wengine takataka ndomana wanaamua kuleta masheria yao.
Ungekua unajua nyuma ya pazia hao jamaa mipango yao ni ya kishetani kabisa NWO, Walileta corona waliitarget china ila wakafeli now wanataka kumdhoofisha Russia na vikwazo lakin watafeli pia.
I STAND WITH RUSSIA [emoji635]
Uliona maiti zao au mnalishwa utopolo tu na Western Fake News Media.Hii bunduki ishaua magenarali wengi wa urussiView attachment 2165844
Mbona nasikia Russia ndo anakula kichapo au masikio na macho yangu yamezeeka?View attachment 2165963
Everyone on the planet needs to know what Russia is doing. So that the responsibility for crimes against the Ukrainian people becomes inevitable and as severe as possible for the Russian military.
View attachment 2165964View attachment 2165965View attachment 2165966View attachment 2165967
Photo: Senna Fadel, Felipe Dana, Alfredo Bosco, Maximilian Clarke, Rodrigo Abd, Aris Messinis.
SahihiYAISHE ili tufocus point nyengine kama itajitokeza.
Nini kipo Ukraine mpaka the West is ready to risk a nuclear confrontation with Russia ambacho hakipo kwingine?Why not Syria,Venezuela,Yemen,Iraq,Somalia,Afghanistan,the Sahel etc.Ukraine ipo siri kubwa Ukraine ya NWO.Vvyombo vyao vyote vya habari vime-elekezwa huko,tena kwa nia moja tu,kuipaka matope Urusi,why?????? Labda mjinga tu,lakini mwenye akili timamu anaona wazi kwamba lipo jambo zito sana,tena baya,nyuma ya pazia.Nyongeza nakazia wasichokijua USA anadaiwa kuliko mataifa yote duniani. Hakuna nchi isiyokopa. Ila mkopo wa USA umezidi GDP Nominal yake...
Huyo anaemsifia anagawa ela kila mwaka ana deficit ya budget yake kila mwaka. USA ana deni la Dollar Trillion 26 ambayo kwa sasa ni takriban 137% ratio to GDP.
Kwasabab Pro NATO, Pro USA hum sio wafatiliaji na uwezo wa kufikiri ni mduchu hawajiulizi kwanini Raia wake wanalalama kodi zao zinatumika hovyo ilhal wao mambo hayako sawa.
Wanalalama kodi zao kutumika nje badala ya kujenga America yao. Wanalalama wanataka majeshi yao yarudi kwenye ardhi yao. Hao ni Raia wa America sio hawa mbukuzikizi wanaoshinda NetFlix kutizama Hollywood wakijua hayo ndio maisha ya Wamarekani. Sawa na Mkenya kutizama bongo movies aseme TZ maisha mazuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Kuna jinga moja uko juu likaanza kupayuka kua etiiii uchumi wa Mmarekani ni Mara 20 zaidi kuliko Russia... Akatia na neno la ziada kua Ukiongeza China na wengineo combined bado hawajamfikia USA.
Nikajisemea kimoyo moyo kwa hiyo hii zumbukiki inajua GDP ndio kiwango cha uchumi. GDP ndio number ya kipimo cha uchumi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hayajui ata yanalinganisha GDP vp. Hayajui yanalinganisha GDP kwa term zipi nominal au Purchasing power parity au ilimradi kaona tu neno GDP.
Ukweli ambao wengi haswa hawa wamarekani wa tandale wasio ujua na ambao unasemwa sana na wamarekani halisi... Ni kua US iko under control of psychopath, group of elite ambao dhumuni lao kubwa ni kutawala dunia. They don't care kuhus Raia wao. What matters alot kwao ni Pesa and ultimate control ya kila kiumbe chini ya jua.
Na hilo kundi ndilo linalopigana na Putin na wengine uko nyuma waliojitokeza kua n interest tofauti na wao sio [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]. Mfano Hii tweet chini ya Mgombea wa Uraisi 2020. Hawa ndo wanaijua nchi yao vizuri. Wanakwambia hivi.
View attachment 2165948
Ni kweli tofauti sa kisiasa hua zipo kama hapa kwetu, lakini kuujua uhalisia wa Raia wa Tanzania ukifika Airport muulize mpinzani atakweleza kila kitu thou kisiasa anaeza kuongezea na mengine. But atakweleza kwa uwazi kuliko mtawala ambaye kwake ni kusifia tu.
USA is the wold largest economy kwa GDP nominal [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] China is the world largest economy kwa GDP Purchasing Power Parity [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tukitaka kusifu basi walau tukijue tunachokisifu kikoje zaidi ni kujichoresha tu [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Tanzania huwa tunatoa msaada nchi za jiran pia ila tunadaiwa madeni makubwa tu.
USA nae atoa msaada nchi jiran ila anadaiwa sana tu na bado budget yake ni kubwa kuliko pato lake [emoji119][emoji119][emoji119]... Na still bado wananchi wake wanalia njaa..
Hii ni post yake ya juzi...
View attachment 2165979
Then soma hizo comment chini
View attachment 2165978
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ngoj niishie hapa comment isije kua ka Gazeti la Mwananchi [emoji1739][emoji1739][emoji1739][emoji1732]