Waziri wa mambo ya nje wa Turky Mevlut Cavusoglu ameyatolea nje maombi ya kuitaka Turkey kuchagua upande kati ya Ukraine na Russia...Amesema kwa kuwa Turkey ni msuluhishi, haitakuwa na maana yoyote ikichagua kuwa upande mmoja.
Mataifa ya magharibi yameiomba Turkey impe Ukraine mfumo wake wa Ulinzi wa anga namba mbili (baada ya S-500) kwa ubora duniani,
S-400 air-defense systems. Turkey imesema hilo ni ombi la kipuuzi. Wao wenyewe (Turkey) wanahitaji pia ulizi wa anga pia.
Mwambieni Marekani + NATO wapeleke mavyuma vyuma yao chakavu ya
THAAD au Patriot
PAC-3 Ukraine, waache kumendea mendea mfumo bora wa Ulinzi Duniani toka Russia
=====
View attachment 2165806View attachment 2165804View attachment 2165805
View attachment 2165824
View attachment 2165828
View attachment 2165825