permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,484
- 15,297
Sielewi hoja yako nini, hakuna popote niliposhangilia mtu kufariki.Subiri babako akifa, au mamaki ili ujue utamu wa kifo. We si jeuri we subiri.
Sielewi hoja yako nini, hakuna popote niliposhangilia mtu kufariki.Subiri babako akifa, au mamaki ili ujue utamu wa kifo. We si jeuri we subiri.
Je unaelewa tofauti kati ya akiba na uzalishaji?? Mwenye kuzalisha anaweza kuuza. Mzalishaji mkubwa wa gesi ni Marekani si Urusi, inayofuata hapo kwenye nafasi ya pili..
LoL jeshi la Urusi ni jeshi la kiungwana kabisa.Command centre ya jeshi la Ukraine iliopo kwenye mji wa Nikolaevka kwenye mkoa wa Kyiv yaangukia mikononi mwa wanajeshi wa Russia, wanajeshi wa Ukraine 61 wengi wao wakiwa maafisa waandamizi wasalimu amri. Yaelezwa kuwa walikuwa wana upungufu mkubwa wa equipment, silaha na chakula kutokana na kuzingirwa kwa muda mrefu.
Walipatiwa chakula, na kupatiwa matibabu kwa waliokuwa wakihitajia matibabu
View attachment 2165567
View attachment 2165568
Command post ya Jeshi la Ukraine iliyopo mji wa Nikolaevka kwenye mkoa wa Kyiv yangukia mikononi mwa majeshi ya Russia, huku wanajeshi 61 wa Ukraine wakisalimu amri
Mjuege kusoma, reserve ni tofauti na production na consumption
LoL hii ni nzuri sana hii.Watu waandamana Tel Aviv, Israel, kumsapoti Putin na kupinga propaganda za wamagharibi dhidi yake
View attachment 2165610
Bora kujifanya mjuaji katika kitu unacho kijua ,kuliko kujifanya mjuaji kwa vitu usivyo vijua utaonekana kituko.
Marekani alipigwa Vietnam ila alifanya uharibifu mkubwa sana kwenye ile nchi. Korean war baada ya Marekani kuingia na nchi takribani 20 kwa azimio la UN kuisaidia Korea Kusini. China na Russia zikamsaidia North Korea kijeshi kwa kuingiza majeshi ya nchi zao North Korea. Ijapokuwa North Korea alisaidiwa na ushindi wake mipaka yake ilisogea mpaka walipofikia mipaka ya nchi hizo leo hii ila uharibifu uliyofanyika nchini kwao ulikuwa ni Mkubwa sana.
Kuna mambo mnabidi myaelewe!
Hata ikiwa Russia kafeli kama inavyosemwa ila fahamu tu kuwa Taifa kubwa kwenye historia ya hii dunia ikikumbwa na tukio hilo kitakachofanyika wanaweza wakafanya uharibifu mkubwa sana kwenye hiyo nchi. Bado hasara kubwa itabakia kwa Ukraine. Hivyo mwenye karata ya kupoteza zaidi ni Ukraine.
Kama.. wewe ulivyorudisha familia yenu nyuma .... niwashauri tu mhamie kwetu mama yako ntamheshimu ...wamekuwa kama mbuzi wanakula majani tu... Jumatatu mchicha, jumanne matembele, jumatano mnavu, alhamis sukuma wiki, ijumaa kabichi, jumamosi chinizi, jumapili kisamvu ....Mtazamo wako...Putin kairudisha nyuma sana nchi yake kiuchumi...
Kuna mambo hata hayahitaji maelezo yapo wazi. Upo sahihi kuwa kusema Ukraine pekee ndiye atapoteza ni uongo.1. Kuifananisha kijeshi Urusi ya sasa inayopigana km 0 kutoka nyumbani kwake na jirani yake Ukraine na USA ya mwaka 1975 iliyokuwa inapigana Vietnam km 14,000 kutoka nyumbani kwake ni ujuha.
2.North Korea haikushinda vita na South Korea. North na South Korea ziligawanya mwaka 1945, Wakomunisti wa North Korea waliivamia South Korea mwaka 1950 wakilazimisha kuifanya nchi moja mwaka 1953 walirudishwa nchini kwao na mpaka ulirudishwa ulipokuwa mwaka 1945.
3.Marekani ni kweli aliiharibu Vietnam ila na yeye alikipata cha moto, alipoteza wanajeshi elfu hamsini, Russia pia ameshapoteza wanajeshi 10,000 na majenerali 7 kwa kipindi cha mwezi mmoja tu na uchumi wake unazidi kudorora haya madhara yatakuwa ya muda mrefu. Ni uongo kusema Ukraine pekee ndiye atapoteza
Operesheni wanatumia wembe.....Operesheni wanatumia nini na vita wanatuma nini mkuu.....
Da! ila kusema kweli Vladimir Putin ni pasua kichwa kwa nchi za west.Biden publicly calls Putin "a Butcher," and later in a speech he says ''for God's sake this man cannot remain in power"
In the most extraordinary display of gross ineptitude, diplomatic malfeasance, and Presidential lack of judgment, illegitimate U.S. President Joe Biden today called Russian Federation President Vladimir Putin "a butcher."
As if that wasn't bad enough, Biden later gave a speech which he ended by saying (of Putin) "For God's sake, this man cannot remain in power."
What is the world to make of these grotesque statements? Is regime-change in Russia now official US Government Policy?
Moreover, let's talk facts: for eight years, Ukrainian Presidents Porochencko and Zelensky waged actual war against Russian-speaking Ukrainians in Luhansk and Donetsk. That warfare killed 13,000 to 14,000 citizens of Donetsk and Luhansk. Are they called "Butchers?" No.But somehow, Russian President Vladimir Putin, who met his responsibility to protect, is called "a Butcher" for putting and end to Ukraine slaughtering people in Donetsk and Luhansk!
President Joe Biden is clearly out of touch with reality, and severely unable to discharge the duties of his office. No President of a nuclear power has EVER referred to the President of another nuclear power in such terms, nor has any US President EVER called for regime change in another nuclear power. These occurrences are utterly astonishing.
Biden should be removed from Office by Congress via the 25th Amendment to the US Constitution, immediately before his ignorant, dementia-addled mouth gets us into a nuclear war.
Inabidi nianzishe darasa la statistics..Kuwa na production kubwa sio kuwa na reserve kubwa anachofanya US anachukua huku na huku ndomana anaonekana anaproduction kubwa, tunazungumzia reserve kubwa WW
View attachment 2165503
Ewaaa!Wewe ni mshabiki kumbe! Wenyewe Urusi wamekiri kupateza askari wewe hujui!! Na vikwazo pia hujui! ...
Kumbe! Makumi wanaandamana pro-Putin huko Tel Aviv? Sasa naomba ushauri: tumpe hongera (angalau makumi!) au tumpe pole (hata 50 hawakufika?)Watu waandamana Tel Aviv, Israel, kumsapoti Putin na kupinga propaganda za wamagharibi dhidi yake
View attachment 2165610
Siko tayari kwenda back and forth na wewe kwa majibu yako ambayo (naona) hayatoshelezi kujibu mswala nliyokuuliza. Ni ama umechagua kutokujibu 'dodge' au umeshindwa kutoa majibu murua kutetea hoja zako za awali, vyovyote itavyokuwa ningekushari unapotoa hoja kutokana na 'opinions' zako ni kheri udhihirishe kbs kwamba hayo ni maoni yako tu na sio kuweka kama 'facts'. Hakuna atakayekulaumu kutoa maoni ila utalaumiwa ukitoa 'facts' zilizopikwa.Kaka umejitahidi, basi nijaribu kujibu kifupi
1. Msaada kwa Ukraine na Urusi: Ujerumani peke yake inatuma Euro milioni 200 KILA SIKU kwenda Urusi. Nii sijui ni mara ngapi usaidizi wa Ujerumani kwa Ukraine. Menginevyo: ukivamia nchi tulivu heri ujiandae vema, ili usihangae kama jirani ana marafiki wengi! (ungeijua KABLA ya kuvamia 😉). Ukipuuza kutafakari na kusikiliza, usilalamike.
2. Kasi ya uvamizi: itoshe kukumbuka habari za foleni ndefu ya vifaru na malori ya Urusi iliyokaa kwa zaidi ya wiki moja barabarani bila kusogea mbele, ilhali iliendelea kushambuliwa na komandoo wa Ukraine waliobeba makombora ya mbegani. Foleni hii ilionekana kwenye picha za satelaiti zinazopatikana hadharani (mfano Maxar). Kusubiri mahali unapopatikana kwa mashambulio ningeita "polepole". Sawasawa picha za vifaru vilivyoibwa na wakulima Waukraine waliovivuta kwa trekta zao. Si vifaru vilivyoharibika, viliachwa to njiani. Sababu zilizotajwa: vilishiwa mafuta. Mwendo wa kijeshi unaoshindwa kupeleka mafuta kwa mitambo yake naita polepole.
3. Mchezo wa Mig29: ni dhahiri hii ilikuwa mchezo wa kisiasa wa serikali ya Poland iliyotaka kujionyesha kumbe wako kabisa upande wa Ukraine (ilhali Poland inaendelea kutuma pesa Urusi kwa makaa wanayoendelea kupata; angalau gesi wanafunga mwaka huu wameandaa njia mbadala ya karibuni); haikuwa mpango wa kitaalamu. Ukitaka kufanya kitu kama hiki unakifanya bila matangazo. Wwaliitangaza hadharani bila mawasiliano ya awali, walipata jibu kutoka msemaji wa Marekani ambalo lilioekana halikujadiliwa ndani na mwishowe serikali ilisema hapana, hatutafanya. Kwa sababu NATO waliamua kutotafuta mapigano ya moja kwa moja na Jeshi la Kirusi shauri ya hatari ya mgongano ya kinyuklia. Katika kanuni za NATO swali hili litaanza pale ambako Putin anajaribu kuvuka mpaka wowote wa nchi ya NATO.
4. Mamlaka ya kuchora mistari nikisema hoja langu ninayo kabisa.
5. Umoja wa NATO: kaka nenda fanya homework kwanza halafu urudi! Hata baada ya uvamizi wa kwanza wa Urusi mnamo 2014 (Crimea, Luhansk) NATO iligawanyika jinsi ya kujibu. Sehemu ya nchi za NATO (hasa Uingereza, jamhuri za Baltiki ,Poland) zilitaka vikwazo vikali tayari wakati ule. Ujerumani iligoma pamoja na nchi nyingine kama vile Slovakia. Italia, Ugiriki na Hungaria kwa pamoja walikataa kuendeleza vikwazo vya kwanza mnamo 2016. Vilevile rais wa Ucheki. Ujerumani haikusitisha mipango yake ya kuongeza gesi kutoka Urusi kwa njia ya bomba la Nordstream2, ingawa ilikosolewa sana na Marekani na mataifa mengine ya NATO.
Ningeweza kuendelea hapa kutaja mifano, itosh, nimekuweka links za ushuhuda.. Ila sasa kwa ghafla Putin alifaulu kuunda umoja ndani ya NATO na pia nchi za Umoja wa Ulaya. Hakuna aliyepinga vikwazo vilivyoamuliwa ambavyo ni vikali kushinda vyote vilivyowahi kujadiliwa awali.
Tarehe 8 Machi 2012 Urusi ilitangaza "orodha ya nchi ambazo si rafiki" yenye nchi 2 tu: Marekani na Ucheki. Baada ya uvamizi tar. 8 Machi 2022 Putin alitoa orodha mpya ya nchi zisizo rafiki inayoongeza nchi zote za Umoja wa Ulaya, halafu Albania, Andorra, Australia, Uingereza, Iceland, Kanada, Liechtenstein, Mikronesia, Monako, New Zealand, Norwei, Korea Kusini, San Marino, Makedonia Kaskazini, Singapur, Taiwan, Ukraine, Montenegro, Uswisi na Japani.
Tuseme nini ? Alifaulu kujipatia orodha ndefu vile?
Angalau Putin alifauli kubomoa mradi wa Nordstream (uliotetewa sana na chansela Angela Merkel) na kuimarisha nafasi ya Marekani katika Ulaya. Slawa Putin!!!
Sasa mbona tunaambiwa moscow inaretreat tena!?Command centre ya jeshi la Ukraine iliopo kwenye mji wa Nikolaevka kwenye mkoa wa Kyiv yaangukia mikononi mwa wanajeshi wa Russia, wanajeshi wa Ukraine 61 wengi wao wakiwa maafisa waandamizi wasalimu amri. Yaelezwa kuwa walikuwa wana upungufu mkubwa wa equipment, silaha na chakula kutokana na kuzingirwa kwa muda mrefu.
Walipatiwa chakula, na kupatiwa matibabu kwa waliokuwa wakihitajia matibabu
View attachment 2165567
View attachment 2165568
Umeandika mengi lakini mzizi haswa wa mantiki ya maandishi yangu hujauelewa.1. Kuifananisha kijeshi Urusi ya sasa inayopigana km 0 kutoka nyumbani kwake na jirani yake Ukraine na USA ya mwaka 1975 iliyokuwa inapigana Vietnam km 14,000 kutoka nyumbani kwake ni ujuha.
2.North Korea haikushinda vita na South Korea. North na South Korea ziligawanya mwaka 1945, Wakomunisti wa North Korea waliivamia South Korea mwaka 1950 wakilazimisha kuifanya nchi moja mwaka 1953 walirudishwa nchini kwao na mpaka ulirudishwa ulipokuwa mwaka 1945.
3.Marekani ni kweli aliiharibu Vietnam ila na yeye alikipata cha moto, alipoteza wanajeshi elfu hamsini, Russia pia ameshapoteza wanajeshi 10,000 na majenerali 7 kwa kipindi cha mwezi mmoja tu na uchumi wake unazidi kudorora haya madhara yatakuwa ya muda mrefu. Ni uongo kusema Ukraine pekee ndiye atapoteza