Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kaka hili jambo lipo wazi...Urusi haikuwa na nguvu za kivita ambayo sisi wote tulidhani.

Achana kabisa na nchi za magharibi...yale madude ya kutungukia ndege toa EU ni balaa...Ujerumani jana wamepeleka mengime 1500.

Putin hana namna ni kukubali yaishe.

Ni uamuzi wa busara kwa urusi kuachana na hii vita.
Punguza ujuaji kwani hizo nchi za magharibi zimeshindwa mara ngapi kwenye vita tena dhidi ya mataifa dhahifu yasiyo kuwa na usaidizi wowote.

Alafu ulivyo boya haujui ya kwamba makombora yaliyo pelekwa na Ujerumani ni makombora yaliyo tengenezwa na hiyo Urusi kipindi cha Usoviet.
 

Poland should ‘claim’ Russian region, general says​

An ex-commander of the Polish Land Forces suggested Warsaw should seek to seize Kaliningrad from Moscow.

Warsaw should seek to “claim” the Kaliningrad region from Russia, General Waldemar Skrzypczak has said. The region has been “under Russian occupation since 1945,” the ex-commander of the Polish Land Forces claimed on the TV show ‘Super Express’ on Friday.

“It might be worth asking for it, as it used to be with the Regained Territories,” Skrzypczak said, referring to the eastern German territories incorporated into Poland after the defeat of Nazi Germany. “It might be worth asking for this Kaliningrad region, which, in my opinion, is part of the territory of Poland.”
Hawa watoto Poland wanawashwa. Watapata kubwa moja hawataamini.
 
Kaka hili jambo lipo wazi...Urusi haikuwa na nguvu za kivita ambayo sisi wote tulidhani.

Achana kabisa na nchi za magharibi...yale madude ya kutungukia ndege toa EU ni balaa...Ujerumani jana wamepeleka mengime 1500.

Putin hana namna ni kukubali yaishe.

Ni uamuzi wa busara kwa urusi kuachana na hii vita.
Mmmh
 
Mkuu una utani mbaya, ukitoa nuklia ambazo zinaweza kuleta pande zote, Russia hana uwezo wa kuihimili NATO ndani ya mwezi.
Kwa nini utoe nuclear!? Kwani Russia alizitengeneza ili kwenye vita na Nato azitoe!? Ngumi za kitoto hizi kupangiana 'za chinichini' hamna au hamna kutumia mateke.
Hao NATO wanazo nuclear sasa wanaogopa za urusi kivipi na wao wazo za kwao!??

Putin alishanyanyua nuclear alert levels. Sasa Mtu afanye kama anajikuna hivi aone.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
The Italian state television RAI will resume the journalistic activities of its correspondents in the Moscow bureau from March 30, the press service of the channel reports.
Galip SV Liwagu
20220326_103402.png
 
Marekani alipigwa Vietnam ila alifanya uharibifu mkubwa sana kwenye ile nchi. Korean war baada ya Marekani kuingia na nchi takribani 20 kwa azimio la UN kuisaidia Korea Kusini. China na Russia zikamsaidia North Korea kijeshi kwa kuingiza majeshi ya nchi zao North Korea. Ijapokuwa North Korea alisaidiwa na ushindi wake mipaka yake ilisogea mpaka walipofikia mipaka ya nchi hizo leo hii ila uharibifu uliyofanyika nchini kwao ulikuwa ni Mkubwa sana.

Kuna mambo mnabidi myaelewe!

Hata ikiwa Russia kafeli kama inavyosemwa ila fahamu tu kuwa Taifa kubwa kwenye historia ya hii dunia ikikumbwa na tukio hilo kitakachofanyika wanaweza wakafanya uharibifu mkubwa sana kwenye hiyo nchi. Bado hasara kubwa itabakia kwa Ukraine. Hivyo mwenye karata ya kupoteza zaidi ni Ukraine.
Mtazamo wako...Putin kairudisha nyuma sana nchi yake kiuchumi...
 
Ndio maana Magufuli alisema kuna wastaafu wanawashwawashwa, mtu kastaafu ubongo umechoka kufikiri vema anajilazimisha kuropoka. Naona kituo kinachofata cha safari ya Russia ni Poland na hapo Poland wanaandaliwa mlo safi wa Pasaka.
Uko Urusi au Tanzania?..
 
MNATO anapigana na Urusi. Na wote wanagongwa.
View attachment 2165203
Hapo ndio utajua kua Russia ni Superpower.
Siku zote Russia inapoingiaga vitani na nchi yoyoyte nchi za ulaya huja kuisaidia hicho kinchi kinachopigwa na Urusi.
Wakati huo huo Marekani inapopigana na nchi yoyote Huenda vitani na vijirafiki vyake.huku hicho kinchi kinachopigana na Marekani hakisaidiwi na nchi yoyote.
Hapa Leo tunaona Urusi Iko peke yake inapigana na West wote na ikiwa imewekewa vikwazo.
Russia ndio mbabe bana.
 
Kaka hili jambo lipo wazi...Urusi haikuwa na nguvu za kivita ambayo sisi wote tulidhani.

Achana kabisa na nchi za magharibi...yale madude ya kutungukia ndege toa EU ni balaa...Ujerumani jana wamepeleka mengime 1500.

Putin hana namna ni kukubali yaishe.

Ni uamuzi wa busara kwa urusi kuachana na hii vita.
Nafikiri unajaribu kulikimbia swali langu. Ulisema Russia anatumia mbinu za kizamani. Tuambie mbinu mpya ni zipi? Hili ndilo swali langu.

Swali la pili lilitokana na nukta yako kuwa Russia haikuwa united kwenye hili la kumvamia Ukraine:Nani kakwambia hawakuwa united kwenye uvamizi huu? Hapa napo haujajibu.

Nimekuuliza swali, umejibu hili suala lipo wazi! Nionyeshe huo uwazi nami niuone.

Msingi wa hoja yako kwenye nukta ya pili haukubaliani na historia, na historia ni fact. Kinachoonekana haufanyi uchambuzi bali unaelezea kile unachokiona kupitia vyombo vya habari.

Jiulize kwa nini ikiwa kama ni boxing watachambua uwezo wa wapiganaji mmoja mmoja kabla ya mchezo kuanza kisha kubainisha nguvu ya huyu ipo juu kuliko mwenzake. Halikadhalika na nguvu za jeshi baina nchi na nchi wanafanya vivyo hivyo. Unafikiri kilichoangaliwa ni kipi? Sasa kuna utofauti kati ya uchambuzi na kukielezea kile unachokiona. Kuelezea unachokiona; haya yanaitwa ni mawazo binafsi juu ya suala fulani na wala hayamaanishi kuwa ni fact ijapokuwa yanaweza kuwa ni fact.

Putin hana namna akubali yaishe kwa muktadha upi?

Nilichokisikia mimi kutoka mdomoni mwa Putin kupitia vyombo vya habari yeye ameiita ni special military operation. Wewe unasema ni vita! Sasa sijaelewa baina ya huyu niliyemsikia na wewe unayeandika yupi ni Putin!?
 
Ndio maana Magufuli alisema kuna wastaafu wanawashwawashwa, mtu kastaafu ubongo umechoka kufikiri vema anajilazimisha kuropoka. Naona kituo kinachofata cha safari ya Russia ni Poland na hapo Poland wanaandaliwa mlo safi wa Pasaka.
Weee Poland ni NATO na EU hawezi kigusa weee
 
Hapo ndio utajua kua Russia ni Superpower.
Siku zote Russia inapoingiaga vitani na nchi yoyoyte nchi za ulaya huja kuisaidia hicho kinchi kinachopigwa na Urusi.
Wakati huo huo Marekani inapopigana na nchi yoyote Huenda vitani na vijirafiki vyake.huku hicho kinchi kinachopigana na Marekani hakisaidiwi na nchi yoyote.
Hapa Leo tunaona Urusi Iko peke yake inapigana na West wote na ikiwa imewekewa vikwazo.
Russia ndio mbabe bana.
Mbabe wapi siku 30 hana pumzi mimi nilikiwa namwamni kumbe Zelensky anamtoa jasho hivyo duu kumbe Russia ni kaput akajipqnge upya
 
Kaweka vikwazo kasema Gesi na Oil yake ni lazima.inunuliwe kwa hela ya Kirusi...

Amesahau kwamba alisaini mikataba kwa malipo ya Uero na USD.

Putin kajikaanga mwemyewe.
Una ushahidi kuwa kwenye mkataba na urusi malipo lazima yawe uero na dollar????
 
Nafikiri unajaribu kulikimbia swali langu. Ulisema Russia anatumia mbinu za kizamani. Tuambie mbinu mpya ni zipi? Hili ndilo swali langu.

Swali la pili lilitokana na nukta yako kuwa Russia haikuwa united kwenye hili la kumvamia Ukraine:Nani kakwambia hawakuwa united kwenye uvamizi huu? Hapa napo haujajibu.

Nimekuuliza swali, umejibu hili suala lipo wazi! Nionyeshe huo uwazi nami niuone.

Msingi wa hoja yako kwenye nukta ya pili haukubaliani na historia, na historia ni fact. Kinachoonekana haufanyi uchambuzi bali unaelezea kile unachokiona kupitia vyombo vya habari.

Jiulize kwa nini ikiwa kama ni boxing watachambua uwezo wa wapiganaji mmoja mmoja kabla ya mchezo kuanza kisha kubainisha nguvu ya huyu ipo juu kuliko mwenzake. Halikadhalika na nguvu za jeshi baina nchi na nchi wanafanya vivyo hivyo. Unafikiri kilichoangaliwa ni kipi? Sasa kuna utofauti kati ya uchambuzi na kukielezea kile unachokiona. Kuelezea unachokiona; haya yanaitwa ni mawazo binafsi juu ya suala fulani na wala hayamaanishi kuwa ni fact ijapokuwa yanaweza kuwa ni fact.

Putin hana namna akubali yaishe kwa muktadha upi?

Nilichokisikia mimi kutoka mdomoni mwa Putin kupitia vyombo vya habari yeye ameiita ni special military operation. Wewe unasema ni vita! Sasa sijaelewa baina ya huyu niliyemsikia na wewe unayeandika yupi ni Putin!?
Labda tuna Putin mwengine pande hizi
 
Kaka hili jambo lipo wazi...Urusi haikuwa na nguvu za kivita ambayo sisi wote tulidhani.

Achana kabisa na nchi za magharibi...yale madude ya kutungukia ndege toa EU ni balaa...Ujerumani jana wamepeleka mengime 1500.

Putin hana namna ni kukubali yaishe.

Ni uamuzi wa busara kwa urusi kuachana na hii vita.
Warusi awawezi kujiondoa kwenye hii vita maana kwao wanapata mafanikio.kila siku wanazidi kuteka maeneo japo wanapata upinzani kutoka kwenye vikosi vya Ukraine,mwisho wa siku hata vita ikae mwaka mzima ukraine watapoteza tu hata wenyewe wanalijua ilo.
Makombola pekee ayasaidii kwenye uwanja wa vita
 
The US authorities are determined to destroy trade relations between Germany, other EU countries and Russia.

This was stated in a conversation with RT by one of the leaders of the International Action Center and coordinator of the "Sanctions kill" campaign Sarah Flounders:

“They were able to achieve their goal only by provoking a conflict. Only arming fascist organizations, transferring weapons and surrounding Russia. All these actions from the very beginning pursued precisely this goal.

According to her, if not for NATO's steps, hostilities could have been avoided. “And what solution does the bloc offer? More weapons! Sending even more weapons to Ukraine and putting all combat vehicles on alert,” Flounders said.
Galip SV Liwagu View attachment 2165090
Huu ni ukweli ambao watu wenye akili TU ndo wanaweza kuelewa,lakini mazuzu wengi wanamuona USA Yuko sawa kwa Kila kitu.
Inavyoonyesha hata Zelensky Yuko tayari kukubaliana na Urusi lakini nyuma ya pazia USA wanamtia ujinga,bila kujua kuwa nchi yake inatumika kama uwanja wa vita na uwanja wa kuivuruga Urusi.
 
Mtazamo wako...Putin kairudisha nyuma sana nchi yake kiuchumi...
Hii ni JF. Lengo la Uzi ni kupashana habari, kusimuliana, kuelimishana na kujadili pale inapobidi.

Huu mnakasha umebeba yote. Ila umahususi wa huu mnakasha mzizi mkuu wake ni fact.

Sasa haiwezekani unaandika jambo halafu ukihojiwa ithibati yake unasema hayo ni mawazo yako binafsi. Hii inaonyesha ubinafsi, unasiasa za kilafi kwa sababu ni siasa za kimslahi yako binfasi. Hutaki kujibu hoja una-dictate mawazo yako. In short una elements za u-dictator.

Tena tukuulize swali: Putin kairudisha sana nchi yake nyuma sana kiuchumi kivipi?
 
Back
Top Bottom