Equitable
JF-Expert Member
- Dec 24, 2021
- 2,124
- 5,698
Chawa la NATOAMERICAKuizuia Ukraine kutokuwa karibu na mataifa ya magahribi..na kuzuia uwezekano wa yeye kujiunga na NATO.
Sasa tunaamini wakati wa ujenzi wa Ukraine mpya tayari Ukraine atakuwa mwanachama wa NATO.
Kifupi warusi walikuwa na silaha za kizamani, mbinu za kilong time na jingine ni kwamba warusi wenyewe hawakuwa united kuhusu uvamizi huu, sasa haya yote ndiyo yameifanya vita hii kuwa mzigo kwao.
Pole Putin, kwa sasa dunia imekuona wewe huaminiki tena, ukitoka urusi tu wanakudaka kwenda the hegiii.