Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The unusual reaction of journalists from the pool of the President of the United States to the question of Jen Psaki about when the administration will stop blaming Putin for all the troubles
Galip SV Liwagu
View attachment 2165246
Uandishi wa habari ni proffesional ya kueleweka, ya watu wenye akili. Kwa wenzetu.
Ila hapa kwetu sasa.....
 
Hata kutoa misaada ya silaha kuipiga Russia at the same time mnataka kufanya nae biashara we unaona vinahusiana?

Mi nakuambiaje Europe watanunua gas ya mrusi kwa rubble time will tell.
may be yes may be no but sio kulipua bomba, hapo kwe ruble kuna kazi kumbuka katika sarafu znazotumika sn kwe biashara dunian ruble iko mbali sn sasa ghafla inatakiwa kuperform task pengine zaid ya yen na yuan, financial instiutions za urusi zenyew zipo tayari kutumia mzigo wa ruble unaotaraji kubisha hodi urusi? maana kwa volatility ya ruble na sanctions no way watu wataitumia km reserve currency so russia yenyew ndio ilead way kwenye kuzitumia
 
Kaka swali hili limejibiwa mara kadhaa. Hawataki kukaribia vita ya nyuklia. Jeshi la Urusi bila silaha za nyuklia si jambo, limeonekana dhaifu ya ajabu.
Ila silaha za nyuklia ni mchezo tofauti.
Tuwashukuru, maana vita kubwa ya nyuklia itatuathiri hata hapa Afrika.
Hata hiyo Marekani bila Nukilia ni taka taka kama nyingine tu na ndio maana kila mwaka wanatenga mabilioni ya $ kwa ajili kuziboresha maana wanaamini ndio hakikisho la usalama wao tofauti na hapo tunafirahishana tu.
 
Wajed wa ukraine zaid ya 60 wamesarenda karibu na jiji la kiev
img_2_1648307049865.jpg
 
Putin kachoka..ukichanganya na afya yake...
Marekani alipigwa Vietnam ila alifanya uharibifu mkubwa sana kwenye ile nchi. Korean war baada ya Marekani kuingia na nchi takribani 20 kwa azimio la UN kuisaidia Korea Kusini. China na Russia zikamsaidia North Korea kijeshi kwa kuingiza majeshi ya nchi zao North Korea. Ijapokuwa North Korea alisaidiwa na ushindi wake mipaka yake ilisogea mpaka walipofikia mipaka ya nchi hizo leo hii ila uharibifu uliyofanyika nchini kwao ulikuwa ni Mkubwa sana.

Kuna mambo mnabidi myaelewe!

Hata ikiwa Russia kafeli kama inavyosemwa ila fahamu tu kuwa Taifa kubwa kwenye historia ya hii dunia ikikumbwa na tukio hilo kitakachofanyika wanaweza wakafanya uharibifu mkubwa sana kwenye hiyo nchi. Bado hasara kubwa itabakia kwa Ukraine. Hivyo mwenye karata ya kupoteza zaidi ni Ukraine.
 
may be yes may be no but sio kulipua bomba, hapo kwe ruble kuna kazi kumbuka katika sarafu znazotumika sn kwe biashara dunian ruble iko mbali sn sasa ghafla inatakiwa kuperform task pengine zaid ya yen na yuan, financial instiutions za urusi zenyew zipo tayari kutumia mzigo wa ruble unaotaraji kubisha hodi urusi? maana kwa volatility ya ruble na sanctions no way watu wataitumia km reserve currency so russia yenyew ndio ilead way kwenye kuzitumia
ipo mbali na hizi ndizo juhudi za kuileta karibu.

Issue sio umbali wala karibu, issue ni sanctions.

Hakuna kinachoshindikana nchi za Ulaya kununua gas kwa rubble.

Hio ni kuishika goroli US Federal Reserve.

Kwani ku exchange dollar to rubble na kununua gas kinashindikana nini?
 
Poland should ‘claim’ Russian region, general says​

An ex-commander of the Polish Land Forces suggested Warsaw should seek to seize Kaliningrad from Moscow.

Warsaw should seek to “claim” the Kaliningrad region from Russia, General Waldemar Skrzypczak has said. The region has been “under Russian occupation since 1945,” the ex-commander of the Polish Land Forces claimed on the TV show ‘Super Express’ on Friday.

“It might be worth asking for it, as it used to be with the Regained Territories,” Skrzypczak said, referring to the eastern German territories incorporated into Poland after the defeat of Nazi Germany. “It might be worth asking for this Kaliningrad region, which, in my opinion, is part of the territory of Poland.”
 
The question is, do they have what it takes?
 
ipo mbali na hizi ndizo juhudi za kuileta karibu.

Issue sio umbali wala karibu, issue ni sanctions.

Hakuna kinachoshindikana nchi za Ulaya kununua gas kwa rubble.

Hio ni kuishika goroli US Federal Reserve.

Kwani ku exchange dollar to rubble na kununua gas kinashindikana nini?
tatizo hapo sio exchange, exchange imekua ikifanyika miaka yote, hapa ni kuwa europe iwe na reserve ya ruble kwajili ya kupay bill za gas, sasa nan yuko tayar kukalia hifadhi ya ruble ambayo leo iko juu kesho chini keshokutwa kati? haifloat free na mengineyo ndio maana ht urusi yenyew imewekeza kwe euro/dollar, issue sio exchange hapa
 
Tuambie mbinu mpya ni zipi?

Na nani kakwambia hawakuwa united kuhusu uvamizi huu?
Kaka hili jambo lipo wazi...Urusi haikuwa na nguvu za kivita ambayo sisi wote tulidhani.

Achana kabisa na nchi za magharibi...yale madude ya kutungukia ndege toa EU ni balaa...Ujerumani jana wamepeleka mengime 1500.

Putin hana namna ni kukubali yaishe.

Ni uamuzi wa busara kwa urusi kuachana na hii vita.
 
Mbona wao wanavunja mikataba mingi tuu kwa kuweka vikwazo ambavyo havina uhalali ......
Babako akikwambia urudi saa 12 jioni nyumbani wewe unaweza kumjibu kwamba kwa nini yeye anarudi saa sita usiku ?
 
Kuizuia Ukraine kutokuwa karibu na mataifa ya magahribi..na kuzuia uwezekano wa yeye kujiunga na NATO.

Sasa tunaamini wakati wa ujenzi wa Ukraine mpya tayari Ukraine atakuwa mwanachama wa NATO.

Kifupi warusi walikuwa na silaha za kizamani, mbinu za kilong time na jingine ni kwamba warusi wenyewe hawakuwa united kuhusu uvamizi huu, sasa haya yote ndiyo yameifanya vita hii kuwa mzigo kwao.

Pole Putin, kwa sasa dunia imekuona wewe huaminiki tena, ukitoka urusi tu wanakudaka kwenda the hegiii
Kuna kitu ambacho nashindwa kuelewa, Urusi wanafanya nini Ukraine wakati bado hawajajiunga na NATO?
 
Back
Top Bottom