Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Super power wa makaratasi ana aircraft carrier moja tena chakavu. Ilijichomekea lenyewe likauwa wanajeshi wake.
We don' need air'craft carrier...[emoji57][emoji57][emoji57]...we are russian .....we believe in ...ballistic ..missiles ......clasta boombs.....cruiser...missllzzz.......kiazi wewe ......hizo carrier ni kwa ajili ya kututisha akina sisi afrika an' asian AN' NOT THE MIGHT RUSSIAN FEDERATION.......AFU hilo carrier likigongwa kombora moja tu matata ....linazama .[emoji18][emoji18][emoji18]...s@sa sisi hatutaki hasara za namna hiyo .........[emoji3][emoji3][emoji3]....hizo show off za sijui carrier ....hatuhitaji .....zikiingia kwa kumi na nane zetu hatutaziacha tunazamisha zote .....stupid youu and nato an us...[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Pro-Ukraine wanazidi kuumbuliwa na 'USA TODAY' namna walivyotumia video zisizohusika na vita ya Ukraine kujipakazia kuwa waliyakamata magari ya kivita ya majeshi ya Russia

=======

View attachment 2164793View attachment 2164794View attachment 2164795View attachment 2164796
You people have got to grow,swala la pro-US au pro-Ukraine ni la kitoto.Ni lazima logic and moral values zitumike kwenye issue hii,it is a life and death situation ambayo haihitaji utani.Please,please hili sio swala la Simba na Yanga.

Look 👇at what the US has done over time ni watu wema kweli hawa!!Obviously no.


 
Braza hujajibu swali mpaka leo, kwanini Nato hawaingii Ukraine kuondoa majeshi ya Russia? Nato ni nchi 30 urusi ni 1. Wanaogopa nini? Si walisema uchumi wa California ni zaidi ya urusi.
Kaka swali hili limejibiwa mara kadhaa. Hawataki kukaribia vita ya nyuklia. Jeshi la Urusi bila silaha za nyuklia si jambo, limeonekana dhaifu ya ajabu.
Ila silaha za nyuklia ni mchezo tofauti.
Tuwashukuru, maana vita kubwa ya nyuklia itatuathiri hata hapa Afrika.
 
We don' need air'craft carrier...[emoji57][emoji57][emoji57]...we are russian .....we believe in ...ballistic ..missiles ......clasta boombs.....cruiser...missllzzz.......kiazi wewe ......hizo carrier ni kwa ajili ya kututisha akina sisi afrika an' asian AN' NOT THE MIGHT RUSSIAN FEDERATION.......AFU hilo carrier likigongwa kombora moja tu matata ....linazama .[emoji18][emoji18][emoji18]...s@sa sisi hatutaki hasara za namna hiyo .........[emoji3][emoji3][emoji3]....hizo show off za sijui carrier ....hatuhitaji .....zikiingia kwa kumi na nane zetu hatutaziacha tunazamisha zote .....stupid youu and nato an us...[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Kwahio wewe mrussi wa kwa mpalange unajua zaidi ya jeshi la Marekani.

Kwa hio unadhani hawaja piga hesabu zao kabla kutengeneza hizo aircraft carrier

Kwahio hizo aircraft carrier hazina manufaa yeyote bali ni show off.

Pumbavu😁😁😁😁
 
Watazitumia hata nusu yake, na hiyo itakuwa sehemu ya makubaliano katika kumaliza vita.
Russia lazima atawajibishwa vikali na ulimwengu wa magharibi ili asirudie tena uovu na wendawazimu wake kwa majirani zake.

Sirya Libya Afaghanistani Yemeni Iraq Seribia izo zote zilishambuliwa na mmarekani na wapambe wake na wameuwa mamilioni ya watu wasio na hatia;
 
Back
Top Bottom