nankumene
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 7,408
- 8,225
wamefreeze tu mkuu hawawez kuzitumiaSio mbaya...zile Hela Za urusi zilizokamatwa zitajenga
wamefreeze tu mkuu hawawez kuzitumiaSio mbaya...zile Hela Za urusi zilizokamatwa zitajenga
You're a deluded person living in a fantasy world how would you know logic or realism when you see it!Ni mtazamo wa kitumwa kabisa.Nitasifia kitu ambacho kina-adhere to rules of logic,realism and morality,kinyume cha hapo no.
Watazitumia hata nusu yake, na hiyo itakuwa sehemu ya makubaliano katika kumaliza vita.wamefreeze tu mkuu hawawez kuzitumia
realism hapo ndio issue maana inategemea unaangalia jambo tokea angle gani hasa kwe issue km hz zinazohusisha pande mbili halaf mhusika akawa anasapoti upande flani,Ni mtazamo wa kitumwa kabisa.Nitasifia kitu ambacho kina-adhere to rules of logic,realism and morality,kinyume cha hapo no.
Watakuja kuziachia tu otherwise wataharibu taswira yao wenyewWatazitumia hata nusu yake, na hiyo itakuwa sehemu ya makubaliano katika kumaliza vita.
Russia lazima atawajibishwa vikali na ulimwengu wa magharibi ili asirudie tena uovu na wendawazimu wake kwa majirani zake.
Hamna mkuu sema mikwara ya nini wakati wanajua kbs hawawezi.haha mkuu untk confrontation ya nato na urusi? dunia ina matatizo ya kutosha mbn
Baada ya vita watazitumia kuijenga Ukrainewamefreeze tu mkuu hawawez kuzitumia
wanapenda kupigana pale yalipo maslahi sio tu ilimradi au kuoneshana ubabe, nuclear inaogopwa na wote mkuuHamna mkuu sema mikwara ya nini wakati wanajua kbs hawawezi.
Kama isingekuwa nuclear ss hivi tungekuwa tunaitafuta WWV. Wazungu wanapenda sana kupigana sema tu wakifkiria nuclear
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
tulia kijana tena kwa utulivuUnavhekesha n unajipa tabu ya bire kwa kubuni ujinga kama huu mzee
Ni mslahi gani yanaweza kujustify mauaji na disposition ya mamilioni ya watu mahali popote pale duniani!?wanapenda kupigana pale yalipo maslahi sio tu ilimradi au kuoneshana ubabe, nuclear inaogopwa na wote mkuu
Nchi za Ulaya zinapitia wakati mgumu toka WWII, silaha wanazotoa halafu hawaoni mdororo wa uchumi ambao upo usoni.Missiles from Germany arrive in Ukraine: reports
A shipment of 1,500 Strela anti-aircraft missiles and 100 MG3 machine guns have arrived in Ukraine from Germany, the German Press Agency cited Ukrainian government officials as saying.
German Foreign Minister Annalena Baerbock said on Wednesday that further supplies of the Strela missiles were Ukraine-bound following delays in deliveries.
The Russian invasion of Ukraine has seen Germany reverse its historical policy of not sending weapons to conflict zones.
"We are one of the biggest weapons suppliers in this situation, it doesn't make us proud but it's what we must do to help Ukraine," Reuters quoted Ms Baerbock as saying.
Tukiwaambia Russia ni simba wa karatasi muwege mnaelewa
bado urusi haijaanza uruban war ndani kiev ndo maana umewekwa mzingiro huku vikiso vya ukraine vikilegezwa taratibu kama juzi wamepata matanki makubwa ya oil na kupelekea uhaba w mafuta kwa vikosi vya ukraine vilivyo ndani ya kievhii ni exiting strategy ya urusi , kusema kuwa wanafocus kwe lengo kuu kuchukua donbass inashangaza kdg maana zaidi ya nusu ya eneo lile lilishakuwa mikononi mwa separatist kabla ht vita haijaanza, kimsingi wale separatist waliweza kuchukua eneo kubwa bila airpower wala naval power ya urusi sa urusi kusema anaelekeza fullforce yake huko kuchukua eneo hilo ndo inashangaza maana kwa hali ya ukraine ya sasa hao separatist wangeweza malizia hio shughuli kule east so why russia ipeleke full mziki huko badala kuendelea na juhudi za kuchuku kiev na kharkiv? pengine huu ndio mwanzo wa mwsho wa hii vita
Avatar yako tu inaonesha wewe mwenyewe unajustify mauaji ...ebu angalia avata .Ni mslahi gani yanaweza kujustify mauaji na disposition ya mamilioni ya watu mahali popote pale duniani!?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ya zamani hii...Asubuh ya leo urusi imeshaubeba uwanja mwingine ndani ya hostemel hapa ndipo palikuwa na ndege kubwa kabisa dunian anatov
View attachment 2164843View attachment 2164844View attachment 2164845