Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Ilikuepo tokea wapi?sio zimbabwe kvp mkuu? dhana ilikuwepo kuwa itakuwa vta ya mda mfupi
Ilikuepo tokea wapi?sio zimbabwe kvp mkuu? dhana ilikuwepo kuwa itakuwa vta ya mda mfupi
Hasira hizi😁😁😁😁😁Yaani Russia anawasumbua watu30 wanaishia kubwekabweka tu maaninerrrr. Na tumesema gas na oil mtalipa kwa Ruble.
Tukija ngano mtalipa kwa Ruble pia kama hamtaki mkatafute ngano yenu hatumbelezi mtu.
Na huko mnakotegemea oil tunalipuaa mwaka huu maji mtaita mma.
Mawazo yako kama yangu MKUU ila acha tuone itakuajeNahisi kama kuna mkono wa urusi huku, maana kinachoenda kutokea ni uhaba wa mafuta, ndipo umuhimu wa Russia unapokuja [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Heheheee wanaanza kuteseka eeeh Noo RUBO noo NIISHAATIIIMacron believes that the requirement to pay for Russian gas in rubles does not comply with the contracts.
Galip SV Liwagu View attachment 2164578
Wanapenda kujidanganya hawa watuJidanganye
haha mkuu untk confrontation ya nato na urusi? dunia ina matatizo ya kutosha mbnZelensky underestimated the power of biden in screwing things up!
Sasa wanasuburi Russia watumie Chemical weapons ndio warespond. Kwa nini wasirespond sasa hivi!? Good time to fix a leaking roof is not when its raining.
Nato mijioga.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
RUSSIA sio GHAZA MKUUMkuu mipaka ya Ukraine ni mikubwa mno na mingi ipo kwenye udhibiti wa serikali hasa upande wa magharibi.
Ebu angalia eneo kama Gaza kwa mfano ni mji wenye ukubwa kama mji wa mwanza na Israel imeuzingira kila sehemu lakini bado silaha zinaingia na kuwafikia hamasi sasa jiulize zinapita wapi?