Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

haya ni mafanikio makubwa ya jeshi la urusi
Ukraine wanauwana wenyeweView attachment 2164718
20220326_095715.jpg
20220326_095752.jpg
 
Acha ukilaza wewe, kutokufahamu kwako hilo haina maana ndio hakuna nchi yenye idadi hizo (pisi 250) za S-300 wewe Punguani.

Waropokwa ropokwa tu kama jitu levi la Mbege!

View attachment 2164515
This is a Flagrant Disinformation.
 
wewe jamaa bwana hujasikia wakat ndio erdogan kaishasema hvyo
wananchi toka awali hawana shida zaidi ya huyo mchekeshaji na hv wanavyopelekewa moto wanakataaje
After suffering a series of battle setbacks, Russia looks set to concentrate their operations mainly in the eastern part of Ukraine apparently to strengthen their meagre gains.
 
Simwoni mtu yeyote anayeona Ukraine itafukuza Jeshi la Urusi kutoka maeneo yake. Ukraine ikifaulu kujitetea katika sehemu kubwa ya maeneo yake na Urusi ikishindwa kuvunja upinzani huo, basi Ukraine itakuwa mshindi.
Urusi inaweza kujitazama mshindi ikifaulu kuteka mashariki ya Ukraine pamoja na Kiev na Kharkiv na kulazimisha mabaki ya Ukraine kukubali hayo.
Uwezekano mkubwa ni tutaona matokeo ya katikati. Kwa bahati mbaya kwa gharama ya mauaji mengi ambayo ni balaa. Putin anahitaji kuonyesha kitu ili aweze kujitangaza kuwa "mshindi".

Tangazo la mwisho wa Jeshi la Urusi lilidai tayari kuwa wamefaulu ngazi ya kwanza; yaani kuvunja nguvu ya kijeshi ya Ukraine. Ni dhahiri hii si kweli lakini wangeweza kutumia matangazo ya aina hiyo kusema baadaye "Tumeshinda!" na kujitetea hivyo mbele ya raia wao. Sasa wanasema kwamba shabaha yao ni "ukombozi wa Donbass". Wakikusanya nguvu zote hapo kuna uwezekano kwamba wanavunja sehemu ya jeshi la Ukraine inayotetea hapo.

yaliporomoka haraka...)
hii ni exiting strategy ya urusi , kusema kuwa wanafocus kwe lengo kuu kuchukua donbass inashangaza kdg maana zaidi ya nusu ya eneo lile lilishakuwa mikononi mwa separatist kabla ht vita haijaanza, kimsingi wale separatist waliweza kuchukua eneo kubwa bila airpower wala naval power ya urusi sa urusi kusema anaelekeza fullforce yake huko kuchukua eneo hilo ndo inashangaza maana kwa hali ya ukraine ya sasa hao separatist wangeweza malizia hio shughuli kule east so why russia ipeleke full mziki huko badala kuendelea na juhudi za kuchuku kiev na kharkiv? pengine huu ndio mwanzo wa mwsho wa hii vita
 
In the southern regions of Ukraine, new Russian military-civilian administrations are being formed.

This was stated by the permanent representative of the Crimea Georgy Muradov.

According to him, the process of broadcasting Russian television and radio broadcasting has been launched in the Kherson region and in the south of the Zaporozhye region, and people are increasingly using Russian rubles in their calculations.

“All these are steps in the right direction, because the southeast of Ukraine has always been an important part of Russian civilization, it was the Taurida province,” Muradov told RIA Novosti.
20220323_134127.png
 
hii ni exiting strategy ya urusi , kusema kuwa wanafocus kwe lengo kuu kuchukua donbass inashangaza kdg maana zaidi ya nusu ya eneo lile lilishakuwa mikononi mwa separatist kabla ht vita haijaanza, kimsingi wale separatist waliweza kuchukua eneo kubwa bila airpower wala naval power ya urusi sa urusi kusema anaelekeza fullforce yake huko kuchukua eneo hilo ndo inashangaza maana kwa hali ya ukraine ya sasa hao separatist wangeweza malizia hio shughuli kule east so why russia ipeleke full mziki huko badala kuendelea na juhudi za kuchuku kiev na kharkiv? pengine huu ndio mwanzo wa mwsho wa hii vita
Urusi anachapika sana sema anawaaminisha vichwa ngumu kuwa ni propaganda.
 
Back
Top Bottom