Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kaburi lenye miili ya watu zaidi ya 200 lagunduliwa huko Mariupol, Ukraine
View attachment 2164134
Umoja wa Mataifa umegundua kaburi la pamoja kusini mwa mji wa Mariupol, Ukraine ambalo unasema linaweza kuwa na miili ya watu 200.
Matilda Bogner, mkuu wa ujumbe wa ufuatiliaji wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa nchini Ukraine, amesema timu yake inajaribu kutathmini kiwango halisi cha vifo vya raia.
"Kuna kaburi moja tumeweza kupata taarifa zake kwa satelaiti, na tunakadiria kuwa moja ya makaburi hayo ya pamoja yana watu 200," alisema.

Lakini "hiyo haimaanishi kuwa watu hao wote ni waliokufa ni raia", aliongeza - kwa kuwa idadi hiyo ya Umoja wa Mataifa haijumuishi vifo vya wanajeshi au wale wanaokufa kwa sababu nyingine wakati wa vita.

Takriban raia 1,035 wameuawa, alisema - ingawa Umoja wa Mataifa umekuwa ukisema mara kwa mara kuwa unaamini idadi ya vifo ni kubwa zaidi kuliko idadi rasmi inayotajwa, kutokana na ugumu wa kuthibitisha ripoti na kupata taarifa kutoka maeneo yaliyoathiriwa na vita.

Mapema wiki hii, makamanda wa eneo hilo walisema wanadhani idadi ya vifo vya Mariupol pekee inaweza kuwa zaidi ya watu 3,000. Miili mara nyingi huachwa mitaani kwa sababu ya hatari kuiokoa, na wengi wao baadaye huishia kuzikwa kwenye makaburi ya halaiki.
Hatari Sana.


Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
 
IMG_1301.jpg
 
Mkuu huna unachokifahamu majesh ya russia yamerudishwa walikotoka 100km, kuhus kituoncha mafuta nadhan ww hufaham chochote nyuma ya Ukraine kuna nani unawaza ukraine kama Ukrain, wambie shemegi zako wtoke huko baharini waje uwanjani., wao shida yao si ni Kiyv, kwanini hawaingii kyv??? Wanarusha vijiwe tu?
Hypersonic missile hata NATO wanajambajamba ndo unasema vijiwe
 
US sio wakuwaamini UMBWA wale
ila HOUTHI wananifurahisha sana aseeeeee
kama walitegemea gape atajaza SAUDIA pole yao nakwengine watakapokimbilia tutapachafua tena
Nahisi kama kuna mkono wa urusi huku, maana kinachoenda kutokea ni uhaba wa mafuta, ndipo umuhimu wa Russia unapokuja 😄😄😄😄
 
Mkuu umesoma vizuri hapo juu au kiingereza chako ulisoma darasa moja na mwendazake? Hiyo missiles iliyoripua hicho kituo cha mafuta ilitokea baharini, ina maana kwamba russia kwenye ground wameshindwa sasa utaratibu wao ni kurusha makombora huko walikojificha baharini., lakini dawa yao ni wiki hii hii kuna mizigo toka UK idadi yake ni 6000, ata uko baharini hakutakalika tena watarudi kwao kabisa russia
Mkuu umenichekesha daahhh🤣🤣🤣😅😅
 
Ukraine walijitahidi sana ktk kutumia footages mbalimbali toka kwenye video games kudai wameshambulia vifaru vya Russia, ndege vita za Russia na msafara wa kijeshi wa Russia nchini Ukraine

Pro-Ukraine kwa kuwa wengi wao wana maarifa madogo ktk kutenganisha propaganda na ukweli, wakawa wanabeba tu na kushangilia kisha kusambaza uzushi

SmartSelect_20220326-074033_Chrome.jpg
SmartSelect_20220326-074220_Chrome.jpg
SmartSelect_20220326-074317_Chrome.jpg
 
Timu Russia where you at...

Russia Just scaled down their ambition.

Baada ya kushindwa Kuiteka Kiev na kurudishwa nyuma Km 35, kupokonywa maeneo Kharkiv na hata Donbass, Russia wameamua kupeleka full force Majimbo yanataka kujitenga...


Guys Russia can't fight NATO in conventional War, this has been proven in Ukraine.

Russia imeivamia Ukraine from three fronts, North from Beralus, East from Russia na kutoka Crimea kutoshindwa kufika leo Hadi Sasa kunapaswa kuifanya Russia ufikirie upya kuhusu Jeshi lake Aisee
Embu niambie lengo la Russia kuivamia ukraine ilikua ni nini? Kwenda kuikamta kiev.? Rejea maneno ya malengo ya vita ya Rais Putin, Ukraine akijiunga NATO, akijenga upya jeshi lake, sio hili la kuomba msaada kila siku, pia akifanikiwa kurejesha yale majimbo mawili yaliyojitenga basi atakua mshindi mkubwa wa vita regardless watu waliokufa.

Urusi akichukua donbase, maana cremea tayari pia Ukraine ikikataa kujiunga nato na kupunguza jeshi, Russia ataibuka mshindi. Msitoke nje ya mada.

Conventional war imemshinda Nato pale Syria. Msijasahaulishe.
 
Top news for the day:

- anti-Russian sanctions from the West will not become fatal, they are incomparable with the tests of Russia in the 20th century or the coronavirus, Dmitry Medvedev said;

- Australia within the framework of AUKUS does not seek to acquire nuclear weapons, US Permanent Representative Linda Thomas-Greenfield said at a meeting of the UN Security Council;

- Qatar does not take sides in the Ukrainian crisis, its cooperation with Europe in the energy sector is considered exclusively in the context of business, and not as a strategic confrontation with Russia, the head of the Qatari Ministry of Energy said.
Galip SV Liwagu
20220323_134127.png
 
Over the past week, our heroic Armed Forces have dealt powerful blows to the enemy, significant losses. They say that the Minister of Defense of Russia has disappeared somewhere… I wonder if he personally wanted to visit Chornobaivka?
images (4).jpeg
 
tukakaa hivi hivi kwamba hizi ni propaganda kumbe mambo yamebadilika - hakuna yoyote aliyedhani vita hii itakuchukua siku 30 - hata Putin mwenyewe haamini.

Kuondoka huko hawezi kabisa maana itaonekana kashindwa, kwa hiyo kinachokwenda kufanyika ni makubaliano ya kumaliza vita na Ukraine moja kwa moja kujiunga NATO - na Mrusi kudhoofu ki-uchumi na huo ndio utakuwa mwisho wa utawala wa Putin - game over
Putin aliwahi kusema muda ambao anataka atumie Ukraine???
 
Donbas tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwahyo denazification na demilitarisation imeishia wapi?! Au baada ya kusikia mzigo wa silaha wa USA robo yake ushafika Kiev jamaa akaamua kubadili gia angani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo silaha zinafikaje bila Urusi kuziona? Maana nimeona Drones, strellas, generators

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timu Russia where you at...

Russia Just scaled down their ambition.

Baada ya kushindwa Kuiteka Kiev na kurudishwa nyuma Km 35, kupokonywa maeneo Kharkiv na hata Donbass, Russia wameamua kupeleka full force Majimbo yanataka kujitenga...


Guys Russia can't fight NATO in conventional War, this has been proven in Ukraine.

Russia imeivamia Ukraine from three fronts, North from Beralus, East from Russia na kutoka Crimea kutoshindwa kufika leo Hadi Sasa kunapaswa kuifanya Russia ufikirie upya kuhusu Jeshi lake Aisee
Hii vita ngumu kuisha maana Ukraine atapewa Ndege vita na Ulinzi wa Anga hapo Ukraine ataanza mtoa Urusi taratiibu na Crimea itarudi Ukraine kwa njia yoyote ile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom