GreatSeal
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,785
- 3,095
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila bongo [emoji119][emoji119][emoji119]
Ua kabisa haya matakataka ya kirusi .Mkuu umesoma vizuri hapo juu au kiingereza chako ulisoma darasa moja na mwendazake? Hiyo missiles iliyoripua hicho kituo cha mafuta ilitokea baharini, ina maana kwamba russia kwenye ground wameshindwa sasa utaratibu wao ni kurusha makombora huko walikojificha baharini., lakini dawa yao ni wiki hii hii kuna mizigo toka UK idadi yake ni 6000, ata uko baharini hakutakalika tena watarudi kwao kabisa russia
Hivyo vitisho ni kwa nchi kama Libya sio urusi... the last kicks of a dying horse! Air Force One imetua salama Eastern Europe; one of the heaviest delegations ever and the airspace fully under controll. Let's keep our ears on. Jambo zito gonna happen.
Mkuu huna unachokifahamu majesh ya russia yamerudishwa walikotoka 100km, kuhus kituoncha mafuta nadhan ww hufaham chochote nyuma ya Ukraine kuna nani unawaza ukraine kama Ukrain, wambie shemegi zako wtoke huko baharini waje uwanjani., wao shida yao si ni Kiyv, kwanini hawaingii kyv??? Wanarusha vijiwe tu?Russia walichelewa sana kulipua hii depot ya mafuta kama ndo ilikua inasuppy kwa military..... hapo ndo wamepiga kwenye mshono maana logistic za kijeahi zitaathirika.
Ndo maana Zelesky alikazania sana awekewe "No fly zone"

In the short-term, alternatives to Russian energy products "will inevitably slow the world's progress toward net-zero [emissions] in the near term," he added. BlackRock is the world's largest asset manager, which has pushed "ESG" policies that harm American fossil fuel companies, basically following the World Economic Forum's (WEF) script."We've already seen European policymakers promoting investment in renewables as an important component of energy security," he said. "More than ever, countries that don't have their own energy sources will need to fund and develop them– which for many will mean investing in wind and solar power."
Frink has made clear the conflict in Ukrainian is being used as an accelerator to reorganize the global economy as the old world order crumbles and a multipolar world emerges. Supply chains will be onshored or moved closer to home, and the WEF's agenda of a green new world, more corporate surveillance, and trackable money are inevitable this decade."Russia has been essentially cut off from global capital markets, demonstrating the commitment of major companies to operate consistent with core values. This "economic war" shows what we can achieve when companies, supported by their stakeholders, come together in the face of violence and aggression," he said.
Fake data unapoteza Muda wako kufurahia fake data hii ni data kutoka Kwa wenye data wenyeweUa kabisa haya matakataka ya kirusi .View attachment 2164414View attachment 2164415
c tuliambiwa kakamatwa huyu mwamba yupo segedans au!?Russian Defense Minister Sergei Shoigu held a meeting with Finance Minister Anton Siluanov, during which they discussed the implementation of the state defense order and financing of the Russian army, the military department said.
Galip SV Liwagu View attachment 2163969
Utaivamia nchi ya nukes, yenye ICBM? Unataka kuwatoa kafara Europe? Watakubali? Nakuhakikishia 100% USA kwenye vita na wababe wenzie hatii miguu. Kashakimbia Syria, alikimbia Vietnam na ataondoka hapo Ukraine.Utabiri wangu. There is a great probability that a weapon of mass destruction may be used by US-NATO against Ukrainians, and Moscow will be a scapegoat.
Ndipo NATO wataivamia Russia kutoka kila pande, na hapo ndipo utakuwa ule mwanzo wa ile dhiki kuu.
RUSSIA kama MAJI heheheeGermany, Austria and Hungary oppose breaking trade relations with Russia, the Polish prime minister said.
Galip SV Liwagu View attachment 2163982
ila tu watujie na RUBO la sivyo watuachie wese letuSanctions on energy from Russia will bring the Hungarian economy to a halt.
This was stated by Prime Minister Viktor Orban following the consultations of the heads of government of the European Union.
“Some countries have again proposed extending sanctions to energy, coal, gas and oil. The President of Ukraine, who also asked us about it, took part in the discussion via video link. We thought about it and rejected it, given that 85% of gas and 60% of oil come to Hungary from Russia, ”RIA Novosti quotes Orban.
According to him, not only Hungary is against energy sanctions:
“Fortunately, some other countries have made similar arguments, so common sense has prevailed and gas and oil will continue to flow into Hungary.”
Galip SV Liwagu View attachment 2163988
Jumlisha wewe. Au nenda kawasemee kwa NATO. Mkiambiwa wale Nato wahuni mnakataa... Ukraine itapotea hali hii ikiendelea... itakua historia kama ilivyokua YugoslaviaRussia Ajumlishe kwenye invoice ya atakacholipia uharibifu hiyo ni invoice yake a jumlishe hicho alichobomoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]Hungary has rejected Ukraine's call to allow arms supplies through its territory and refuse Russian oil and gas, said Hungarian Foreign Minister Peter Szijjártó.
Galip SV Liwagu View attachment 2163992
Hahaha hahaha ngoja tusubiri hii wiki. Mtu na akili zako unasikiliza wahuni wale wa Nato?Mkuu umesoma vizuri hapo juu au kiingereza chako ulisoma darasa moja na mwendazake? Hiyo missiles iliyoripua hicho kituo cha mafuta ilitokea baharini, ina maana kwamba russia kwenye ground wameshindwa sasa utaratibu wao ni kurusha makombora huko walikojificha baharini., lakini dawa yao ni wiki hii hii kuna mizigo toka UK idadi yake ni 6000, ata uko baharini hakutakalika tena watarudi kwao kabisa russia
Muulize mbona saudi arahia wanayo na haya zuii makombora ya waasi wa yemenwewe uliiona wapi ikifanya kazi ya kuzuia makombora?
Hizi si ndio zinadunguliwa kila Mara na hao wajuba wa Zelensky.Hizi helicopter za kirusi zinaupiga mwingi sana huko ukraine,uwanja wa mapambano,zinapiga hadi target ya 7km,na hazikosei target.View attachment 2164322
Ahhahhaaaa...hhaaaaa..zinadondoshwa kama maembe mabovu.
Tuliza kejeli basi wee unazarau vya kwenu hamia huko ulaya basiKwenye suala zima la migogoro ya kidunia Kabudi alikuwa vuzuri, angekuwepo hii vita ingekua imeisha.
Au mnasemaje?
Kabudi alikuwa haogopi aliita wawakilishi bunge la ulaya ni wahuni wakamuogopa na hawakumjibu na akawaambia Tanzania haijawahi kushindwa vita.
Jwtz wakiingia pale Ukraine na zile Mig zetu za maonyesho, wallah sio Russia wala Ukraine lazima wakae wasimame kwanza wafanye mazungumzo.
Hahaha hahaha ngoja tusubiri hii wiki. Mtu na akili zako unasikiliza wahuni wale wa Nato?