Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

... the last kicks of a dying horse! Air Force One imetua salama Eastern Europe; one of the heaviest delegations ever and the airspace fully under controll. Let's keep our ears on. Jambo zito gonna happen.
Ni sawa na kufumuliwa marinda afu unamuwazi anaekufumua kwamba akichoka nawe ndo umfumue sasa ole wako jamaa awe na mapafu ya mbwa
 
Huyo uliyemquote wewe alisema tu samart wewe ukasema rs36 samart ukaja na maelezo ya spare na maintenance ndio mm nikakuambia labda (huyo uliyemquote) alimaanisha rs28 samart!

Kuna swali langu hapo chini kbs naona umeliskip!

Btw najifunza mengi ya silaha na zana kutoka kwako, shukrani tupo pamoja!

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Pamoja mkuu humu tunaelekezana na sometimes mtu unakosa accuracy kwa kuwa sisi sio journalists kwamba tufanye uhakiki kwanza.

Leo sijacomment chochote humu niko busy hata kesho pia. Sijui kipi kinaendelea uko duniani
 
Utabiri wangu. There is a great probability that a weapon of mass destruction may be used by US-NATO against Ukrainians, and Moscow will be a scapegoat.

Ndipo NATO wataivamia Russia kutoka kila pande, na hapo ndipo utakuwa ule mwanzo wa ile dhiki kuu.
... the last kicks of a dying horse! Air Force One imetua salama Eastern Europe; one of the heaviest delegations ever and the airspace fully under controll. Let's keep our ears on. Jambo zito gonna happen.
 
Nafikiri kwa sasa wote tulioshangilia vita tunaona matokeo. Kwanza nampongeza Zelensky. Ni mwanaume hasa. Pili nampa pole Putin na warusi wa tukuyu. Mwezi mzima mmeshindwa kuichukua nchi. Vita sio kitu kirahisi kihivyo. Pili, sasa hata wananchi wa Russia wanajua kuna vita. Miili inarudi kwenye mabegi. Wanaokufa ni watoto wao so inawauma. Matajiri wote hela zimeyeyeka. Starehe zote kapuni. Tatizo tu ni kwamba bei ya mbolea na mafuta inanigusa na mimi. Hapa bado sana. Huwa tutajifunza tukiwa tumechelewa. Wakati vita inaanza kupulizwa mwaka 2014 tulitakiwa tujiandae. Tuna gesi tuliyowauzia wazungu bure, tunaweza kutengeneza viwanda vya mbolea na viwanda vya kuichakata gesi kuwa yenye kutumika majumbani, pia tuna ardhi ya kulima alizeti na michikichi. Tujipange maana bado bei ya unga wa ngano pia utapanda mara dufu. Tambi zitapanda, unga wenyewe, mikate na maandazi na labda bia. Tunategemea kuagiza ngano nyingi kutoka urussi au ukraine. Hii vita itufumbue macho tuwekeze kwenye vitu tunavuyotumia. Tunaweza kaa uchi lakini hatuwezi kuacha kula chakula. Funzo kubwa sana hapa tuache kushabikia bila kufungua macho yetu. Hata kama hatuna technologia kwani Mkorea aliwezaje? Mchina je? Mtaiwani? Tuanzeni sehemu.
 
Russia inaendea kusonga Mbele soon Mariupol republican
JamiiForums1889339266.jpg
 
Sergey Zergulio Kolyasnikov
Yesterday, at the NATO and G7 summits, we saw almost all five stages of acceptance by the collective West of the inevitable consequences of the sanctions confrontation with Russia.

Thus, French President Emmanuel Macron said that due to the events in Ukraine, an “unprecedented” food crisis could arise in the world. “Food shortages will be real,” French President Joe Biden confirmed the findings.

It is not clear otherwise. The leaders of the democratic world are energetically deploring the lack of food and sincerely pity the African countries that are in danger of famine. The share of the EU is given a maximum increase in the cost of food.

Meanwhile, only in the last two weeks in Germany, prices for certain categories of goods increased from 13 to 41%. And the Germans, accustomed to prosperity, got acquainted with the rule "no more than one / two / three packs in one hand."

Videos of fights for sunflower oil in French supermarkets have spread all over social networks. The fact is that the list of five leaders in sunflower production looks like this (2019): Ukraine - 16.5 million tons, Russia - 15.3 million tons, Argentina - 3.3 million tons, Romania - 3.3 million tons, China - 3.3 million tons. Estimate the gap between the first two. It suddenly turned out that without Russia there was nothing to even fry a croissant on.

But the outlook is even worse. As early as September 2021, due to gas prices in Europe, fertilizer plants stopped working. Gas then cost $750 per 1,000 cubic meters. m, and even this cost was unbearable for production. But in today's environment, such a price seems surprisingly low.

But gas is not only fertilizers. Here is a photo of empty greenhouses in Germany. It's easy to see why it's easier to close them than to use them. At these energy prices, tomatoes will have to be sold by the weight of sable skins.

So Biden and Macron are certainly right about the food crisis. But it will affect not only Africa.
20220323_134127.png
 
Ziara ya Biden nchini Poland ni ishara kwamba vikwazo havitoweza kuipunguza kasi Russia kupeleka mashambulizi na hatimae kuichukua Ukraine.

Kuna hatua zInachukuliwa, time will tell, kwa kipindi hiki ambapo Putin mwenyewe ulinzI umeimarishwa nashangaa Biden anapita sehemu kama hizo.
 
Nafikiri kwa sasa wote tulioshangilia vita tunaona matokeo. Kwanza nampongeza Zelensky. Ni mwanaume hasa. Pili nampa pole Putin na warusi wa tukuyu. Mwezi mzima mmeshindwa kuichukua nchi. Vita sio kitu kirahisi kihivyo. Pili, sasa hata wananchi wa Russia wanajua kuna vita. Miili inarudi kwenye mabegi. Wanaokufa ni watoto wao so inawauma. Matajiri wote hela zimeyeyeka. Starehe zote kapuni. Tatizo tu ni kwamba bei ya mbolea na mafuta inanigusa na mimi. Hapa bado sana. Huwa tutajifunza tukiwa tumechelewa. Wakati vita inaanza kupulizwa mwaka 2014 tulitakiwa tujiandae. Tuna gesi tuliyowauzia wazungu bure, tunaweza kutengeneza viwanda vya mbolea na viwanda vya kuichakata gesi kuwa yenye kutumika majumbani, pia tuna ardhi ya kulima alizeti na michikichi. Tujipange maana bado bei ya unga wa ngano pia utapanda mara dufu. Tambi zitapanda, unga wenyewe, mikate na maandazi na labda bia. Tunategemea kuagiza ngano nyingi kutoka urussi au ukraine. Hii vita itufumbue macho tuwekeze kwenye vitu tunavuyotumia. Tunaweza kaa uchi lakini hatuwezi kuacha kula chakula. Funzo kubwa sana hapa tuache kushabikia bila kufungua macho yetu. Hata kama hatuna technologia kwani Mkorea aliwezaje? Mchina je? Mtaiwani? Tuanzeni sehemu.
Hivi mnaongeaga kirahisirahisi mnaona Ukraine ni nchi ndogo.... Hiyo ndivyo nchi inafuata Kwa ukubwa baada ya Urusi.... Yaaani unaunganisha nchi za ulaya hata 10 hawafikiii eneo la Urusi... Na Ukraine ndio anamfuata Kwa ukubwa wa eneo halafu MchaMbuzi Mmoja wa Mwamapalala anakaza shingo ...hiyo nchi ni kubwa ...

Screenshot_20220325-203143.jpg
 
Russia is moving away from the euro and the dollar. Payments for gas supplies to buyers from "unfriendly countries" will be made in rubles.

What does it mean? @SputnikLive learned from the experts:

▪️From a technical point of view, there are no problems in switching to rubles, because Russia is not going to change the pricing formula.

▪️ Deliveries will continue in accordance with the volumes and prices in the contracts. There are no breaches of agreements.

▪️Since the West does not intend to return to Russia the foreign exchange reserves it has frozen, Moscow will itself return these funds to the Russian Federation in this way.

▪️Another goal is to show the West that their sanctions hit them themselves. To purchase rubles from the Central Bank, Europe will have to withdraw it from sanctions.

▪️Otherwise, Western companies will have to look for rubles on the stock exchange. And there are almost no non-sanctioned Russian companies with such a volume of rubles.

▪️At the same time, this measure will protect the proceeds from another "freeze" by the West.

▪️ In the EU countries, this news caused disunity. Someone called to stop buying Russian gas and not agree to the Russian ultimatum. Someone expressed readiness to pay in rubles.

Such a split is beneficial to Russia.

▪️The decision has already strengthened the ruble exchange rate. In the long term, this may lead to a precedent in other sectors and industries, reduce the demand for dollars.

▪️The decision also provoked an increase in the cost of gas in Europe. If the transition to trading in rubles does not suit buyers, then there will be no trade, and then gas prices in Europe will be very high.
 
Nafikiri kwa sasa wote tulioshangilia vita tunaona matokeo. Kwanza nampongeza Zelensky. Ni mwanaume hasa. Pili nampa pole Putin na warusi wa tukuyu. Mwezi mzima mmeshindwa kuichukua nchi. Vita sio kitu kirahisi kihivyo. Pili, sasa hata wananchi wa Russia wanajua kuna vita. Miili inarudi kwenye mabegi. Wanaokufa ni watoto wao so inawauma. Matajiri wote hela zimeyeyeka. Starehe zote kapuni. Tatizo tu ni kwamba bei ya mbolea na mafuta inanigusa na mimi. Hapa bado sana. Huwa tutajifunza tukiwa tumechelewa. Wakati vita inaanza kupulizwa mwaka 2014 tulitakiwa tujiandae. Tuna gesi tuliyowauzia wazungu bure, tunaweza kutengeneza viwanda vya mbolea na viwanda vya kuichakata gesi kuwa yenye kutumika majumbani, pia tuna ardhi ya kulima alizeti na michikichi. Tujipange maana bado bei ya unga wa ngano pia utapanda mara dufu. Tambi zitapanda, unga wenyewe, mikate na maandazi na labda bia. Tunategemea kuagiza ngano nyingi kutoka urussi au ukraine. Hii vita itufumbue macho tuwekeze kwenye vitu tunavuyotumia. Tunaweza kaa uchi lakini hatuwezi kuacha kula chakula. Funzo kubwa sana hapa tuache kushabikia bila kufungua macho yetu. Hata kama hatuna technologia kwani Mkorea aliwezaje? Mchina je? Mtaiwani? Tuanzeni sehemu.
Tayari wameshatangaza "kumaliza kazi" na wanasema wanahamia kwenye yale majimbo mawili kuimarisha uhuru. Russia imeona ikiendelea kukomaa itadharirika zaidi. Na hii ilijulikana kabisa baada ya kushindwa Putin atatafuta kichaka cha kuficha uso wake.
 
Back
Top Bottom