Hao BBC, Aljezeera, Sky News, Fox News, CNN hawajawahi kutaja idadi ya Askari wa Ukraine waliokufa....yaaani wao ni kuonesha picha za kinachodaiwa ni majengo yaliyobomolewa sijui Mara hospitali yaaani mipicha ya siku hata siku tano inajirudiarudia...duhUnafichaje habari za vifo vyote hivyo? ni wastani wa wanajeshi 300 wa Urusi wanafariki kila siku tangu vita ianze kwa idadi hiyo uliyosema, hii ingekuwa sherehe BBC na CNN.
Sawasawa...yaani watoe za kweli watu waanze maandamano...hizi ni takwimu rasmi za walizotoa wao wenyew, binafsi si za kweli km nisivyoamin zinazotolewa na waukraine, takwimu za kweli kila upande ni siri yao wenyewe
Tofauti ya hizi Air Defence Systems ipo kwenye shooting range, wakati hizi shoulder carried air defence systems zina shooting range ya 3,000-4,500 M altitude, S-300 Air Defence System ina shooting range altitude of 12,000 M and above.Acha kuleta porojo zako, unadhani sote ni washamba wa S-300?
S-300 huwezi kuzifanabisha kwa ubora na ufanyaji kazi na hayo magobole ya MANPAD ambayo ndege ikiruka zaidi ya kilomita 10 hayana msaada. Na kuna functions nyingi tu S-300 inafanya hayo magobole hayawezi.
Zelensky mwenyewe pamoja na kupewa hayo magobole ya NATO ya MANPAD anaendelea kulilia pisi moja ya S-300 ili ajikinge na makombora ya balistiki na kruizi.
Acha kufananisha S-300 na vitu vya kijinga.
View attachment 2164064
View attachment 2164069
Asipotumia mnamuacha Ukraine apambane na Hali yake SI ndio...vinafikiii hiviii vizeee vya NATO
Waasi wa Yemeni ..wanalipua Saudi.... Ngoma ngumuWaasi wa yemen wamevilipua visima vya mafuta vya saudia jioni ya leo mbaya zaidi eneo hilo linalindwa na mifumo ya ulinzi wa anga ya marekani patroit ambayo mifumo hiyo ndio imepelekwa poland
Bei ya mafuta imepanda maradufuView attachment 2164263View attachment 2164264
Mimi naona wakubali tu liwe jimbo la Urusi mambo yasiwe mengi.Ukraine na Urusi wamesha kubaliana masharti 4 kati ya 6 ili kusitisha mapigano.
Masharti yaliyo fikiwa mwafaka ni pamoja na (1) Ukraine imekubali kutojiunga na NATO.
(2) Ukraine kuhakikishiwa usalama wake.
(3) kurudisha lugha ya kirusi kwenye mtaala wa elimu uliokuwa umeondolewa.
(4) Ukraine kukubali kupinguza jeshi lake.
Masharti ambayo bado hawajakubalia ni
(1)kuhusu uhuru wa mkoa wa Dombas
(1) kuhusu Cremea.
Haya ni kwa mujibu wa rais wa Uturuki bwana Edorgan.
Russia is already overstretched, it cannot operate on two different front lines and if it tries, the result will be calamitous.poland ni member wa NATO ina maana kuna dalili kuwa urusi kufungua another front tena against NATO? mbn mambo yatakuwa complicated sana, sidhan km kuna nchi yeyote dunian iko interested na situation km hiyo ingawa inawezekana ikatokea
Hiyo namba 3 ya kurejesha lugha ya kirusi ni kwa yale majimbo mawili ya mashariki mwa Ukraine ya Donentsk na Luhanskh na sio Ukraine nzima.Ukraine na Urusi wamesha kubaliana masharti 4 kati ya 6 ili kusitisha mapigano.
Masharti yaliyo fikiwa mwafaka ni pamoja na (1) Ukraine imekubali kutojiunga na NATO.
(2) Ukraine kuhakikishiwa usalama wake.
(3) kurudisha lugha ya kirusi kwenye mtaala wa elimu uliokuwa umeondolewa.
(4) Ukraine kukubali kupinguza jeshi lake.
Masharti ambayo bado hawajakubalia ni
(1)kuhusu uhuru wa mkoa wa Dombas
(1) kuhusu Cremea.
Haya ni kwa mujibu wa rais wa Uturuki bwana Edorgan.
Kwenye vita hakuna taifa litakalo kubali kuweka takwimu sahihi ya vifo sahau iwe Urusi iwe Marekani iwe Uingeleza,hata Tanzania.Sawasawa...yaani watoe za kweli watu waanze maandamano...
10:30 a.m. President Volodymyr Zelenskyy says that Ukrainians "need to achieve peace" and halt the Russian bombardment that has forced millions to flee to countries like Poland, where U.S. President Joe Biden is due to visit and witness the crisis first hand. Appearing exhausted in a brief video address early on Friday, Zelenskyy said he had made appeals to Western leaders "all for one reason -- so that Russia understands that we need to achieve peace. Russia also needs to achieve peace."