Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 22,502
- 48,479
HahahaYuko na 27yrs kwa mujibu wake,sasa hapo si unahangaika na mtoto ambae bado anakunywa maziwa unamuuliza vitu vikubwa mno,mwache kwanza ahangaike na application za kazi😀
HahahaYuko na 27yrs kwa mujibu wake,sasa hapo si unahangaika na mtoto ambae bado anakunywa maziwa unamuuliza vitu vikubwa mno,mwache kwanza ahangaike na application za kazi😀
BBC inakuwa ipo wapi wakati wanajeshi wote hao wanakufa au hata Azov wenyewe simu zao zinakuwa zimeisha chaji au? Ukraine haina uwezo wa kuficha taarifa za vifo vya wanajeshi wake, ni kwamba Marekani na West kwa ujumla wameamua tu kupotosha idadi ya vifo.hahaa mbn ukraine wanafcha kwann urusi ishindwe?
Kwa ulichojibu Usipotukanwa sijui😀😀Kwa mtazamo wangu hapo Russia ndiyo anaumizwa kwasababu Washindani wake wamepata sababu nzuri tu ya kumwadhibu kiuchumi na wakati huo huo ataendelea kupigana kwa muda mrefu na vita inahitaji pesa,ikiendelea kwa muda mrefu itakuwa msiba mkubwa kwa Uchumi wa Russia ambao tayari umeshachakazwa kwa vikwazo vya kiuchumi. By the time 'anapewa ushindi" huku kwenye Uchumi atakuwa hoi bin taaban.Yale ya 1990 wakati wa kuanguka kwa Soviet ndiyo yanakwenda kujirudia tena kwa Russia kama Taifa.Ni swala la muda tu.
Yaani hicho kitoilet paper ndo ...mzigo uishafika na unawapa masaa 48/....kweli we ni kiazi kutoka face book...Mzigo umeisha fika sasa tunawapa masaa 48 warusi wajisalimishe wenyewe kabra tujaanza kutuma Salamu adi Moscow . Bwana ametoa ..........!!!View attachment 2164026
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Unatumaje drones kwa nchi ambayo ina uhuru wake na bado unaweka no fly zone kwenye anga la watu ......alafu bado unakaza fuvu kusema obama hakuvamia libya .......are you siriousKwa hiyo kuweka no fly zone na kutuma drones ndio kuvamia?
hii makitu ni balaa.Nimeshalamba dawa [emoji23][emoji23] pro Nato vita vya maneno hamshindi, wala pale Ukraine hamshindi.
Wenye matusi kaeni pembeni, nimevurugwa.View attachment 2164230
Sahihi ila cha ajabu takwimu za urusi anatoa ukraini ila zake hatoi hapo ndo kuna ajabuhizi ni takwimu rasmi za walizotoa wao wenyew, binafsi si za kweli km nisivyoamin zinazotolewa na waukraine, takwimu za kweli kila upande ni siri yao wenyewe
Something new,big and powerful will born out of these embargos and sanctions against russia and other us +nato enemies.
MJINGA SANA HUYU mtu Russia piga haka kamtu kajinga bomu10:30 a.m. President Volodymyr Zelenskyy says that Ukrainians "need to achieve peace" and halt the Russian bombardment that has forced millions to flee to countries like Poland, where U.S. President Joe Biden is due to visit and witness the crisis first hand. Appearing exhausted in a brief video address early on Friday, Zelenskyy said he had made appeals to Western leaders "all for one reason -- so that Russia understands that we need to achieve peace. Russia also needs to achieve peace."
Hii habarl nilikuwa naisubili kwa hamu sana kwani niliamini itakuja tuu. Wale wapiga kelele baada ya kubugia matango poli ya Westerners watakuja tu kukaa kimya kwa aibu. Russia hii vitaimejiaandaa vya kutosha na wanajua nini wanafanya10:30 a.m. President Volodymyr Zelenskyy says that Ukrainians "need to achieve peace" and halt the Russian bombardment that has forced millions to flee to countries like Poland, where U.S. President Joe Biden is due to visit and witness the crisis first hand. Appearing exhausted in a brief video address early on Friday, Zelenskyy said he had made appeals to Western leaders "all for one reason -- so that Russia understands that we need to achieve peace. Russia also needs to achieve peace."
Hakuna kitu kitakachotokea. Ni tabia yao tu ya kupenda makamera na attentions... the last kicks of a dying horse! Air Force One imetua salama Eastern Europe; one of the heaviest delegations ever and the airspace fully under controll. Let's keep our ears on. Jambo zito gonna happen.
Russia inaweza kuwa imepoteza Askari Kati ya 2000 na 3000 lakini Sina Shaka yoyote Ukraine ni zaidi ya 15000ukraine wanakuza ila pia russia na wao watakua wamedowngrade hawawez toa takwimu rahisi, kuna gazeti moja la moscow ambalo ni pro-kremlin lilichapisha idadi ya vifo 9000 za wanajeshi wa urusi wakinukuu wizara ya ulinzi but kesho yake wakadelete wakasema ni hackers waliweka hio habari, spies wamagharibi wanaamini ni around 10,000 but ni ngumu kupata data ambazo ni accurate ingawa vifo vitakuwa vingi lkn vitakuwa ni viachache kulinganisha na ukraine ambao hawana ht mda wa kuhesabu