Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

... the last kicks of a dying horse! Air Force One imetua salama Eastern Europe; one of the heaviest delegations ever and the airspace fully under controll. Let's keep our ears on. Jambo zito gonna happen.
Mmmh wew nawe una imani na USA/Nato, wale wazee wa mikwala tu na kupenda macamera,
Mim binafsi kabla ya invasion nilidhan baada ya russia kuivamia ukrain, USA na Nato wangeingia vitani na russia, kumbe nilikua najidanganya
 
Nafikiri kwa sasa wote tulioshangilia vita tunaona matokeo. Kwanza nampongeza Zelensky. Ni mwanaume hasa. Pili nampa pole Putin na warusi wa tukuyu. Mwezi mzima mmeshindwa kuichukua nchi. Vita sio kitu kirahisi kihivyo. Pili, sasa hata wananchi wa Russia wanajua kuna vita. Miili inarudi kwenye mabegi. Wanaokufa ni watoto wao so inawauma. Matajiri wote hela zimeyeyeka. Starehe zote kapuni. Tatizo tu ni kwamba bei ya mbolea na mafuta inanigusa na mimi. Hapa bado sana. Huwa tutajifunza tukiwa tumechelewa. Wakati vita inaanza kupulizwa mwaka 2014 tulitakiwa tujiandae. Tuna gesi tuliyowauzia wazungu bure, tunaweza kutengeneza viwanda vya mbolea na viwanda vya kuichakata gesi kuwa yenye kutumika majumbani, pia tuna ardhi ya kulima alizeti na michikichi. Tujipange maana bado bei ya unga wa ngano pia utapanda mara dufu. Tambi zitapanda, unga wenyewe, mikate na maandazi na labda bia. Tunategemea kuagiza ngano nyingi kutoka urussi au ukraine. Hii vita itufumbue macho tuwekeze kwenye vitu tunavuyotumia. Tunaweza kaa uchi lakini hatuwezi kuacha kula chakula. Funzo kubwa sana hapa tuache kushabikia bila kufungua macho yetu. Hata kama hatuna technologia kwani Mkorea aliwezaje? Mchina je? Mtaiwani? Tuanzeni sehemu.
Kwa hiyo siku hizi vita ni kama mechi ya mpila yakwamba ina muda maalumu ukiisha kabla ya lengo kufikiwa basi umeshindwa?

Kweli ukikosa akili unakuwa unepoteza kila kitu katika maisha yako matokeo yanakuwa kama haya kuongea utoporo.
 
LPR's People's Militia received Ukrainian weapons and equipment - among them NLAW anti-tank grenade launchers - which had been captured by the Russian military.
 
Mji tayari upo chini ya warusiView attachment 2164323
Mi mwenyewe ni proRussia sababu nataka sana na nnapenda sana Bipolar Politics .... Bila Urusi huu ulimwengu sijui ungekuwaje .... Urusi anafanya siasa za ulimwengu kuwa na check n balance ... Miaka yote tangu Kwa Nopeleon Bonaparte ... Mrusi ndio anafanya DUNIA iwe na balance ..yataisha haya .... Mtaona
 
Sio kudharirika vita ina phases na target au ma lengo waziri wa ulizi amesema phase ya kwanza na malengo yamepatika kwa 100% kuanzia kesho wanaanza phase 2. Ya kuongeza ineo la hizo republican mbili ziwe nchi kamili, kuziwezesha itasaidia sana Ukraine itakua imepata adui ndani mwake mwenye uuwezo wakupigana, kwahiyo Urusi itakua inatumia hao kuchesa proxy war na Ukraine tena wakati huo huo atakua mpatanishi kati yao, what a smart move for Russia.
Russia sio muda mrefu watakuwa nchi ya dunia ya tatu ndio wapate nguvu ya kupiganisha tena watu.

Tayari maeneo mengine wameshaanza kupimiwa sukari, mtu haruhusiwi kununua zaidi ya kilo tano, yale yale ya USSR ndio yanarudi.
 
Nina wazo moja. Kwa kuwa vita inaendelea Ukraine ila sisi tunavutana hapa jukwaani tupange kesho kambi ya Urusi na Ukraine tukutane ofisi za Jamii Forums tuchapane ngumi ubishi uishe.
Huo muda unautolea wapi ... Mtu anarusha ngumu kama anarusha kombeo .... Anaikorogaaaaaaaa ndio arushe hahahahahaaaaaa.......
 
Russia sio muda mrefu watakuwa nchi ya dunia ya tatu ndio wapate nguvu ya kupiganisha tena watu.

Tayari maeneo mengine wameshaanza kupimiwa sukari, mtu haruhusiwi kununua zaidi ya kilo tano, yale yale ya USSR ndio yanarudi.
Mkuu hayo unayo yaongea ww juzi Dw walimuhoji mtz anaye ishi Urusi anasema hakuna kitu kikubwa kilicho badilika kwenye maisha ya kawaida.
 
SmartSelect_20220325-211534_Twitter.jpg
 
Japan anaugulia ndani kwa ndani ila ipo siku atalipiza kisasi. Mataifa mengi yapo na US kinafiki sema ndo hawana jinsi ila ikitokea vita US atageukwa hata amini.
Wewe ni wa kijiweni kabisa, vita vimesha pigwa mara ngapi na hawajamuacha.
 
Mkuu hayo unayo yaongea ww juzi Dw walimuhoji mtz anaye ishi Urusi anasema hakuna kitu kikubwa kilicho badilika kwenye maisha ya kawaida.
Mimi naangalia Al Jazeera watu wanahojiwa mitaani wanalia halafu wewe unaongea vitu gani bwana.
 
Back
Top Bottom