Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Comred
Hamna hiki kitu MKUU kwani NATO huwajui!!?Utabiri wangu. There is a great probability that a weapon of mass destruction may be used by US-NATO against Ukrainians, and Moscow will be a scapegoat.
Ndipo NATO wataivamia Russia kutoka kila pande, na hapo ndipo utakuwa ule mwanzo wa ile dhiki kuu.
Labda Al jazeera ya buza .Mimi naangalia Al Jazeera watu wanahojiwa mitaani wanalia halafu wewe unaongea vitu gani bwana.
Hawa jamaa wana nichekeshaga sana yaani wao huwa hawaamiani kabisa kila sehemu wanatembea na bunduki.