Michael Andrew Jr
JF-Expert Member
- Jul 1, 2020
- 219
- 665
Hahaha unawapangia wakupige kutokea wapi? Yaani unapigana na mtu unalia asikupige mateke ila ngumi tu, una akili?Mkuu haya maneno Zelensky toka siku ya kwanza anayahubiri lakin kama unakumbuka mpaka mazungumzo pande 2 yanaendelea lakin solution bado., kumbuka sasa ni mwezi wakati russia speed ya mashambulizi aliyoanza nayo leo si wa kusikia yuko baharini uko anarusha missiles Ukraine,
Ni wazi vita imemshinda na kukimbia kwenye ground na kujificha baharini huko, tulitegemea majeshi ya russia yaingie Kiyv na kupachua bendera za ukraine na kupachika ya kwao., lakini kama wamerudi hadi baharini uko na kurusha vikombora ni bora atangaze kushindwa, Kiev imemshinda
Tunarudia tena, lengo si kuteka kiev, lengo ni demilitarization, Not to join Nato, and freedom of donbase