Urusi akishinda Ukraine nitatembea uchi kwa miguu kutoka Dodoma hadi kwa wakojani ZanzibarJumlisha wewe. Au nenda kawasemee kwa NATO. Mkiambiwa wale Nato wahuni mnakataa... Ukraine itapotea hali hii ikiendelea... itakua historia kama ilivyokua Yugoslavia
US sio wakuwaamini UMBWA waleWaasi wa yemen wamevilipua visima vya mafuta vya saudia jioni ya leo mbaya zaidi eneo hilo linalindwa na mifumo ya ulinzi wa anga ya marekani patroit ambayo mifumo hiyo ndio imepelekwa poland
Bei ya mafuta imepanda maradufuView attachment 2164263View attachment 2164264
tunapeleka moto mpaka wakubali na wakikubali sisi tunaongeza masharti mengineUkraine na Urusi wamesha kubaliana masharti 4 kati ya 6 ili kusitisha mapigano.
Masharti yaliyo fikiwa mwafaka ni pamoja na (1) Ukraine imekubali kutojiunga na NATO.
(2) Ukraine kuhakikishiwa usalama wake.
(3) kurudisha lugha ya kirusi kwenye mtaala wa elimu uliokuwa umeondolewa.
(4) Ukraine kukubali kupinguza jeshi lake.
Masharti ambayo bado hawajakubalia ni
(1)kuhusu uhuru wa mkoa wa Dombas
(1) kuhusu Cremea.
Haya ni kwa mujibu wa rais wa Uturuki bwana Edorgan.
Umeanza leo kutembea uchi? Kwanza huo uchi unao? OnyeshaUrusi akishinda Ukraine nitatembea uchi kwa miguu kutoka Dodoma hadi kwa wakojani Zanzibar
wewe jamaa bwana hujasikia wakat ndio erdogan kaishasema hvyoHiyo namba 3 ya kurejesha lugha ya kirusi ni kwa yale majimbo mawili ya mashariki mwa Ukraine ya Donentsk na Luhanskh na sio Ukraine nzima.
Hilo la kupunguza jeshi sijaisikia kama wameliridhia ila wanasema makubaliano yoyote lazima yaridhiwe na wananchi kwa Referendum.
Kwa hiyo hizo meli zilitengenezwa kwa ajili ya mapambo sio?Mkuu haya maneno Zelensky toka siku ya kwanza anayahubiri lakin kama unakumbuka mpaka mazungumzo pande 2 yanaendelea lakin solution bado., kumbuka sasa ni mwezi wakati russia speed ya mashambulizi aliyoanza nayo leo si wa kusikia yuko baharini uko anarusha missiles Ukraine,
Ni wazi vita imemshinda na kukimbia kwenye ground na kujificha baharini huko, tulitegemea majeshi ya russia yaingie Kiyv na kupachua bendera za ukraine na kupachika ya kwao., lakini kama wamerudi hadi baharini uko na kurusha vikombora ni bora atangaze kushindwa, Kiev imemshinda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo siku hizi vita ni kama mechi ya mpila yakwamba ina muda maalumu ukiisha kabla ya lengo kufikiwa basi umeshindwa?
Kweli ukikosa akili unakuwa unepoteza kila kitu katika maisha yako matokeo yanakuwa kama haya kuongea utoporo.
watasema propaganda
Ndio maana wamewashindwaMmarekani alikula kichapo balaa kwa hwa jamaa
mpelekaji atakua nanii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12]Hizo ni propaganda, huyo Jenerali Mikhail Mizintsev ni mnyama kabisa kwani yeye ndiye aliyeamuru kupigwa bomu kwa Martenity Ward pamoja na ule ukumbi. Huyu bwana ana ile silika ya kirusi ya ukatili, lazima atapelekwa mahakamani The Hague akashitakiwe kwa uhalifu wa kivita.
Muda huu saudia yaani mifumo ya ulinzi wa marekani ni taka takaView attachment 2164423View attachment 2164424
matanki ya mafuta yanateketea 70% ya uzalishaji umepungua
Urusi akishinda Ukraine nitatembea uchi kwa miguu kutoka Dodoma hadi kwa wakojani Zanzibar
Sawa mmarekani wa mwakaleli warusi wa tukuyu tumekuelewa.Nafikiri kwa sasa wote tulioshangilia vita tunaona matokeo. Kwanza nampongeza Zelensky. Ni mwanaume hasa. Pili nampa pole Putin na warusi wa tukuyu. Mwezi mzima mmeshindwa kuichukua nchi. Vita sio kitu kirahisi kihivyo. Pili, sasa hata wananchi wa Russia wanajua kuna vita. Miili inarudi kwenye mabegi. Wanaokufa ni watoto wao so inawauma. Matajiri wote hela zimeyeyeka. Starehe zote kapuni. Tatizo tu ni kwamba bei ya mbolea na mafuta inanigusa na mimi. Hapa bado sana. Huwa tutajifunza tukiwa tumechelewa. Wakati vita inaanza kupulizwa mwaka 2014 tulitakiwa tujiandae. Tuna gesi tuliyowauzia wazungu bure, tunaweza kutengeneza viwanda vya mbolea na viwanda vya kuichakata gesi kuwa yenye kutumika majumbani, pia tuna ardhi ya kulima alizeti na michikichi. Tujipange maana bado bei ya unga wa ngano pia utapanda mara dufu. Tambi zitapanda, unga wenyewe, mikate na maandazi na labda bia. Tunategemea kuagiza ngano nyingi kutoka urussi au ukraine. Hii vita itufumbue macho tuwekeze kwenye vitu tunavuyotumia. Tunaweza kaa uchi lakini hatuwezi kuacha kula chakula. Funzo kubwa sana hapa tuache kushabikia bila kufungua macho yetu. Hata kama hatuna technologia kwani Mkorea aliwezaje? Mchina je? Mtaiwani? Tuanzeni sehemu.
sio zimbabwe kvp mkuu? dhana ilikuwepo kuwa itakuwa vta ya mda mfupikulikua na dhana
unaaminije kwenye dhana?
RUSSIA sio ZIMBABWE
Duh!...Urusi akishinda Ukraine nitatembea uchi kwa miguu kutoka Dodoma hadi kwa wakojani Zanzibar