Wewe acha kuongea kama mlevi wa gongo, hakuna nchi yenye S-300 pisi 250.Sawa, Putin hapigi vituo vya kijeshi...
Tueleze pisi 250 za S-300 air-defense systems za Russia zilizokuwepo kabla ya vita kuanza zilienda wapi? Hadi kufikia Zelensky anampigia magoti Biden na kumuomba walau ampatie pisi moja tu ya S-300 (wakati tayari alikuwa na pisi 250!)!
Ishu sio kuteka miji na kishinda Vita, hii mi operation maalum yakijeshiLakini bado haijawa saidia kuteka miji na kushinda vita.
wanateka vijiji wala sio miji tenaLakini bado haijawa saidia kuteka miji na kushinda vita.
Wewe si unatazama RT bwana kwa sababu ndio inayokwambia yale unayopenda kusikia.Labda Al jazeera ya buza .
kwani unaitizama peke yako?
Mkuu umesoma vizuri hapo juu au kiingereza chako ulisoma darasa moja na mwendazake? Hiyo missiles iliyoripua hicho kituo cha mafuta ilitokea baharini, ina maana kwamba russia kwenye ground wameshindwa sasa utaratibu wao ni kurusha makombora huko walikojificha baharini., lakini dawa yao ni wiki hii hii kuna mizigo toka UK idadi yake ni 6000, ata uko baharini hakutakalika tena watarudi kwao kabisa russia
Sawa Nabii Elijah.Kwa akili yako unafikir Japan yuko na US 100%? Hana jinsi ila time will tell.
Huu sio ulevi wa viroba au bangi ni wa mataputapuWewe acha kuongea kama mlevi wa gongo, hakuna nchi yenye S-300 pisi 250.
Mkuu haya maneno Zelensky toka siku ya kwanza anayahubiri lakin kama unakumbuka mpaka mazungumzo pande 2 yanaendelea lakin solution bado., kumbuka sasa ni mwezi wakati russia speed ya mashambulizi aliyoanza nayo leo si wa kusikia yuko baharini uko anarusha missiles Ukraine,Hii habarl nilikuwa naisubili kwa hamu sana kwani niliamini itakuja tuu. Wale wapiga kelele baada ya kubugia matango poli ya Westerners watakuja tu kukaa kimya kwa aibu. Russia hii vitaimejiaandaa vya kutosha na wanajua nini wanafanya
Ishu sio kuteka miji na kishinda Vita, hii mi operation maalum yakijeshi