Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Biden was criticized: "The troops are horrified that this 'president' is eating pizza like an animal before the soldiers even got it. In the army, the senior officer always eats last."

The American president is unfamiliar with the norms of military behavior. Literally does not know how to properly give a military salute. But he shouted well in 1998 that he "offered to bomb Belgrade!"
Galip SV Liwagu View attachment 2164766View attachment 2164767
Ila Pro Russia bwana 🤣🤣🤣🤣
 
Hakuna sehemu yoyote Kremlin waliposema itachukua muda gani kumaliza Operation yao hivyo ikichukua muda mzuri zaidi ndio Putin anataka kwa sababu Urusi na Ukraine ndio nchi zinazozalisha ngano kwa wingi duniani hivyo operation ikichelewa Ngano itakuwa inatokea Urusi na njaa itaibuka duniani baada ya hapo tunarudi mezani kupanga njia ya kulipana tena, ITS RUBBLE AGAIN
Mwendo wa RUBO tu mpaka kielewekeee
 
Ilikuepo tokea wapi?
kwani shida nn mkuu? km una mtazamo tofauti ni sawa tu kila watu watu wana dhana tofauti kulingana na vile wanavyofahamu mambo, kwan ww ulikua na mtazamo upi kwe upande wa muda ambao russia angechukua udhibiti kamili wa ukraine au ht donbass tu?
 
Sawa Sina sababu yeyote ya ku-argue na wewe,amini ulicho aminishwa.

Mimi napata taarifa kutoka independent sources,sio CNN,BBC,Aljazeera,SkyNews au hata CGTN,ambako 24/7 ni fake news.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyo kwake kujua vitu ni kuisifia Marekan na Mashoga zake, kisha kuiponda Russia ni dhaifu. Kwake kujua vitu ni kukubaliana na matakwa ya kimagharibi na kuwasema vibaya upande wa mashariki.

Ukifanya hivo basi mbele ya macho yake utakuwa unajua vitu [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
 
Russia has only 1 aircraft carrier admiral kuznetsov which in 2019 caught fire. USA has 24 in service and 3 under construction
images.jpeg
15174211_418959ce7a734611b4934050777b8b1f_jpeg_jpeg3cd87b35f4211a0e382f16ba90a59005.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: PNC
And you black man, a slave, poor, empty minded..you will always bow down to your slave master forever! Better shut up your ruthless mouth as it pour out rubbish!!
Sure man,I am black , proud and I notoriusly cherish freedom. Let freedom ring everywhere to the east west north and south.
 
Kwanza umeiona post ya mtoa twitter... Umezitizama vizuri hizo flag???

[emoji1255] Hii sawa ni Ukraine [emoji847][emoji847][emoji847]

[emoji2380] Je hii unaifaham? Unaanzaje kumskiliza mtu anayepromote ushoga kwa nguvu zote kiasi hicho in Public?

Mwonekano tu wa nje unatia doubt authenticity ya taarifa inayotoka akilini mwake kupitia maandishi yake au mdomon mwake...
 
Jamani Ukraine nchi yake no magofu kwa sasa, Aina chakula, maji Wala umeme. Achani ushamba kwa kusema Russia hakuna kitu
sijui nani anaona Urusi haina kitu? Ukitaka kuboma na kuua huhitaji tekinolojia ya juu. Jengis Khan aliweza miaka 800 iliyopita (afghanistan bado kuna sehemu za jangwa alipoangamiza miji na vijiji na kuharibu umwagiliaji), Interharamwe rwanda waliua zaidi ya nusu miliono kwa panga . . . .
 
Hapo ndo ujue Russia ni hatari kwenye teknolojia ya silaha, yaani kama silaha alizoziacha huko Ujerumani karne ya 20 huko wakati tupo karne ya 21 na mjerumani anachofanya ni kufuta vumbi tu. Nasema hivi NATO kwa Russia ni kusanyiko la nzi makelele mengi sikioni lakini hata hawaumi
Huna akili mwanangu pole sana!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyo kwake kujua vitu ni kuisifia Marekan na Mashoga zake, kisha kuiponda Russia ni dhaifu. Kwake kujua vitu ni kukubaliana na matakwa ya kimagharibi na kuwasema vibaya upande wa mashariki.

Ukifanya hivo basi mbele ya macho yake utakuwa unajua vitu [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Ni mtazamo wa kitumwa kabisa.Nitasifia kitu ambacho kina-adhere to rules of logic,realism and morality,kinyume cha hapo no.
 
Back
Top Bottom