Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Super power wa mchongo mafuta/gesi yake abakinayo mwenyewe, USA na Nchi zingine zitajaza pengo.
Hapo tayari Putin Kapigwa bao

Foreign reserves zimeshikwa kapigwa bao

Demilitarisation/ Denazification hajafaulu, bao kapigwa hapo

Timu za russia za raga na mpira zimeondolewa mchezoni, kapigwa bao

Uchumi wake unashuka, kapigwa bao

😁😁😁😁😁
 
Super power wa mchongo mafuta/gesi yake abakinayo mwenyewe, USA na Nchi zingine zitajaza pengo.
Hapo tayari Putin Kapigwa bao

Foreign reserves zimeshikwa kapigwa bao

Demilitarisation/ Denazification hajafaulu, bao kapigwa hapo

Timu za russia za raga na mpira zimeondolewa mchezoni, kapigwa bao

Uchumi wake unashuka, kapigwa bao

😁😁😁😁😁
Kwi kwi kwi super power kabadili strategy anataka kuishika kwanza Donbas
 
bado urusi haijaanza uruban war ndani kiev ndo maana umewekwa mzingiro huku vikiso vya ukraine vikilegezwa taratibu kama juzi wamepata matanki makubwa ya oil na kupelekea uhaba w mafuta kwa vikosi vya ukraine vilivyo ndani ya kiev
yeah but wamesema phase 1 imeshakamilika sasa hivi wanajikita kwe MAIN goal ambayo ni kukomboa Donbass, sasa km main goal ilikuwa donbass kwann walipeleka resources nyingi sn wakati wanatishia kiev? ndio maana watu wanahisi either wanaretreat au wamebadili kipaumbele, soma last press yao
 
kwani shida nn mkuu? km una mtazamo tofauti ni sawa tu kila watu watu wana dhana tofauti kulingana na vile wanavyofahamu mambo, kwan ww ulikua na mtazamo upi kwe upande wa muda ambao russia angechukua udhibiti kamili wa ukraine au ht donbass tu?
Hatubishani kwanza MKUU ila binafsi sikua na muda maalum
Ila nlikua naju na najua kwamba KYIV watakalishwa tu nisuala la muda tuuu
 
stallin kaona pushin anaichezea super power ya buza kaamua kurudi kwi kwi kwi
 


More than 60 fighters of the Armed Forces of Ukraine were evacuated from the combat zone.

They surrendered en masse at the command post in Nikolaevka, which was taken under the full control of the RF Armed Forces.

They received medical attention and distributed food.
 
⚡Ukrainian employees of the Chernobyl laboratory abandoned warehouses of radioactive samples.

I am not an expert and cannot adequately assess what could have happened, what kind of provocation could have been arranged if our National Guard had not taken this building under guard.

Just in case, remember this post if you hear the words "chemical attack"



IMG_20220326_123931_959.jpg
 
Back
Top Bottom