USA anazo hypersonic missiles!??Super power wa makaratasi ana aircraft carrier moja tena chakavu. Ilijichomekea lenyewe likauwa wanajeshi wake.
Hawana KAZI nayo.mbona USA Hana hypersonic weapons.Russia ni mwendo wa kubonyeza makombora Tu.Watu wanatengeneza silaha Kwa malengo wakati hizo aircraft carrier inaweza kuharibiwa Kwa makombora Tu ya kirusi.Russia has only 1 aircraft carrier admiral kuznetsov which in 2019 caught fire. USA has 24 in service and 3 under construction View attachment 2164770View attachment 2164771
Mbona USA haina silaha za hypersonic.watu wnatengeneza silaha Kwa malengoSuper power wa makaratasi ana aircraft carrier moja tena chakavu. Ilijichomekea lenyewe likauwa wanajeshi wake.
Jeshi la Urusi limeonyesha udhaifu mkubwa ,lazima waziri kuwajibishwa. Gemu limebadilika Ukraine on offensive ,Z on retreat.Kumbe hakuonekana tangu siku; wengine waliuliza kama Putin alimwondoa kwa kuona udhaifu wa jeshi la kirusi. Msemaji wa wizara ya Urusi alisema eti ana shughuli nyingi hawezi kuhudhuria mikutano na wanahabari. Kama habari ya BBC ni kweli swali langu: je mgonjwa kweli, au wanajaribu kuficha kwamba Putin alikasirika juu yake?
Katika baadhi niliyayatoa kwenye hio link...Siamini anything from the mainstream media,they are taught and told to cheat as part of their training and work.See this[emoji116].
![]()
What nobody told you about Ukraine – mind blowing!
Shocking evidence of how the media worldwide is lying to humanity about what is really going on with Ukraine and Russia. A must see!www.stopworldcontrol.com
Endelea kubishana mkuu, ntakupa hela ya kula. Ehee mpaka sasa wanajeshi wa urusi wamekufa wangapi? Maana Ukraine wamekufa wawili tu.Super power wa mchongo mafuta/gesi yake abakinayo mwenyewe, USA na Nchi zingine zitajaza pengo.
Hapo tayari Putin Kapigwa bao
Foreign reserves zimeshikwa kapigwa bao
Demilitarisation/ Denazification hajafaulu, bao kapigwa hapo
Timu za russia za raga na mpira zimeondolewa mchezoni, kapigwa bao
Uchumi wake unashuka, kapigwa bao
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]