Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Kwahio Ukraine ziko 4 ama?Msiishitumu urusi bila kufikiri, urusi yupo pekeake anapigana na nchi zaidi ya 4.
Kwahio Ukraine ziko 4 ama?Msiishitumu urusi bila kufikiri, urusi yupo pekeake anapigana na nchi zaidi ya 4.
sirya na seribia hizo ni nchi au vitu gan mkuu?Sirya Libya Afaghanistani Yemeni Iraq Seribia izo zote zilishambuliwa na mmarekani na wapambe wake na wameuwa mamilioni ya watu wasio na hatia;
Watu kyiv washaanza kula bata. Maisha kama kawaida. View attachment 2164754
Sasa jeshi dhaifu linateka miji, linaua askari na raia, lina haribu miundombinu. Na bado limetoa msimamo Ukraine hakuna kujiunga Nato na ukraiane anaonekana kutaka msaaada, na ncho 30 zinatoa misaada udhaifu ni upi? Kwanini hao ukraine wasiwarudishe nyumbani hao wanajeshi wa urusi. Nan kavamiwa nchini kwake? Majibu tafadhaliKaka swali hili limejibiwa mara kadhaa. Hawataki kukaribia vita ya nyuklia. Jeshi la Urusi bila silaha za nyuklia si jambo, limeonekana dhaifu ya ajabu.
Ila silaha za nyuklia ni mchezo tofauti.
Tuwashukuru, maana vita kubwa ya nyuklia itatuathiri hata hapa Afrika.
Reality au ukweli ni mmoja tu mkuu,it does not matter from which angle you are looking at it.2+2=4 will remain four,it does not matter from which angle you are looking at it.Ni watu walioharibika akili tu ndio wenye realities more than one.realism hapo ndio issue maana inategemea unaangalia jambo tokea angle gani hasa kwe issue km hz zinazohusisha pande mbili halaf mhusika akawa anasapoti upande flani,
Et kitu kikubwa kaona kutembea uchi Yan unanuka kibeberu alafu uvue na nguo si unataka kutuuwaWe tembea uchi wahuni wakupakie mate. Hizi ndo tabia za kigasho mnazoambukizwa na baba yenu US
wakuu kuweni serious basi, ICBM tena ukraine??
Nimekuuliza swali, Nani alimuua GaddafiNato waongo na laghai.. Nato ingieni ukraine mchezo unoge.
Kenge wewe mmarekani wa yombo vituka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....so wewe unajua zaidi ya THE MIGHT RUSSIAN kuliko russian wenyewe ....[emoji849][emoji849][emoji849]...au unafkir moscow wana akili kama za kwako ....narudia tena hizo carrier ni kwaa ajili ya kututisha sisi huku asian na africa ....lakini haziwezi na hazitaweza kumtishia THE MIGHT [emoji635][emoji635]...afu ili ujue hao kenge wenzio ni waoga angalia .....wamekusanyana ulaya yote na amerika yote ...dhidi ya MWAMBA PUTIN ....afu wewe ulietokea hapo kibera kwenye njaa na maslum kama ....yote unabwabwa huku ........HATUITAJI CARRIE SISI ...ni hasara kwanza ...yale ninkwa ajili ya show off.....lakin in reality kwa batle hazifai kitu .....[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849].....any rubbish question DUDE...Kwahio wewe mrussi wa kwa mpalange unajua zaidi ya jeshi la Marekani.
Kwa hio unadhani hawaja piga hesabu zao kabla kutengeneza hizo aircraft carrier
Kwahio hizo aircraft carrier hazina manufaa yeyote bali ni show off.
Pumbavu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Usichokijua Ukraine yupo na nchi 29 nyuma yake. Wanampa silaha, askari na vifaa vingine. Russia yupo peke ake hana msaada kutoka nchi yoyote. Mimi nasema russia ni mbabeKwahio Ukraine ziko 4 ama?
Hapo ni kyiv dada, fanya image reverse utaona mwenyewe.umejuaje kama hapo ni kyiv
Hii ndio dunia kaka,😁😁uwanja wa fujo...kwa sasa wakulima wetu hawana vifaa vya kisasa vya kilimo lakini tukipigana utashangaa US anatoa misaada ya vifaru vya kisasa kabisa😁😁🤣🤣ukrein wanaitaji msaada wa chakula na madawa nato wao wanawapelekea vifaru[emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu hizo hela za silaha hazitoki kwenye the visible Goverments,zinatoka kwenye the Shadow World Goverment or the NWO if you wish.These psycopaths do not really care about the citizenry.Hawa akina Biden,Boris,Macron nk.ni channels tu.Watu hawana budi kulielewa hili.Nchi za Ulaya zinapitia wakati mgumu toka WWII, silaha wanazotoa halafu hawaoni mdororo wa uchumi ambao upo usoni.
Serikali nyingi ulaya zitapata pingamizi kubwa mno toka kwa wananchi.
Wanajidai kutoa misaada ya kifedha na silaha wakati maisha yanazidi kuwa magumu, badala wakae watafakari namna ya kukabili hii hali wao wanazidi kutumia gharama kununua silaha na kutoa pesa, ngoja tuone mwisho wao.
Russia ina mali, nchi yenye mali kama Russia the only way kuirudisha nyuma ni kuishambulia kama Syria, Iraq, Libya n.k, vikwazo Iran imewemewa zaidi ya miaka 40 watu wanapeta.
Wanajifanya hawaoni ...na sio nchi nne tu russia wanapigana na nchi 30 yaan ulaya yote na marekn kwa mgongo wa ukrain ....hapo ndo ujue russia ndo mwamba....Msiishitumu urusi bila kufikiri, urusi yupo pekeake anapigana na nchi zaidi ya 4.
Nchi ya Ukraine itabaki magofu baada ya Vita,,Hii vita haiwezi kuwa rahisi kwa russia huenda ikachukua muda mrefu kuisha ,na hapo bdo kuna mamluki jeshi la Israel wapo ,ndo mana jana biden alihutubia mkutano wa nato akakazia kuhusu suala la russia kutumia silaha za kikemikali ni onyo kubwa sana
Uzuri hizi nchi hazijajaza matikiti maji, zina raia wanaojielewa na wanaoelewa ni kitu gani kinachoendelea.Hii vita itaziangusha kwenye uchaguzi serikali nyingi za ulaya, tofauti na sisi ambao bei za vitu vilianza kupanda toka mwaka jana baadae wakasingizia ni vita vya ukraine wananchi wao wanajua chanzo ni mmarekani na viongozi wao kufata mkumbo
italy, ujerumani, Ufaransa, uingereza, japan, u ni miongoni mwao kwani mfumuko wa bei hautawaacha salama.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....dunia gunia uwanja wa ndondi...Hii ndio dunia kaka,[emoji16][emoji16]uwanja wa fujo...kwa sasa wakulima wetu hawana vifaa vya kisasa vya kilimo lakini tukipigana utashangaa US anatoa misaada ya vifaru vya kisasa kabisa[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]