Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kosa kubwa la urusi ilikuwa ni ku under-rate ubora wa kivita wa Ukraine kwa ujumla wake yaani..vifaa, mbinu na manpower.

Hii ni fundisho kwa watemi wengine duniani kwamba huwezi ku survive kama utakwenda kinyume na mataifa ya magharibi na US.

Bado huyo dogo (aka a rocket kid) anayepima makombora yake eti ya bara kwa bara..dawa yake inachemka.
 
Jeshi la Kirusi ni kubwa, liliwekeza pesa nyingi katika kuandaa silaha mpya katika miaka iliyopita. Jeshi kubwa kushinda Ukraine yenye silaha za Kirusi ya zamani. Jeshi hili kubwa (lenye ndegevita mara 10 kuliko Ukraine) limeendelea polepole sana, linakwama mbele ya majiji makubwa kama vile Kharkiv na Kiev, halikuweza kumshinda adui baada ya wiki 4, halikuonyesha kwamba linaweza kutumia silaha zake tofauti kwa mkakati wa pamoja (ndegevita, makombora,roketi, vifaru, mizinga, askari wa miguu kwa pamoja).

Hayo yote ni dalili za udhaifu wa jeshi lililotazamiwa na kuhofiwa sana. Bado inaweza kuleta uharibifu mkubwa na kuua watu wengi, kazi ambayo haihitaji uwezo mkubwa wa tekinolojia.
SImjui mtu anayeamini Ukraine wanaweza kuwafukuza kabisa, lakini wakiweza kuendelea kuwakwamisha kwa muda mrefu zaidi a kusababisha vifo na kupotea kwa vifaa, Ukraine itaonekana kuwa mshindi.
Warusi wakifaulu kuteka angalau nusu ya mashariki ya Ukraine pamoja na Kiev na Kharkiv na kuwalazimisha Ukraine kukubali ushindi huu, basi hao watakuwa washindi.
Hali halisi wataishia katikati baada ya vifo na mauaji mengi. Ila Urusi inahitaji kuonesha kitu kinachowawezesha kusema "tumeshinda", kama ni kweli au la. Maana wanahitaji kuwaambia wananchi wao juhudi haikuwa bure.
Kwa namna yoyote Putin amesaabisha mambo kadhaa ambayo hakutaka: ameunganisha NATO na Umoja wa Ulaya waliokuwa na mafarakano makubwa kati yake kabla ya uvamizi, amedhoofisha nchi yake kiuchumi, ameonyesha kwamba jeshi lenye hali nzuri kuliko Ukarine halina sababu kuhofia jeshi hili la Kirusi.
Isipokuwa silaha za nyuklia, na hizo pamoja na hatari kubwa kwa dunia yote ni sababu kwamba NATO waliamua kutoingilia moja kwa moja.
Wanapeleka silaha na kuweka vikwazo. Hawataki kupoteza muda watatoa kipigo cha nukes
 
Are you really serious,hivi unajua in all this commotion even your own life is at stake!Aisee,kweli nimeamini,ni bora mtu akunyime mali,lakini akupe akili.
Usiogope bomu la nukes litakalopigwa pale kiev ni la kg chache. Madhara hayatakua makubwa, lengo ni kuwaweka west kwenye mstari sawa maana now they cross the red lines
 
Kosa kubwa la urusi ilikuwa ni ku under-rate ubora wa kivita wa Ukraine kwa ujumla wake yaani..vifaa, mbinu na manpower.

Hii ni fundisho kwa watemi wengine duniani kwamba huwezi ku survive kama utakwenda kinyume na mataifa ya magharibi na US.

Bado huyo dogo (aka a rocket kid) anayepima makombora yake eti ya bara kwa bara..dawa yake inachemka.
Kwani lengo la Russia kuivamia Ukraine lilikuwa ni nini?
 
kwann wapige hilo bomba la gas?
Si wamkomeshe Russia, kwa maana wameambiwa anayetaka gas anunua kwa rubble inaonekana hawataki chini ya shinikizo la US.

Wanapeleka vikosi, pesa na silaha kuifadhili Ukraine ili kumpiga Russia, sasa kwa nini wasipige tu hilo bomba kuonyesha kwamba hawataki tena mazoea na Russia.

Ndio maana nasemaje Ulaya bado wanaamini katika mazungumzo na Russia.
 
kremlin yaonya kuhusu kupeleka the so called peace keeping force in ukraine
kuna tetesi baadhi ya nchi za nato zikiongozwa na poland, UK na US znampango kubypass nato na kupeleka wanajesh western ukraine for peace keeping
Hapo ndio pazuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kosa kubwa la urusi ilikuwa ni ku under-rate ubora wa kivita wa Ukraine kwa ujumla wake yaani..vifaa, mbinu na manpower.

Hii ni fundisho kwa watemi wengine duniani kwamba huwezi ku survive kama utakwenda kinyume na mataifa ya magharibi na US.

Bado huyo dogo (aka a rocket kid) anayepima makombora yake eti ya bara kwa bara..dawa yake inachemka.
Kapewa Rais kichaa, pale Korea lazima tu patawaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
China negotiates secret deal in South Pacific – media

China has reportedly negotiated a secret security pact with the Solomon Islands, setting off alarm bells in the US and Australia because of the potential for Beijing gaining a South Pacific beachhead from which it could block shipping traffic.

Chinese and Solomon Island officials are close to signing the agreement, the New York Times reported on Friday, citing documents leaked by opponents of the deal. If completed, the pact would give Solomon Islands Prime Minister Manasseh Sogavare the ability to call on China for protection, such as in cases of civil unrest. Beijing would be given rights to dock warships and access “all necessary facilities” on the islands.
 
Kwani lengo la Russia kuivamia Ukraine lilikuwa ni nini?
Kuizuia Ukraine kutokuwa karibu na mataifa ya magahribi..na kuzuia uwezekano wa yeye kujiunga na NATO.

Sasa tunaamini wakati wa ujenzi wa Ukraine mpya tayari Ukraine atakuwa mwanachama wa NATO.

Kifupi warusi walikuwa na silaha za kizamani, mbinu za kilong time na jingine ni kwamba warusi wenyewe hawakuwa united kuhusu uvamizi huu, sasa haya yote ndiyo yameifanya vita hii kuwa mzigo kwao.

Pole Putin, kwa sasa dunia imekuona wewe huaminiki tena, ukitoka urusi tu wanakudaka kwenda the hegiii.
 
Back
Top Bottom