Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Huu ujinga huwa mnaupata wapi?US inataka dollar itumike kila mahala hasa kwa nchi zenye petroleum, hii itafanya dollar iwe kwenye demand kubwa na wataprint za kutosha.
Kuikataa dollar ndicho kilimponza Gaddadi na Sadam, Russia kwa kufanya hivi itafanya ruble kuwa kwenye demand kubwa na kui strength.
Wawe na reserve ama wafanye exchange kama Gazprom itapokea ruble kwenye mauzo ya gas, basi US Federal Reserve itakuwa imepigwa biiiig MF cause ruble itakuwa kwenye demand.
Inawezekana kutumia ruble, issue sio kuwa stable, issue ni sanctions.
China yenyewe huwa inanunua gas Iran kwa yuan.
Hata Euro haipo stable kama dollar, Sadam alitaka ku switch toka kwenye $ kwendaa kwwnye euro, you know what happened na mwenzake gaddadi alitaka gold.
Wafanya biashara wengi wakubwa sana kwenye industry hivi sasa huko Asia wanatumia bitcoin.
Poor you, poor, poor.