NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Russia anaipiga Ukraine....hana mwingineDunia imeshuhudia jinsi NATO walivyo wadhaifu na waoga. Russia anapigana na nchi 30 na bado anadunda.
NATO wamelikoroga ukraine wameishia vikwazo hapa ndo wameonesha udhaifu mkubwa sana wanaume wanaingia ulingoni kupigana na sio maneno na vitisho.
NATO ni suma JKT iliyochangamka
Ww jamaa unajitia mjuaji lakini ni ziro.Hizi habari za hali kuwa mbaya wewe umezipata wapi kama hazipatikani kwenye media zao?
Qatar asipowauzia gas Marekani na Ulaya atawauzia nani wenye uwezo wa kumpa pesa anazozitaka?
Waasi wa Yemen kulipua kisima cha mafuta Saudi Arabia ni sawa na kuchota maji kwenye bahari na pipa ukafikiri yamepungua.
Ukiwa mjinga jiupeshe kubwatuka sana, utaaibisha ukoo wenu.
US troops are not in Europe to engage in hostilities with the Russian Armed Forces, Biden said.
Galip SV Liwagu
View attachment 2165395
NATO wangekua wanatumia mihemko Kama yako sizani Kama muda huu ungekua unaandika humu huu utopoloDunia imeshuhudia jinsi NATO walivyo wadhaifu na waoga. Russia anapigana na nchi 30 na bado anadunda.
NATO wamelikoroga ukraine wameishia vikwazo hapa ndo wameonesha udhaifu mkubwa sana wanaume wanaingia ulingoni kupigana na sio maneno na vitisho.
NATO ni suma JKT iliyochangamka
Russia atapigana na watu wangapi sasaThe armed forces of Azerbaijan have entered the zone of responsibility of the Russian peacekeeping contingent in the territory of Nagorno-Karabakh, the Russian Defense Ministry reports.
It is noted that Russia sent a call to Azerbaijan to withdraw troops in Nagorno-Karabakh.
Galip SV Liwagu View attachment 2165363
'Reality is relative'Jeshi la Kirusi ni kubwa, liliwekeza pesa nyingi katika kuandaa silaha mpya katika miaka iliyopita. Jeshi kubwa kushinda Ukraine yenye silaha za Kirusi ya zamani. Jeshi hili kubwa (lenye ndegevita mara 10 kuliko Ukraine) limeendelea polepole sana, linakwama mbele ya majiji makubwa kama vile Kharkiv na Kiev, halikuweza kumshinda adui baada ya wiki 4, halikuonyesha kwamba linaweza kutumia silaha zake tofauti kwa mkakati wa pamoja (ndegevita, makombora,roketi, vifaru, mizinga, askari wa miguu kwa pamoja).
Hayo yote ni dalili za udhaifu wa jeshi lililotazamiwa na kuhofiwa sana. Bado inaweza kuleta uharibifu mkubwa na kuua watu wengi, kazi ambayo haihitaji uwezo mkubwa wa tekinolojia.
SImjui mtu anayeamini Ukraine wanaweza kuwafukuza kabisa, lakini wakiweza kuendelea kuwakwamisha kwa muda mrefu zaidi a kusababisha vifo na kupotea kwa vifaa, Ukraine itaonekana kuwa mshindi.
Warusi wakifaulu kuteka angalau nusu ya mashariki ya Ukraine pamoja na Kiev na Kharkiv na kuwalazimisha Ukraine kukubali ushindi huu, basi hao watakuwa washindi.
Hali halisi wataishia katikati baada ya vifo na mauaji mengi. Ila Urusi inahitaji kuonesha kitu kinachowawezesha kusema "tumeshinda", kama ni kweli au la. Maana wanahitaji kuwaambia wananchi wao juhudi haikuwa bure.
Kwa namna yoyote Putin amesaabisha mambo kadhaa ambayo hakutaka: ameunganisha NATO na Umoja wa Ulaya waliokuwa na mafarakano makubwa kati yake kabla ya uvamizi, amedhoofisha nchi yake kiuchumi, ameonyesha kwamba jeshi lenye hali nzuri kuliko Ukarine halina sababu kuhofia jeshi hili la Kirusi.
Isipokuwa silaha za nyuklia, na hizo pamoja na hatari kubwa kwa dunia yote ni sababu kwamba NATO waliamua kutoingilia moja kwa moja.
Vita ni gharama kubwa kwa muktadha upi? Tangu mashambulizi ya Mrusi yaanze Military logistics ya Mrusi sijaiona au kuisikia imekwama.Vita ni gharama kubwa, bidha hauzi nje, deni la Urusi limekuwa kubwa(riba) masha ya askari wengi yamepotea.....
Ina maana hujui kuwa moja ya vitu gharama ni waging a war ? Huko kwengine nisiseme kitu ila kuendesha vita ni gharama sana. Logistics, vifaa n.kVita ni gharama kubwa kwa muktadha upi? Tangu mashambulizi ya Mrusi yaanze Military logistics ya Mrusi sijaiona au kuisikia imekwama.
Bidhaa hauzi nje, Deni la Urusi limekuwa kubwa!
India ni nje, China ni nje. Hata hiyo gesi anaitoa ndani ya nchi yake na kuiuza nje ya nchi yake kupitia mabomba kama njia ya usafirishaji.
-99% ya chakula Russia inazalisha yenyewe nchini mwake kuanzia oil, gas na metal za aina zote anazalisha nchini mwake.
-40% kwenye matunda anategemea kutoka nje ya nchi. High prices kwa Russia ni vitu vya luxury n.k
Waliyomuwekea vikwazo ni EU,UK na US, Japan, SK n.k wala si dunia nzima.
Unachopswa kuelewa: Dunia ya sasa ni competent economies. Ukisusa wengine wanakula. Na ndiyo maana wanauchumi wengine wa US wanahofu kuwa huu mgogoro utamnufaisha China zaidi. Kwa urahisi wa tafsiri vikwazo havitodumu kwa muda mrefu especially kukiwa na competent government.
Russia itaumia ila haito collapse.
-Maisha ya askari wengi yamepotea hii takwimu umeitolea wapi?
Kwa hiyo Urusi asipouza Gesi yake Ulaya ataenda kugombania soko la Asia na Qatar?Ww jamaa unajitia mjuaji lakini ni ziro.
Kwahiyo Ulaya pekee ndio kuna wanunuzi.
Asilimia 80 ya gesi ya Qtaar inauzwa barani Asia ni asilimia 20 tu ndio inauzwa Ulaya.
Hata nchi za magharibi zikiisusia gesi ya Urusi usitegemee itakosa wateja.
Hawa MSM si wa kuwaamini. Wametoa habari kedekede kuhusu Shoigu. Ukiona wamefungia vyombo vyengine kutoa habari jua kuna boko kubwa sana linakuja. Kuna kipindi walisema Kim Jong Un amekufa ghafla akaonekana.
NATO wangekua wanatumia mihemko Kama yako sizani Kama muda huu ungekua unaandika humu huu utopolo