Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Umeandika mengi lakini mzizi haswa wa mantiki ya maandishi yangu hujauelewa.

NK walirudishwa nyuma sana na majeshi ya nchi 21 yakiongozwa na US ikafika mahala mabomu mengine yakawa yanaangukia China.

Nguvu ya msaada wa kijeshi aliyopatiwa NK ni kuwa China aliingiza jeshi la ardhini huku Soviet wakapeleka ndege jeshi angani. Yaani; China mashambulizi yao ni ya chini na Soviet mashambulizi yao yakawa yanafanywa kutokea angani. Hili likasaidia kusogeza mipaka mpaka walipofikia maamuzi ya kukaa mezani na kuepusha vita.

Hoja hapa ilikuwa wapi?
Hoja hapa ni kuwa NKorea ilishindwa kupigana na Taifa kubwa lililoingia na nchi nyengine 20 kupambana dhidi yake na kurudishwa nyuma. Msaada aliyopatiwa NK ndiyo uliyomsaidia naye kusonga mbele na kuongeza kilometers za mraba mpaka wakafikia eneo kwa leo hii ndiyo mpaka wa ardhi baina ya NK na SK. NK haikushinda vita! Ila kitendo cha kurudishwa nyuma kisha wakaweza tena kusonga mbele kinatafsirika kama ushindi.

Ijapokuwa NK aliweza kurudisha na kupata kilometers za mraba lakini kilichotokea ni nini kwa upande wao? Hasara ambayo ni kubwa sana! Nchi ilibakia kuwa gofu na raia wengi walikufa. Halikadhalika kwa Vietnam vilevile. Kwa maana: Angalia hasara aliyoifanya US kwa Vietnam; ijapokuwa alishindwa hiyo vita Ila uharibifu aliyouacha ni mkubwa sana kwa kuanza na miundombinu ya nchi, majengo au makazi ya watu kwani US waliua raia wengi sana.

Nukta hapa usiiangalie tu kuwa US alikipata cha moto. Nukta hapa angalia na upande wa pili walipata hasara kwa kiasi gani? Hasara ilikuwa kubwa sana kwa Vietnam pia. Na hii ndiyo hekima ya historia inatuthibitishia: Ukipambana na Taifa kubwa, hata ikiwa umemuonyesha joto atakachokifanya kwenye nchi yako ni kukufanyia uharibifu mkubwa mno!

Kwa tafsiri nyengine: Tanzania kivita ina uwezo wa kuipiga Rwanda. Lakini Rwanda ina uwezo wa kuiachia Tanzania hasara kubwa sana kwani inaweza ku- target na kupiga sehemu zenye manufaa makubwa Tanzania na kuisababishia hasara kubwa Tanzania ijapokuwa Tanzania itashinda vita. Na kinyume chake ndiyo vivyo hivyo kama maelezo yangu ya juu yanavyosadifu.

Kingine unadai Russia wameshapoteza askari 10,000 hizi data umezitolea wapi?
Malezo yako yana mchanganyiko sana, kuyawelewa inakuwa shida.

Waliotangaza vifo vya wanajeshi 10,000 ni gazeti la Russia ambalo ni chawa wa Kremlin, linaitwa Komsomolskaya Pravda,
Hata hivyo waliondoa hiyo taarifa kwenye mtandao wao baada ya muda, labda walitumiwa ujumbe na wasiojulikana wa Kremlin.
 
Da! ila kusema kweli Vladimir Putin ni pasua kichwa kwa nchi za west.

Hawa west kitu ambacho wamebakiza ni kujaribu "kumroga" TU bwana Putin.

Kawafukuza Syria,
Kamtuliza kubwa la maadui Yankee huko Venezuela,

Kawadhibiti Ukraine.

Putin kweli kawa put in ma west.
ile series maarufu ya house of Cards. Mule kuna mwamba kacheza kama raisi wa Russia bwana victor Petrov. Ndio kama Putin hivi hivi. Jamaa alikuwa pasua kichwa sana kila anachokifanya anatibua tu. Raisi Francis Underwood kuna siku akajisemea moyoni laiti isingekuwa nahofia kuanzisha vita (na urusi) ningemsukuma huyu bwana kwenye ngazi aanguke afe (maana anawasumbua sana).

Putin ana akili za kijasusi sana. Very unpredictable, pure chess player. Uzuri haongei sana. Vitendo tu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Siko tayari kwenda back and forth na wewe kwa majibu yako ambayo (naona) hayatoshelezi kujibu mswala nliyokuuliza. Ni ama umechagua kutokujibu 'dodge' au umeshindwa kutoa majibu murua kutetea hoja zako za awali, vyovyote itavyokuwa ningekushari unapotoa hoja kutokana na 'opinions' zako ni kheri udhihirishe kbs kwamba hayo ni maoni yako tu na sio kuweka kama 'facts'. Hakuna atakayekulaumu kutoa maoni ila utalaumiwa ukitoa 'facts' zilizopikwa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Asante, umechagua njia ya kiungwana kuonyesha unasalimisha amri!
 
Malezo yako yana mchanganyiko sana, kuyawelewa inakuwa shida.
Yasome tena yarudie utaelewa.
Waliotangaza vifo vya wanajeshi 10,000 ni gazeti la Russia ambalo ni chawa wa Kremlin, linaitwa Komsomolskaya Pravda,
Hata hivyo waliondoa hiyo taarifa kwenye mtandao wao baada ya muda, labda walitumiwa ujumbe na wasiojulikana wa Kremlin.
Sasa Mkuu unataka mimi niamini katika hilo? Russia imepitisha sheria iliyokuwa na maudhui yeyote atakayetoa taarifa ya uongo (kuhusu vita) ataenda kifungo gerezani. Vyombo vingi cya habari vimekimbia vikiwemo vyombo vya habari huru.

Kwenye vita kuna propaganda kwa pande zote 2. Taarifa yako inakosa nguvu kwa muktadha wa maelezo yako mwenyewe.
 
Putin anahitaji kuokoa Tanzania?
maana NATO imeshafika TZ! Wenzetu walituaminisha Putin alipaswa kujitetea (kwa kuangamiza nyumba za makazi kibao na kuua raia pamoja na askari) kwa sababu wanajeshi wa NATO walifika Ukraine kufanya mazoezi na jeshi lake. Nikiangalia habari za nchi fulani katika Afrika ya Mashariki, naona labda Bw Putin anahitaji kuokoa nchi hiyo pia?
Soma:

Training exercise strengthens U.S.-Tanzania security cooperation​

By U.S. Embassy Dar es Salaam | 18 March, 2022 | Topics: Press Releases
Training-exercise-strengthens-US-TZ-security-cooperation-Mar-2022-750x450-1-350x210.png
U.S. and Tanzania Special Forces Soldiers concluded an eight-week Joint Combined Exchange Training (JCET) today, marking another milestone in the history of security cooperation between the two nations.
...
The JCET paired U.S. Special Forces Soldiers and members of Tanzania’s Marine Special Forces in eight weeks of side-by-side training to strengthen skills such as small unit tactics, marksmanship, medical treatment, unit maneuver, the Law of Armed Conflict, and the preservation of human rights in combat.
This was the second training exercise between Tanzanian and U.S. defense forces within the past nine months.
 
Usiamini kitu. Kopi ya gazeti la Komsomolskaya Pravda KP imehifadhiwa kwenye kumbukumbu ya intaneti, unaweza kuiangalia. Uone kwa macho yako. Je unajua kumbukumbu ya Intaneti inafanya kazi kivipi?
Programu maelfu za "crawler" zinapita intaneti kila saa, ziko kadhaa zinazokopi kurasa. Archive.org ni tovuti inayokusanya kopi hizo. Katika mchango unaotia mashaka, mchnagiaji alitaja tu yale ambayo yanaonekana kabisa na kila mtu anaweza kufuatilia.
KP haikuandika kuhusu vifo vya vita, bali tangazo la msemaji wa wizara kuhusu vifo kutokana na ile special operation. Ni dhahiri mtu fulani alifanya kosa hapo, kwa hiyo wameificha haraka.
 
Kuna mambo hata hayahitaji maelezo yapo wazi. Upo sahihi kuwa kusema Ukraine pekee ndiye atapoteza ni uongo.
Anaposema kupoteza anamaana ya kushindwa.

Nisawa na kwenye mpira Timu G imepata goli 5 timu Q imepata goli 1, timu zote zimepata na kupatwa. Lakini kwenye mchezo husika aliepoteza mchezo anafahamika.
 
Over the past 24 hours alone, without the participation of the Kiev authorities, Russia managed to evacuate 19,694 people from dangerous areas, including 3,300 children, said Colonel General Mikhail Mizintsev.

What else did the head of the National Defense Control Center of the Russian Federation say:

- every day from 10:00 the Russian side opens the gum corridors, but the Ukrainian side has not agreed on any;

- in Odessa, on the instructions of the governor of the region, the Khadzhibey dam was mined, which the neo-Nazis plan to blow up;

- in Kramatorsk, a car delivering drinking water was subjected to mortar fire by nationalists. Three people were injured, two were shell-shocked;

- Ukrainian neo-Nazis continue to hold over 4.5 million civilians in Kyiv, Kharkov, Chernigov, Sumy and other large settlements as human shields;

- 6,577 foreigners from 23 states are held hostage by the militants of the defense battalions. 67 foreign ships from 15 countries are blocked in Ukrainian ports;

- since the beginning of the special operation, 439,420 people have already been evacuated to Russia, of which 91,673 are children;

— more than 2,000 requests for evacuation to Russia have been received over the past day;

— since March 2, the Russian Federation has delivered more than 5,000 tons of dry goods to Ukraine.

Galip SV Liwagu
20220326_103402.png
 
Putin anahitaji kuokoa Tanzania?
maana NATO imeshafika TZ! Wenzetu walituaminisha Putin alipaswa kujitetea (kwa kuangamiza nyumba za makazi kibao na kuua raia pamoja na askari) kwa sababu wanajeshi wa NATO walifika Ukraine kufanya mazoezi na jeshi lake. Nikiangalia habari za nchi fulani katika Afrika ya Mashariki, naona labda Bw Putin anahitaji kuokoa nchi hiyo pia?
Soma:

Training exercise strengthens U.S.-Tanzania security cooperation​

By U.S. Embassy Dar es Salaam | 18 March, 2022 | Topics: Press Releases
Training-exercise-strengthens-US-TZ-security-cooperation-Mar-2022-750x450-1-350x210.png
U.S. and Tanzania Special Forces Soldiers concluded an eight-week Joint Combined Exchange Training (JCET) today, marking another milestone in the history of security cooperation between the two nations.
...
The JCET paired U.S. Special Forces Soldiers and members of Tanzania’s Marine Special Forces in eight weeks of side-by-side training to strengthen skills such as small unit tactics, marksmanship, medical treatment, unit maneuver, the Law of Armed Conflict, and the preservation of human rights in combat.
This was the second training exercise between Tanzanian and U.S. defense forces within the past nine months.
Kwani haya mazoezi ya kijeshi ni US pekee ndio anayatoa TZ?? Mbona mwaka juzi tu Jeshi letu la maji lilikuwa na training na Wachina??
 
Putin anahitaji kuokoa Tanzania?
maana NATO imeshafika TZ! Wenzetu walituaminisha Putin alipaswa kujitetea (kwa kuangamiza nyumba za makazi kibao na kuua raia pamoja na askari) kwa sababu wanajeshi wa NATO walifika Ukraine kufanya mazoezi na jeshi lake. Nikiangalia habari za nchi fulani katika Afrika ya Mashariki, naona labda Bw Putin anahitaji kuokoa nchi hiyo pia?
Soma:

Training exercise strengthens U.S.-Tanzania security cooperation​

By U.S. Embassy Dar es Salaam | 18 March, 2022 | Topics: Press Releases
Training-exercise-strengthens-US-TZ-security-cooperation-Mar-2022-750x450-1-350x210.png
U.S. and Tanzania Special Forces Soldiers concluded an eight-week Joint Combined Exchange Training (JCET) today, marking another milestone in the history of security cooperation between the two nations.
...
The JCET paired U.S. Special Forces Soldiers and members of Tanzania’s Marine Special Forces in eight weeks of side-by-side training to strengthen skills such as small unit tactics, marksmanship, medical treatment, unit maneuver, the Law of Armed Conflict, and the preservation of human rights in combat.
This was the second training exercise between Tanzanian and U.S. defense forces within the past nine months.
Putin hahitaji kuiokoa Tanzania kwa sababu haijaonyesha nia ya kujiunga na NATO, wala haipakani nae wala sio tishio kwake wala haijawahi kuwa katika hatari ya kuhatarisha makubaliano ya kutokujiunga na NATO.
In short Tanzania haina vigezo kama vya Ukraine vilivyopelekea kuvamiwa.
 
Anaposema kupoteza anamaana ya kushindwa.

Nisawa na kwenye mpira Timu G imepata goli 5 timu Q imepata goli 1, timu zote zimepata na kupatwa. Lakini kwenye mchezo husika aliepoteza mchezo anafahamika.

Kwenye vita ushindi unapimwa kwa objective za hiyo vita. Mfano kama Objective ya Urusi ni kulibadili Jeshi la Ukraine, Ushindi wake unapimwa kwa hiyo objective, sio majengo aliyoaribu, mabomu yaliyopigwa n.k

Hizo unazosema goli 5 kwa moja ni hasara zinazotokana na vita si ushindi, na hapa Ukraine kapoteza na Urusi kapoteza ila Ukraine kapoteza zaidi. ushindi unapimwa kwa kupata kilichokufanya kuanzisha vita.
 
The Ministry of Defense of the Russian Federation showed footage of the movement of the artillery column of the Airborne Forces in the Kiev region.

The servicemen made a multi-kilometer march to their destination and destroyed several columns of nationalist military equipment using coordinates from a drone.

“We deeply respect the people of Ukraine, but the enemy who is fighting us has nothing to do with this people. These are mercenaries and Nazis. And we, like our ancestors, will definitely bring this special task to victory in the name of Russia and the Ukrainian people, ”said Volodymyr, the commander of the mortar crew.
Galip SV Liwagu
 
The Ministry of Defense publishes footage of the actions of airborne units in the Kiev region.

Russian paratroopers discovered a stronghold of the Armed Forces of Ukraine and launched an artillery strike on it, destroying a mortar platoon, a column of tanks and an ammunition depot.

In addition, as the commander of the parachute company said, a mortar, shells for it, two sets of Javelin MANPADS and two boxes of Stinger MANPADS were found in the rear of the Ukrainian military.
Galip SV Liwagu
 
Back
Top Bottom