Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Safi sana hii
Walitegemea jamaa angempa sanctions ila hana hbr[emoji28]
Safi sana hii
Putin yupi ? Huyu ambaye anasimika vidikteta dunia nzima? Let freedom ring-to life,freedom and pursuit of happiness.Kama unapenda dunia salama ya haki simama na Putin.
Wadau msiilaumu USA kuwa ni mdhaifu kuingia vitani ,someni hapoUSA bado anatafakari ataingiaje ukraine kuipa sapoti ya kijeshi ya moja kwa moja ukraine kitu kinachomuumiza kichwa ni matumizi ya silaha za nyuklia endapo russia akitumia ila kuipiga ana uhakika ataipiga moscow ila kwa usaidizi wa NATO,wadau kumbukeni vita hata ukishinda kumbuka na ww lazima upate madhara ila hayatafanana na mpinzani wako yeye la lazima aumie zaidi ila wewe kidogo lakini kumbuka USA mpinzani wake wa kiuchumi ambae ni CHINA kumbuka yeye ni kama ametega anasubiri USA adondoke kiuchumi yeye apande , kwa hiyo wadau watu wasilaumu USA ni mdhaifu kuingia vitani ukraine, Yeye anataka kutumia akili ili apate njia ipi ni bora na urahisi kuingia vitani ukraine bila kupata madhara ya kiuchumi nchini kwake,ndo mana ameanza na vikwazo vikubwa vya kiuchumi ,Ila kwa akili za putini yeye ni kama hajali uchumi wa nchi yake na usalama wake yeye anawaza vita..
Ukiacha unazi unaongea ukweli mtupu kumbeKwenye vita ushindi unapimwa kwa objective za hiyo vita. Mfano kama Objective ya Urusi ni kulibadili Jeshi la Ukraine, Ushindi wake unapimwa kwa hiyo objective, sio majengo aliyoaribu, mabomu yaliyopigwa n.k
Hizo unazosema goli 5 kwa moja ni hasara zinazotokana na vita si ushindi, na hapa Ukraine kapoteza na Urusi kapoteza ila Ukraine kapoteza zaidi. ushindi unapimwa kwa kupata kilichokufanya kuanzisha vita.
USA bado anatafakari ataingiaje ukraine kuipa sapoti ya kijeshi ya moja kwa moja ukraine kitu kinachomuumiza kichwa ni matumizi ya silaha za nyuklia endapo russia akitumia ila kuipiga ana uhakika ataipiga moscow ila kwa usaidizi wa NATO,wadau kumbukeni vita hata ukishinda kumbuka na ww lazima upate madhara ila hayatafanana na mpinzani wako yeye la lazima aumie zaidi ila wewe kidogo lakini kumbuka USA mpinzani wake wa kiuchumi ambae ni CHINA kumbuka yeye ni kama ametega anasubiri USA adondoke kiuchumi yeye apande , kwa hiyo wadau watu wasilaumu USA ni mdhaifu kuingia vitani ukraine, Yeye anataka kutumia akili ili apate njia ipi ni bora na urahisi kuingia vitani ukraine bila kupata madhara ya kiuchumi nchini kwake,ndo mana ameanza na vikwazo vikubwa vya kiuchumi ,Ila kwa akili za putini yeye ni kama hajali uchumi wa nchi yake na usalama wake yeye anawaza vita..
Huu ukweli wengi hua hawautakiBora kujifanya mjuaji katika kitu unacho kijua ,kuliko kujifanya mjuaji kwa vitu usivyo vijua utaonekana kituko.
Yeye ameniuliza eti Qtaar asipo muuzia Ulaya na Marekani atamuuzia nani?
Kwa maana hiyo alikuwa hajui ya kwamba asilia kubwa ya gesi ya Qtaar inauzwa barani Asia na sio Ulaya.
Trump aliiwekea vikwazo vya mafuta Iran na wana siasa wa nchi za magharibi wakawa wanasema eti Iran itaanguka na kusambaratika ndani ya mwaka lakini sasa hivi ni mwaka wa 5 Iran inadunda tu.
Wachinjweee[emoji48][emoji48][emoji48]Command post ya Jeshi la Ukraine iliyopo mji wa Nikolaevka kwenye mkoa wa Kyiv yangukia mikononi mwa majeshi ya Russia, huku wanajeshi 61 wa Ukraine wakisalimu amri
Mikwara mbuzi tu hii......Biden amemuonya Putin asithubutu kuvamia nchi yeyeto ya NATO ,atakiona cha mtema kuni.
"[D]on't even think about moving on one single inch of NATO territory," Biden said. "We have a sacred obligation under Article 5 to defend each and every inch of NATO territory with the full force of our collective power."
Siyo mchezo! Let freedom ring !
Taratibu tunaelekea mfumo wa east is east and west is west-east itafanya biashara na east hali kadhalika west watashirkiana wao kwa wao.The Canadian media are discussing whether the country can "help Europe get rid of Russian gas," but this is unlikely to become possible in the near future, writes Le Figaro.
It will not be easy for Canada to export its gas anywhere other than the United States, since it does not have the necessary infrastructure for production, Pierre-Olivier Pinault, a lecturer at the Higher Commercial School of Montreal, said in an interview with a journalist.
“There are projects for the construction of gas liquefaction plants, but these projects are sometimes discussed for ten years, and some of them have already been abandoned. There are problems in connection with the interests of indigenous peoples, and from climate activists, and for environmental reasons,” Pino explained.
Meanwhile, the demand for blue fuel has been falling in the United States in recent years, and this turns into additional problems for Canadian suppliers.
Galip SV Liwagu View attachment 2165744
Hupendi kabisa ukweki si uka goole tuu
Ishu siyo kubweka. Soma article 5 ya NATO treaty.Mikwara mbuzi tu hii......
Walume wanamchapa Ukraine na wameshaambiwa kima yyte atakaeingilia vita ataunganishwa kwenye kichapo.......
nashangaa biden anabaki kubweka bweka kama mbwa koko......
Linyamizi lije lione haya matukioWachinjweee[emoji48][emoji48][emoji48]
Hicho kifungu cha member wa NATO kinajulikana sio anakirudia rudia tu bila mpango........Ishu siyo kubweka. Soma article 5 ya NATO treaty.