Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hicho kifungu cha member wa NATO kinajulikana sio anakirudia rudia tu bila mpango........
yy anachopaswa kufanya aingie kumsaidia Ukraine sio kuleta makelele yasiyo na mpango
Mshauri Vladimir atie mguu NATO - thubutu anajua vizuri kiama. Vamia mmoja umevamia wote- 30 member states blaza.
 
Ukiangalia vizuri most of western supportes kwenye huu uzi hawana data za kutosha. Uwezo wa kupambanua mambo ni finyu mno zaidi wala hoja hawawezi jenga na ukihoji maswali zaidi watakuepuka.

Asilimia kubwa katika wao wanashindwa kutofautisha kati ya term hizi chini.
1. World Largest Producer
2. World Largest Exporter
3. World Largest Consumer
4. World Largest Importer
5. World Largest Reserves...

Hizo ni term 5 tofauti kabisa na kila term ikiwa na implication yake tofauti.

Kingine pia wakiwa wanazitizama data wanashindwa kutofautisha ni kitu kipi wanacholinganisha.
1. Oil
2. Natural Gas

Mfano [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] the country with most Largest Oil reserves nitataja 5.
Moja Venezuela
Pili Saudi Arabia
Tatu Canada
Nne Irani
Tano Iraqi
Nyongeza ni Russia wa Nane na USA wa 11. Apa tuelewane vizuri hii ni "Reserves" sio "Productions"

Na country with the largest Natural Gas reserves
Moja Russia
Mbili Iran
Tatu Qatar
Nne Turkmenistan
Tano US of America
Point ya nyongeza ni kuwa hizo nchi tatu za awali Russia Iran na Qatar zimeshikilia zaidi ya nusu ya Natural Gas zilizopo dunian.

Sasa hio list juu inapishana na list zingine katika yale makundi matano kule juu. Uchanganuzi na upambanuzi mzuri ni pale mtu anapoweza kutofautisha nchi katika matabaka hayo matano...

Hii ni kwenye Reserves yake, uzalishaji wake, utumiaji wake. Katika utumiaji wake ndipo utapata kujua ana imports kiasi gani na ana exports kiasi gani.

Nchi za kiarab kama Qatar, UAE na Saudi Arabia zinaeza zisishike number moja katia uzalishaji lakini zinashika nafasi za juu kwenye exports kubwa sana ya Crude Oil duniani.

Nchi kama USA anazalisha kwa wingi ila anafanya imports kubwa ya Gas ama Oil kutoka nchi zingine kwasabab ana consuming more zaidi ya anavyozalisha.

Nchi kama Venezuela ina high reserve by far ya Oil ila haizalishi kwa wingi ukilinganisha na wengine [emoji23][emoji23][emoji23] (hapa napo ndipo mtakapoona unafiki wa mmarekani) nchi zenye Largest reserve zipo kwenye list ya nchi alizozipiga sanctions za kutosha.

Nchi kama China, hazalishi kwa wingi ila ni mtumiaji mkubwa wa Oil and Gas kwa hesab rahisi kuliko Ulaya yote combined.

Na kwanini tunasema Russia, kwa mfano mwepesi ni sawa na mkulima mwenye familia ya watoto wawili kisha analima Ekari laki 1. Huyu hawezi lala njaa wala hawezi kuishiwa chakula. Tofauti na wenzie.

Katika makundi yote pale juu Exporters, Productions, Reserves humkosi kwenye top ten lakin linapokuja swala la Importers hata kwenye top 100 hayumo. Na kwenye list ya Consumers bado kiasi anachokitumia na kile anachozalisha kina surplus kwa ratio kubwa mno...

So nahisi na nafikiri ni vyema tunapozungumza flan anazalisha kwa wingi tuzame deep kwa ufafanuzi zaidi.
Shida nikwamba mnatumia fact kuwaelezea mambo watu wanaopelekeshwa na hisia
Ahsante kwadarasa MKUU ila pole kwakupoteza muda wako dhidi ya hao mashabiki
 
Putin ni mwamba sana huyu jamaa yaani unpredictable jamaa anacheza kete za moto tu. Hakuna aliyejua kama Russia itabadili mfumo wa mauzo ya nishati yake kwenda Ruble.

Wamebaki wanapiga kelele tu hawakutegemea mzee baba angefanya hivyo. Ukimtizama Biden vizuri utaona ni mtu ambaye ana stress afu kapaniki sana.

Putin sio mtu wa media yeye ni action tu ukimkuta kwa media anaongea vitu muhimu tu. Putin is smart and genius.

I STAND WITH RUSSIA [emoji635] [emoji110]
I STAND WITH PUTIN [emoji736]
Hivi kumbe dunia ya kibabe ni dunia salama sana kuliko dunia ya kiustaarabu na kuheshimu mamlaka ya kila nchi..??

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Putin ni mwamba sana huyu jamaa yaani unpredictable jamaa anacheza kete za moto tu. Hakuna aliyejua kama Russia itabadili mfumo wa mauzo ya nishati yake kwenda Ruble.

Wamebaki wanapiga kelele tu hawakutegemea mzee baba angefanya hivyo. Ukimtizama Biden vizuri utaona ni mtu ambaye ana stress afu kapaniki sana.

Putin sio mtu wa media yeye ni action tu ukimkuta kwa media anaongea vitu muhimu tu. Putin is smart and genius.

I STAND WITH RUSSIA [emoji635] [emoji110]
I STAND WITH PUTIN [emoji736]
Mtu mwenye akili nyingi
Huko kwao wanamwita VVP.
Yaani Vladimir Vladimilovic Putin
 
Screenshot_20220327-113448.jpg
Tunahama gym .... Tukafanye mazoezi nchi za mbali kidogo....
 
Biden amemuonya Putin asithubutu kuvamia nchi yeyeto ya NATO ,atakiona cha mtema kuni.

"[D]on't even think about moving on one single inch of NATO territory," Biden said. "We have a sacred obligation under Article 5 to defend each and every inch of NATO territory with the full force of our collective power."

Siyo mchezo! Let freedom ring !
Ha ha haa.
 
Biden amemuonya Putin asithubutu kuvamia nchi yeyeto ya NATO ,atakiona cha mtema kuni.

"[D]on't even think about moving on one single inch of NATO territory," Biden said. "We have a sacred obligation under Article 5 to defend each and every inch of NATO territory with the full force of our collective power."

Siyo mchezo! Let freedom ring !
Mijitu mioga utaijua tu.
US alone kwa Russia ni underdog

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kwenye vita ushindi unapimwa kwa objective za hiyo vita. Mfano kama Objective ya Urusi ni kulibadili Jeshi la Ukraine, Ushindi wake unapimwa kwa hiyo objective, sio majengo aliyoaribu, mabomu yaliyopigwa n.k

Hizo unazosema goli 5 kwa moja ni hasara zinazotokana na vita si ushindi, na hapa Ukraine kapoteza na Urusi kapoteza ila Ukraine kapoteza zaidi. ushindi unapimwa kwa kupata kilichokufanya kuanzisha vita.
Itakuwa hukunielewa msingi wa hoja yangu na mfano wa yale magoli 5-1.
Ni hivi hizo goli tano ndio hizo objectives za vita na hilo goli moja alilofungwa ndio hizo hasara alizopata kufikia hizo objectives za vita.
Kwa kusema wote wamepoteza sio sawa. Nikuibie milioni 5 halafu wewe uniibie milioni 1 halafu useme sote tumepoteza. It is a BIG NO.
 
Propaganda hizi mara the bear kaishiwa hadi mabomu ya mkono ,mara magari hayana mafuta majeshi ya moscow yanatumia baskeli kubwa kuliko sasa wakasema jamaa hawana chakula wanashindia mihogo ya kukaanga [emoji23][emoji23][emoji23] haya washakula huko
Zombie zinakubali eti urusi imeishia Kuna mazombie humu yakipewa Habari na BBC na CNN wanaleta humu kama zilivyo yani hata leo Western midia wakisema wanajeshi wa Urusi wameishiwa Mavi kwenye utumbo mpana stock ya Mavi tomboni imebaki ya masaa nane utawaona watumbaktu na shumizi zao na madela ya kisomali wakija spidi kwamba Urusi kwisha Habari hawana storage ya Mavi tumboni ilihali Mavi hayana msaada wowote kutujazia uzi tu kwa Habari za upuuzi na kurudi picha mlizotuma huko nyuma we need news from battle ground not western huu uzi ni wa vita na fita ni fita mura!
 
Back
Top Bottom