Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The movie is called "1st battalion of special forces #1ak #roa "Khan" lures the snipers of "Azov"
 
kremlin yaonya kuhusu kupeleka the so called peace keeping force in ukraine
kuna tetesi baadhi ya nchi za nato zikiongozwa na poland, UK na US znampango kubypass nato na kupeleka wanajesh western ukraine for peace keeping
Yaani Hizo Tatu ndio hasa zina kihere here zaidi.. Poland Ina Kiherehere sijaona Ni kama punda jike
 
Mtaalamu tena!! Haya, ona hali halisi:

Natural Gas Production by Country​


#CountryYearly Gas Production
(MMcf)
1United States32,914,647,000
2Russia22,728,734,000
3Iran9,097,956,245
4Canada6,751,698,275
5Algeria6,491,744,560
6Qatar6,000,936,690
7Norway5,763,408,000
8China4,559,625,595
9Saudi Arabia4,231,796,450
10United Arab Emirates3,178,738,465
11Indonesia3,143,035,000
12Nigeria3,009,650,245
13Turkmenistan2,910,379,780
14Venezuela2,832,121,740
15Malaysia2,762,798,395
16Australia2,384,327,540
17Mexico2,336,370,000
18Uzbekistan2,037,675,500
19Netherlands1,909,128,900
20Egypt1,742,018,320
True data
world-proven-reserves.jpg
 
Kuwa na production kubwa sio kuwa na reserve kubwa anachofanya US anachukua huku na huku ndomana anaonekana anaproduction kubwa, tunazungumzia reserve kubwa WW
Bwana amua unachotaka. Huko #21,223 (ona hapo chini) ulisema kinyume!
Naona wewe mmoja wa hao wanaofurahia kila nafasi kumwaga propaganda fulani bila kuelewa wanachosema.

Alokwambia Us ana gas nyingi nani? Na US anareserve kubwa tu ya mafuta sio producer mkubwa wa mafuta. Msidanganywe na west propagandas
 
Ww jamaa unajitia mjuaji lakini ni ziro.

Kwahiyo Ulaya pekee ndio kuna wanunuzi.

Asilimia 80 ya gesi ya Qtaar inauzwa barani Asia ni asilimia 20 tu ndio inauzwa Ulaya.
Hata nchi za magharibi zikiisusia gesi ya Urusi usitegemee itakosa wateja.
Ukiangalia vizuri most of western supportes kwenye huu uzi hawana data za kutosha. Uwezo wa kupambanua mambo ni finyu mno zaidi wala hoja hawawezi jenga na ukihoji maswali zaidi watakuepuka.

Asilimia kubwa katika wao wanashindwa kutofautisha kati ya term hizi chini.
1. World Largest Producer
2. World Largest Exporter
3. World Largest Consumer
4. World Largest Importer
5. World Largest Reserves...

Hizo ni term 5 tofauti kabisa na kila term ikiwa na implication yake tofauti.

Kingine pia wakiwa wanazitizama data wanashindwa kutofautisha ni kitu kipi wanacholinganisha.
1. Oil
2. Natural Gas

Mfano [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] the country with most Largest Oil reserves nitataja 5.
Moja Venezuela
Pili Saudi Arabia
Tatu Canada
Nne Irani
Tano Iraqi
Nyongeza ni Russia wa Nane na USA wa 11. Apa tuelewane vizuri hii ni "Reserves" sio "Productions"

Na country with the largest Natural Gas reserves
Moja Russia
Mbili Iran
Tatu Qatar
Nne Turkmenistan
Tano US of America
Point ya nyongeza ni kuwa hizo nchi tatu za awali Russia Iran na Qatar zimeshikilia zaidi ya nusu ya Natural Gas zilizopo dunian.

Sasa hio list juu inapishana na list zingine katika yale makundi matano kule juu. Uchanganuzi na upambanuzi mzuri ni pale mtu anapoweza kutofautisha nchi katika matabaka hayo matano...

Hii ni kwenye Reserves yake, uzalishaji wake, utumiaji wake. Katika utumiaji wake ndipo utapata kujua ana imports kiasi gani na ana exports kiasi gani.

Nchi za kiarab kama Qatar, UAE na Saudi Arabia zinaeza zisishike number moja katia uzalishaji lakini zinashika nafasi za juu kwenye exports kubwa sana ya Crude Oil duniani.

Nchi kama USA anazalisha kwa wingi ila anafanya imports kubwa ya Gas ama Oil kutoka nchi zingine kwasabab ana consuming more zaidi ya anavyozalisha.

Nchi kama Venezuela ina high reserve by far ya Oil ila haizalishi kwa wingi ukilinganisha na wengine [emoji23][emoji23][emoji23] (hapa napo ndipo mtakapoona unafiki wa mmarekani) nchi zenye Largest reserve zipo kwenye list ya nchi alizozipiga sanctions za kutosha.

Nchi kama China, hazalishi kwa wingi ila ni mtumiaji mkubwa wa Oil and Gas kwa hesab rahisi kuliko Ulaya yote combined.

Na kwanini tunasema Russia, kwa mfano mwepesi ni sawa na mkulima mwenye familia ya watoto wawili kisha analima Ekari laki 1. Huyu hawezi lala njaa wala hawezi kuishiwa chakula. Tofauti na wenzie.

Katika makundi yote pale juu Exporters, Productions, Reserves humkosi kwenye top ten lakin linapokuja swala la Importers hata kwenye top 100 hayumo. Na kwenye list ya Consumers bado kiasi anachokitumia na kile anachozalisha kina surplus kwa ratio kubwa mno...

So nahisi na nafikiri ni vyema tunapozungumza flan anazalisha kwa wingi tuzame deep kwa ufafanuzi zaidi.
 
Kuna taarifa rasmi kwamba Lviv ipo kwenye mashambulizi, naona Russia inakamilisha kuizunguka Ukraine yote.

Na hili suala la Poland kuingilia hii conflict utagundua kwenye huu mzunguko Russia inakaribia kabisa kuiweka katikati Ukraine, sehemu ya magharibi ambako Poland iko ndiko nasikia kuna huu mji Lviv unashambuliwa.

Kuna kitu Nato watafanya Russia isikamilishe hii encirclement, na hapa ndipo ambapo ni pabaya zaidi, tuombe WWIII isijeinuka kimchezo mchezo.

Hali ni mbaya.
 
Haraka haraka naeza sema kua Lyviv inashambuliwa makusudi. Lengo ni kublock njia ya silaha zinazoingia Ukraine kupitia Poland. Lyviv ikishakua under Russia Army Control maana ake hakutakuwa tena na More Supplies kutoka Magharibi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ni mtazamo wangu tu lakin kutokana na huo mwonekano wa raman ulivo. [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847] kwasabab baada ya Poland, Hungary, Slovakia na Romania wanapinga upelekaji silaha Ukraine so hawataziruhus ziingie kupitia ardhi yao.
 
Haraka haraka naeza sema kua Lyviv inashambuliwa makusudi. Lengo ni kublock njia ya silaha zinazoingia Ukraine kupitia Poland. Lyviv ikishakua under Russia Army Control maana ake hakutakuwa tena na More Supplies kutoka Magharibi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ni mtazamo wangu tu lakin kutokana na huo mwonekano wa raman ulivo. [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847] kwasabab baada ya Poland, Hungary, Slovakia na Romania wanapinga upelekaji silaha Ukraine so hawataziruhus ziingie kupitia ardhi yao.
Exactly, kwa kweli hali ni mbaya, kwenye Aitstrike imeshashindikana deal ya kupeleka mig29, kwanza mpaka sasa Russia amemaliza airbase za Ukraine na Airports, hizo ndege inabidi zitoke nje kwenda kwenye service.

Russia inaweza kushambulia Ukraine hata ikiwa nje la anga la Ukraine.
Bomber kama tu95 au t160 ni nuclear capable sio mchezo.
Zinatuma missiles 5500km away, kuna airport moja imepigwa na hizi bomber.

Ukraine wanatia huruma, Russia muda si mrefu anaiteka Ukraine yote
 
Exactly, kwa kweli hali ni mbaya, kwenye Aitstrike imeshashindikana deal ya kupeleka mig29, kwanza mpaka sasa Russia amemaliza airbase za Ukraine na Airports, hizo ndege inabidi zitoke nje kwenda kwenye service.

Russia inaweza kushambulia Ukraine hata ikiwa nje la anga la Ukraine.
Bomber kama tu95 au t160 ni nuclear capable sio mchezo.
Zinatuma missiles 5500km away, kuna airport moja imepigwa na hizi bomber.

Ukraine wanatia huruma, Russia muda si mrefu anaiteka Ukraine yote
Naam na ukiona imefikia hizi Giant media zinaandika hivi uone kweli hali ni mbaya tena mbaya zaidi...

JamiiForums-1896549669.jpg
 
If the German economy collapses because of these measures, then the whole of Europe will fall apart.”

German economist Aika Hamer, in a conversation with RT, about the consequences of anti-Russian sanctions for Europe:

“We may face the fact that diesel fuel or gasoline will cost €4-5 or even €6 per liter. We may also face the fact that most Europeans will no longer be able to afford to drive. Without this, the great prosperous West is nothing more than an illusion.”

He noted that the losers in this situation "will be the middle class and the poorest people in Germany, Europe and the United States."
Galip SV Liwagu
View attachment 2165038
PUT IN kamatia hapo hapo kwenye RUBO
mpaka waelewe kama wana deal namwamba waaina gani
 
Back
Top Bottom