Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Ukraine hali ni mbaya sana [emoji119]
lyviv kushambuliwa RAIS WA MAREKANI akiwa less than 100km huko poland ilikuwa ni message to USExactly, kwa kweli hali ni mbaya, kwenye Aitstrike imeshashindikana deal ya kupeleka mig29, kwanza mpaka sasa Russia amemaliza airbase za Ukraine na Airports, hizo ndege inabidi zitoke nje kwenda kwenye service.
Russia inaweza kushambulia Ukraine hata ikiwa nje la anga la Ukraine.
Bomber kama tu95 au t160 ni nuclear capable sio mchezo.
Zinatuma missiles 5500km away, kuna airport moja imepigwa na hizi bomber.
Ukraine wanatia huruma, Russia muda si mrefu anaiteka Ukraine yote
These are facts,hakuna conspiracies hapa.NWO ndio wanao conspire against humanity,mimi na conspire against who,na kwa faida gani hasa.Acheni ujinga wa kuwekewa maneno mdomoni na msiyojua hata maana yake na kwa nini yapo.Mzee wa conspiracy theories
Mkubwa...Kuna wajinga kwa makusudi kabisa wanafikiri kwamba kwa dunia hii unaweza k
ubishana na EU; US na wakabalia salama ? ni upumbafu.
[emoji23][emoji23][emoji23]The Western propaganda is successful in turning people into zombies. You've been zombified.
Imesaidia nini hiyo meseji...mkutano wake ulisimama?..lyviv im
lyviv kushambuliwa RAIS WA MAREKANI akiwa less than 100km huko poland ilikuwa ni message to US
MNOOOOONATO ni dhaifu.
NATO weupe sanaaaanato gani hao nato iliopokea kipondo afghanistan miaka 20 kisha ikakimbia? Alafu wewe mmatumbi wa buza tangu lini ukawa mrusi? ha ha ha ha
Afghanistan miaka 20 mkichokoza mrusi si mtageuzwa mariupol nyingine
Imesaidia nini hiyo meseji...mkutano wake ulisimama?..
haijasaidia saana tukiangalia na kawaida person perspective. seems USA needs thorough defense system upgrade.walitakiwa wawe wame tract those missiles.imeongeza tumbo joto kwa usa considering the entire poland airspace was under POTUS and america defense systems .PUTIN ridiculed POTUSImesaidia nini hiyo meseji...mkutano wake ulisimama?..
Mshamba huyo .....analeta mifano ya kitoto kabisa ......baba kwako kwawengine beki3 tuuu
Giving Barack Obama the Nobel Prize was a crazy move indeed,but typical of the crazy West.
Usijifanye mjuajiWw jamaa unajitia mjuaji lakini ni ziro.
Kwahiyo Ulaya pekee ndio kuna wanunuzi.
Asilimia 80 ya gesi ya Qtaar inauzwa barani Asia ni asilimia 20 tu ndio inauzwa Ulaya.
Hata nchi za magharibi zikiisusia gesi ya Urusi usitegemee itakosa wateja.
Rais ana amani, hapa kwetu Rais kazungwa zungwa hata simu mtu hauruhusuwi kuwa nayo
Tofautisha reverse na production, unaweza kuwa na misitu mingi ila ukashindwa ivuna yote
Subiri babako akifa, au mamaki ili ujue utamu wa kifo. We si jeuri we subiri.Utakuwa unawashwa taqo.