Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Aisee hapo ni zaidi ya kulogwa....yaani watu hawashangai wala kujiuliza kuwa hivi inakuwaje media kama BBC, Aljazeera, Skynews, na CNN hawazungumzi lolote kuhusu operations za kijeshi za Russia? Yaani kutwa wanazxungumzia kubomolewa kwa majengo na kinachodaiwa kuwa ni hospitali na theatre na vifo vya watoto na wazee...hawazungumzii kabisa madhara ambayo jeshi la Ukraine wanapata...ninachofahamu mimi hivi sasa jeshi la Ukraine liliokuwa huko Donebass limezingirwa yaani mbele yao kuna majeshi ya majimbo yale yaliyojitenga halafu nyuma yao kuna majeshi ya Russia yanatokea Mariupol na Kharkiv....Jeshi kubwa la Ukraine linakaribia kuzingirwa huko...Lakini hizi habari mbaya kwa ukraine huwezi kuzipata..media za ajabu kabisa...hakuna objective reporting kwa vyombo vya habari vya magharibi'
Kama jana na mpaka sasa huko twitter na reddit, wanasema waache ku share picha za mashambulizi wanayofanya Russia in realtime kwamba itasaidia Russia kufanya correction ya mashambulizi😂😂😂.

Hivi Russia iliyorusha satellite 1950's , haijui inapopiga?

Issue ni kwamba wakazi zile picha zina dis appoint sana Ukranian Nationalists na serikali kuona advancement ya Russia hizo zingine ni porojo.
 
Kama jana na mpaka sasa huko twitter na reddit, wanasema waache ku share picha za mashambulizi wanayofanya Russia in realtime kwamba itasaidia Russia kufanya correction ya mashambulizi😂😂😂.

Hivi Russia iliyorusha satellite 1950's , haijui inapopiga?

Issue ni kwamba wakazi zile picha zina dis appoint sana Ukranian Nationalists na serikali kuona advancement ya Russia hizo zingine ni porojo.
Wanatumia Udikteta hadi kwenye Vyombo vya Habari Ila Mrusi Bado Yupo sana Tu
 
Naomba nikuweke sawa mdogo wangu ujifunze na sio kupaniki wala kutukana. Vikwazo ni vibaya kwa nchi kama Africa ambazo bado hatuko industrialized tunadepend everything kutoka kwao ndomana tunakua waoga mbele yao. Ndomana nchi kama Zimbabwe iliathirika sana Russia vikwazo havijaanza jana hawa jamaa wana pambana na vikwazo toka muda.

Nchi kama Russia wanateknolojia ya kila aina usicompare na hao uliowataja kabisa ni kama unamtukana Russia. Russia exports > imports na ukiangalia vitu anavyo import vingi ni luxury tu ambavyo havina impact kubwa.

Unampa sanctions Russia ambaye anategemewa duniani? Huon impact tuliyoanza kuona ndani ya mwezi mambo ni haya je tukifika 3months? Unafikir hali itakuaje? Haohao waliompa sanctions sahv wanapingana kwa maamuzi waliyochukua hio kitu hata wao inawaathiri embu fanya research angalia jinsi inflation ilivyopanda kwa kasi Europe na nchi za africa imeanza kupanda pia.

Ni sawa na serikali impatie sanctions AZAM unafikir hali itakuaje nchini?? Hata kama tuta adapt itachukua muda sana kufikia level hio ndo economics nimekupa simple example ili uelewe utoe ujinga kichwani kwako.

Usichukulie uchumi juu juu tu sawa dogo tumia logic kufikilia mambo achana na propaganda Russia ni Taifa muhimu sana kwenye uchumi wa dunia. Naomba niishie hapa nadhan umepata concept kidgo

Russia sio Zimbabwe sio Venezuela hao ni next level, na biashara watafanya kama kawaida na maisha yatakwenda.
Kiufupi mwambie huyo mbwana mdogo Urusi kama dunia tunaihitaji kuliko wanavyotuhitaji sisi
 
It is reported that fuel reserves in Ukraine are left for 5-10 days
20220327_144657.jpg


Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Objective ya Urusi ni nini? Naomba ihusishe na hizo goli tano na ushindi unaouzungumzia. Huenda objective unazozijua si ninazozijua. Sasa tusipokubaliana kwenye hizo objective hatutafika mwisho.
Objectives za Russia kwenye hii Operation ni hizo hizo walizotaja Warusi wenyewe. Mimi na wewe hatuwezi kuwanazo tofauti na za kwao.
5-1 ni mfano tu huo wala sikuwa na maana kwamba tayari score board ndio inasoma hivyo.
Hoja yangu ilikuwa incase the game is over basi huyu mwenye 5 ndie mshindi wala haiisabiwi kuwa nae kapoteza kwa kufungwa goli moja.
Kama mpaka hapa itakuwa bado hujanielewa itabidi nikubali YAISHE ili tufocus point nyengine kama itajitokeza.
 
Russia ni kama maji lazima uinywe tu[emoji28]. Sahv wanakubali S-400 ni mashine si kuna watu walikua wanaiponda humu ndani? Sasa hio S 500 itakuaje??

Anachofanya Amerca anataka mgombanisha Russia na Turkey hana lolote.
Wao wenyewe wamagharibi wanasema S-500 ni kiboko, stealth aircraft hazikatizi, zinanaswa kiwepesi kabisa...zitakuwa stealth kwa yale ma-vyuma chakavu ya USA+NATO (kina Patriot PAC-3, THAAD na shoga zao).

S-500 yadungua hata yale masetilaiti yao waliyoyajaza angani hayafanyi lolote la maana zaidi ya kutupunguzia hewa ya oxygen 😇😇😇

Screenshot_20220327-123802_Gallery.jpg
 
USA bado anatafakari ataingiaje ukraine kuipa sapoti ya kijeshi ya moja kwa moja ukraine kitu kinachomuumiza kichwa ni matumizi ya silaha za nyuklia endapo russia akitumia ila kuipiga ana uhakika ataipiga moscow ila kwa usaidizi wa NATO,wadau kumbukeni vita hata ukishinda kumbuka na ww lazima upate madhara ila hayatafanana na mpinzani wako yeye la lazima aumie zaidi ila wewe kidogo lakini kumbuka USA mpinzani wake wa kiuchumi ambae ni CHINA kumbuka yeye ni kama ametega anasubiri USA adondoke kiuchumi yeye apande , kwa hiyo wadau watu wasilaumu USA ni mdhaifu kuingia vitani ukraine, Yeye anataka kutumia akili ili apate njia ipi ni bora na urahisi kuingia vitani ukraine bila kupata madhara ya kiuchumi nchini kwake,ndo mana ameanza na vikwazo vikubwa vya kiuchumi ,Ila kwa akili za putini yeye ni kama hajali uchumi wa nchi yake na usalama wake yeye anawaza vita..
Angekuwa anajali uchumi wake asingeshinikiza vikwazo kwa Russia, kiasi kwamba hata yeye ameathirika na hivyo vikwazo.
 
Hungary's policy towards Russia "will cost her dearly," the President of Poland said.

Duda, in an interview with TVN, said that he did not understand the position of the Hungarian Prime Minister Viktor Orban.

E
IMG_20220327_150147_781.jpg
arlier, Zelensky criticized Budapest for its unwillingness to allow arms transfers through its territory and to abandon Russian oil and gas.

In response, Orban said: "When asked which side Hungary is on, the answer is: Hungary is on the side of Hungary."
Galip SV Liwagu
 
After the start of the special operation in Ukraine, the indicator of Russian support for Putin's activities rose to 77.9% (from 64.3%).

This is evidenced by the data of VTsIOM. The approval of Mishustin's work is also growing. RT talked to experts about it.

“The picture of what is happening for Russian society is opening up more and more. It shows that in fact the political decision made by the President of Russia was the only correct one,” said Nikita Danyuk, a member of the Public Chamber of the Russian Federation.

Oleg Matveychev, Deputy Chairman of the State Duma Committee on Information Policy, Information Technologies and Communications, added that the trend is also related to the revealed data on Kyiv's plans:

“Even those people who at first doubted the expediency of the special operation, after they saw the documents irrefutably proving that Ukraine was planning an attack on Russia, are now firmly convinced of the need for it.”
Galip SV Liwagu
20220326_103402.png
 
Wao wenyewe wamagharibi wanasema S-500 ni kiboko, stealth aircraft hazikatizi, zinanaswa kiwepesi kabisa...zitakuwa stealth kwa yale ma-vyuma chakavu ya USA+NATO (kina Patriot PAC-3, THAAD na shoga zako).

S-500 yadungua hata yale masetilaiti yao waliyoyajaza angani hayafanyi lolote la maana zaidi ya kutupunguzia hewa ya oxygen [emoji56][emoji56][emoji56]

View attachment 2165925

Hio S 500 kama wameweka sokoni watauza sana. Naskia wanataka waingie S-600 & 700
 
Back
Top Bottom