Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Halipo kwenye hutuba ila lipo kwenye ajenda [emoji23][emoji23][emoji23] dunia iko open sasa hakuna siri tena... Mkurugenzi wa CIA. Toka 2020. Jamaa anaezungumziwa hapo upande wa Russia yupo Jera sa hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
-5620876893901400008_121.jpg

Huo ulikuwa mpango wao toka kitambo [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
 
Biden amemuonya Putin asithubutu kuvamia nchi yeyeto ya NATO ,atakiona cha mtema kuni.

"[D]on't even think about moving on one single inch of NATO territory," Biden said. "We have a sacred obligation under Article 5 to defend each and every inch of NATO territory with the full force of our collective power."

Siyo mchezo! Let freedom ring !
Zamani mlisema Russia hawezi kushinda special military operations dalili zote zinaonyesha kwa zaidi ya 70% ameshinda sasa mnaanza kusema asithubutu kuvamia mshirika wa NATO. Nikukumbushe Tu mahesabu ya Vladimir Putin yapo Ukraine kwa sasa na kama NATO wataingilia yeye ameshajihami. Angalia jinsi wanajeshi wa Ukraine wanavyotekwa au kujisalimisha kwa usalama wao.
 
Nina mashaka na uwezo wa NATO, hivi hii ndio US na NATO ambayo huwa tunaona wakipiga arabs na nchi za Kiafrika?

Russia against the world lakini jamaa wanazidi ku advance, wanazidi kuiua nguvu Ukraine licha ya kila juhudi inayotumia US na NATO kuirudisha nyuma Russia.


US hawaamini na waaliamini wangeirudisha nyuma Russia mpaka mpakani, licha ya kujaribu wameshindwa na kinachoendelea ni story za mdomoni na matusi.


Russia tayari imechukua mji wa Mariupol, moja ya mji muhimu zaidi kimkakati, ni mji wa viwanda, tayari wanashambulia depot kubwa za mafuta kama kule Lviv wamepiga depot kubwa mno ya mafuta.

Nakubali kwamba Russia kama VP aliposema ni kuimaliza nguvu za kijeshi Ukraine na kuondoa Unazi.

Russia wamesema tayari mission ya kwanza ambayo ni demilitarization imefanikiwa ni kweli, ngome kubwa zote sumbufu na Ukranian Nationalist camps zimepigwa.

Baada ya hapo inafuatia kuondo unazi, maana yake ni kuondoa uongozi uliopo wa sasa serikali.

Kwa maana hio toka Russia imetangaza phase ya kwanza kuikamilika ina maana wanaingia phase ya pili, ndio maana tunaona mashambulizi yamekua makali mno, kwa maana ni kama vita inaanza upya kukamilisha mission 2.

Kwa Russia ilivyokipanga je? Ukraine ipo sawa kuweka nguvu kama ilivyoanza mwanzo?
Na tutakaa hapo kwa miaka 40 mpaka manazi waishe
 
Wao wenyewe wamagharibi wanasema S-500 ni kiboko, stealth aircraft hazikatizi, zinanaswa kiwepesi kabisa...zitakuwa stealth kwa yale ma-vyuma chakavu ya USA+NATO (kina Patriot PAC-3, THAAD na shoga zako).

S-500 yadungua hata yale masetilaiti yao waliyoyajaza angani hayafanyi lolote la maana zaidi ya kutupunguzia hewa ya oxygen [emoji56][emoji56][emoji56]

View attachment 2165925
Piga mashoga hawa saivi ni kusafisha sehemu tulizoteka huku tunamsogelea NATO na comedian wao
 
Hungary's policy towards Russia "will cost her dearly," the President of Poland said.

Duda, in an interview with TVN, said that he did not understand the position of the Hungarian Prime Minister Viktor Orban.

EView attachment 2165951arlier, Zelensky criticized Budapest for its unwillingness to allow arms transfers through its territory and to abandon Russian oil and gas.

In response, Orban said: "When asked which side Hungary is on, the answer is: Hungary is on the side of Hungary."
Galip SV Liwagu
Huyu ndie atafuata
 
Eti sijui javelin ...javelin ....sijui upumbavu stinga ....misifa iliopewa hizi machuma chakavu mpaka nikaogopa kumbe mamidoli yenyewe hamna kitu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....VIIVAA PUT IN ..[emoji13][emoji13][emoji13]..VIIVA RUSSIAN PEOPLE[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji123][emoji123][emoji123]
Utasikia Russia wameishiwa chakula.
 
Back
Top Bottom