Wewe na Nani?!?! 😂😂😀😀Watanzania bwana kwa ushabiki🤣🤣Na tutakaa hapo kwa miaka 40 mpaka manazi waishe
Wewe na Nani?!?! 😂😂😀😀Watanzania bwana kwa ushabiki🤣🤣Na tutakaa hapo kwa miaka 40 mpaka manazi waishe
Anaweza hata asimalize hiyo term mojaBiden anaenda kuwa one term presdent
Kama ulivoziona hizo porojo vivo hivo tunapishana na mawazo ya wapi tunataka kuishi.pamoja na porojo zote ulizoziandika ila cha ajabu ikitokea mchongo wa kwenda New York, Moscow au Hong Kong. Cha ajabu utachagua
1. New York
2. New York
3. New York
4. New York
5. New York
6..........
7..............
8.............
9...............
10..........
Media gani ilitoa ripoti hiyo na tarehe gani? naomba nitajie.Vyombo vya magharibi viliripoti taarifa ya majeshi ya russia kuishiwa chakula ndani ya siku 3, cha ajabu ilipofika hiyo ya 3 kiongozi wa russia alitangaza kukamilika kwa phase 1. Huenda majasusi wa kimagharibi walipewa taarifa potofu au wao ndio wameamua kutupa taarifa potofu huku wakifahamu fika kinachofuata. Hii operation inanifunza mambo mengi sana, kubwa zaidi usichukulie serious movies na series za hollywood mpaka ukafikia hatua ya kuzirelate na uhalisia.
asante sana Binti Putin .Kama ulivoziona hizo porojo vivo hivo tunapishana na mawazo ya wapi tunataka kuishi.
So ka vile unaishi maisha ako ukiamin Newyork ndio pepo unayodream kuishi kwa kuyaona yale maghorofa kwenye picha. Huna tofauti na Muha wa kigoma anayeyaona maghorofa ya Posta kwenye TV akiamini yale ndio maisha ya Dar.
Ukue walau uwaze kidogo tu uwaze ka mtoto wa darasa 3 sio kindergarten tena ambae anajua Posta kumejaa maghorofa ndio ila most zikiwa ni Commercial buildings kama Corporate offices, Hotels, Shopping Malls n.k ilhal Wengi wakazi wa pale wanaishi buguruni [emoji23][emoji23][emoji23] mbagala kule tandika uko na kwingineko ambapo hakuna tofauti kimwonekano na sehem walipo.
Umekuja na ka hoja ka mtoto aliyeanza kuota meno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mpaka mbavu zimeniuma. "eti ukiambiwa ukaishi wapi kati ya hapa na kule utachagua wapi" jinga kweli ww [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hayo maswali jaribu kuulizana na watoto wenzio nyumban mnaosubiri kuletewa pampasi na pipi za kijiti mnyonye mkue.
😃😃. 24 hrs wapo humu kubishana na kusifu. Hoya hoya wasio na kazi. Inawezekana Sentensi hii imetambulisha 24hrs zako unavyozitumia pia.Wengi ni hoya hoya wasio na kazi.. 24hrs wapo humu kubishana na kusifu.
Video: Hifadhi ya silaha za Ukraine ikipelekewa moto mkali
Mizigo ya kazikazi hiyo.Video: Wajeda wa Russia wakipeleka Iskander kwenye operation Ukraine, na kuwaagizia Ukraine zawadi maridhawa
Umejifunza hili mwezi huu wa pili kupitia hii operation ukimaaniaha January 2022 series za hollywood na movies ulikuwa unazirelate na uhalisia.Hii operation inanifunza mambo mengi sana, kubwa zaidi usichukulie serious movies na series za hollywood mpaka ukafikia hatua ya kuzirelate na uhalisia.
kwa bahati mbaya co-existence ya strongmen na strong institution ni ngumu sanaWe need strong men like Putin as well as strong institutions
Unfriendly countries wamegoma kutumia pesa za kijinga wamemuambia akae nazo yeye mwenyewe... mbwai mbwai tu kwa katiriRussia Retaliates on Sanctions; "Unfriendly Countries" Can Only Buy Gas with Rubles
Russia has adopted a very (VERY) Slick financial move.They have decided that "unfriendly countries" (those that have imposed economic sanctions upon Russia),can still buy Russian Gas and Oil, but the purchases must be done in Rubles. That means those countries will have to sell currency on the Moscow Exchange!
In one fell swoop, Russia just sand-bagged Western countries trying to ripple it economically.
The West has not only tried to embargo all commerce with Russia, they have also cut off access to Russian foreign currency reserves and markets.
By requiring all Russian oil and gas sales to be transacted in Rubles, Russia is now forcing those Western countries to fork over tons of cash into Russian markets, thus driving a stake through the heart of Western efforts to halt commerce and currency exchanges.
A brilliant tactical move by the Russians. Looks like the self-anointed Masters of the Universe in the West, aren't so bright after all.
CAG wa Nato unaupiga mwingi, ufisadi tena??Usirudie upuuzi. Jeshi la Urusi haliishiwa chakula. Ila mfumo wao wa kusafirisha si mzuri, hivyo kuna vikosi vinavyokosa chakula, mafuta na mengine. Pia hawana mfumo mzuri wa kutenegeneza mitambo yao. Pia imeonekana kwamba ufisadi ndani ya Urusi umesababisha matatizo ya mitambo yao kwa sababu pesa iliibiwa njiani hakufikia kwenye vikosi. (taarifa za matairi mabaya, kukosa vipuli ; roketi ambazo mara kwa mara havifikii shabaha)