Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,402
Ramani ya leo kutoka Aljazeera
Ha ha haa,Vyombo vya magharibi viliripoti taarifa ya majeshi ya russia kuishiwa chakula ndani ya siku 3, cha ajabu ilipofika hiyo ya 3 kiongozi wa russia alitangaza kukamilika kwa phase 1. Huenda majasusi wa kimagharibi walipewa taarifa potofu au wao ndio wameamua kutupa taarifa potofu huku wakifahamu fika kinachofuata. Hii operation inanifunza mambo mengi sana, kubwa zaidi usichukulie serious movies na series za hollywood mpaka ukafikia hatua ya kuzirelate na uhalisia.
yeah ingawa kuna zaidi ya hapo, vitu km uhuru, lifstyles pia zinachangia mtu kupenda kuishi nchi flan badala ya nyingine,ujue ht zle nchi za central asia wengi wanazamia urusi coz eneo lile ndo nchi ina uchumi mzuri lkn pia wana connection flan kihistoriapamoja na porojo zote ulizoziandika ila cha ajabu ikitokea mchongo wa kwenda New York, Moscow au Hong Kong. Cha ajabu utachagua
1. New York
wanapita huko Moscow lakin lengo lao ni kuingia US.yeah ingawa kuna zaidi ya hapo, vitu km uhuru, lifstyles pia zinachangia mtu kupenda kuishi nchi flan badala ya nyingine,ujue ht zle nchi za central asia wengi wanazamia urusi coz eneo lile ndo nchi ina uchumi mzuri lkn pia wana connection flan kihistoria
Kisha unakutana na Vijana wa "Chips zege nijazie jazie" wanakwambia Mzee VP ni Super Power w mchongo [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]Ikulu ya Marekani yajitenga na kauli ya Rais wao Biden, kuhusu kutaka uongozi wa Russia ubadilishwe...
Sijui kwa nini hawa watu wanamuogopa Putin (Russia) hivi!
Ingekuwa ni kiongozi wa nchi dhaifu dhaifu ndio katangaziwa kubadilishwa wangepiga kimyaaa...ila eti leo wanadai Marekani haina sera ya kutaka watawala wa nchi nyinginezo wabadilishwe!
View attachment 2166100
View attachment 2166123
Yani kauli ya Biden kila mtu anaipinga ndio ajitafakariSenata wa Marekani Ric Scott amwambia Biden aache kuropoka, ni kuhusu kuongelea kuwa Uongozi wa Russia ubadilishwe. Amwambia aache kuongea ongea sana, badala yake aanze kutenda
View attachment 2166057
Vijana hao hawajielewi...Kisha unakutana na Vijana wa "Chips zege nijazie jazie" wanakwambia Mzee VP ni Super Power w mchongo [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
ukisoma heading tu kwe hizi media hutoelewa chochote utaona kila kitu ni ukweli au uongo, uhaba wa chakula unaweza tokea hata km daraja limebomolewa somewhere, hii issue ya chakula iliandikwa kutokana na analysis ya mvurugiko wa logistics na si km hivyo ww unavyoiwasilishaHa ha haa,
Movie zimewavuruga sana vijana humu.
First blood,missing in action,Rambo II and II.
yeah but si wote wengine ndo dream zao kuishi hapo na si kwenda kwngine mkuu,wanapita huko Moscow lakin lengo lao ni kuingia US.
Warussia wa magomeni ni wanafiki sana wengi akiri zao ni kama za Dr Shika .
"900 itapendeza "
Na siraha na yanachapika ila sisi ukraine ndo tunalia kama mademuMajeshi ya urusi yameishiwa chakula, [emoji3][emoji3][emoji3]
ilikuwa bad kisiasa, huwez kuhamasisha kitu ambacho ninyi km nchi mmekuwa mkijidai kukipinga kwe foreign policies zenu, afu against nchi kubwa tena kpnd km hikiKisha unakutana na Vijana wa "Chips zege nijazie jazie" wanakwambia Mzee VP ni Super Power w mchongo [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Hakuna mtu mwenye akiri timam anaenda kutafuta maisha Russia .yeah but si wote wengine ndo dream zao kuishi hapo na si kwenda kwngine mkuu,
Nyongeza nakazia wasichokijua USA anadaiwa kuliko mataifa yote duniani. Hakuna nchi isiyokopa. Ila mkopo wa USA umezidi GDP Nominal yake...
Huyo anaemsifia anagawa ela kila mwaka ana deficit ya budget yake kila mwaka. USA ana deni la Dollar Trillion 26 ambayo kwa sasa ni takriban 137% ratio to GDP.
Kwasabab Pro NATO, Pro USA hum sio wafatiliaji na uwezo wa kufikiri ni mduchu hawajiulizi kwanini Raia wake wanalalama kodi zao zinatumika hovyo ilhal wao mambo hayako sawa.
Wanalalama kodi zao kutumika nje badala ya kujenga America yao. Wanalalama wanataka majeshi yao yarudi kwenye ardhi yao. Hao ni Raia wa America sio hawa mbukuzikizi wanaoshinda NetFlix kutizama Hollywood wakijua hayo ndio maisha ya Wamarekani. Sawa na Mkenya kutizama bongo movies aseme TZ maisha mazuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Kuna jinga moja uko juu likaanza kupayuka kua etiiii uchumi wa Mmarekani ni Mara 20 zaidi kuliko Russia... Akatia na neno la ziada kua Ukiongeza China na wengineo combined bado hawajamfikia USA.
Nikajisemea kimoyo moyo kwa hiyo hii zumbukiki inajua GDP ndio kiwango cha uchumi. GDP ndio number ya kipimo cha uchumi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hayajui ata yanalinganisha GDP vp. Hayajui yanalinganisha GDP kwa term zipi nominal au Purchasing power parity au ilimradi kaona tu neno GDP.
Ukweli ambao wengi haswa hawa wamarekani wa tandale wasio ujua na ambao unasemwa sana na wamarekani halisi... Ni kua US iko under control of psychopath, group of elite ambao dhumuni lao kubwa ni kutawala dunia. They don't care kuhus Raia wao. What matters alot kwao ni Pesa and ultimate control ya kila kiumbe chini ya jua.
Na hilo kundi ndilo linalopigana na Putin na wengine uko nyuma waliojitokeza kua n interest tofauti na wao sio [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]. Mfano Hii tweet chini ya Mgombea wa Uraisi 2020. Hawa ndo wanaijua nchi yao vizuri. Wanakwambia hivi.
View attachment 2165948
Ni kweli tofauti sa kisiasa hua zipo kama hapa kwetu, lakini kuujua uhalisia wa Raia wa Tanzania ukifika Airport muulize mpinzani atakweleza kila kitu thou kisiasa anaeza kuongezea na mengine. But atakweleza kwa uwazi kuliko mtawala ambaye kwake ni kusifia tu.
USA is the wold largest economy kwa GDP nominal [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] China is the world largest economy kwa GDP Purchasing Power Parity [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tukitaka kusifu basi walau tukijue tunachokisifu kikoje zaidi ni kujichoresha tu [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Tanzania huwa tunatoa msaada nchi za jiran pia ila tunadaiwa madeni makubwa tu.
USA nae atoa msaada nchi jiran ila anadaiwa sana tu na bado budget yake ni kubwa kuliko pato lake [emoji119][emoji119][emoji119]... Na still bado wananchi wake wanalia njaa..
Hii ni post yake ya juzi...
View attachment 2165979
Then soma hizo comment chini
View attachment 2165978
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ngoj niishie hapa comment isije kua ka Gazeti la Mwananchi [emoji1739][emoji1739][emoji1739][emoji1732]
si kweli mkuu, km nlivyokwambia raia wengi wa central asia wako urusi wanpga kazi wanatuma pesa home, yeah matajiri wa kirusi wengi wanaishi ulaya marekan na kwngneko ila kuna sababu nyingi sio kwmb urusi si kuzuri no, ila kuna vitu vingi ht pesa zao pia wanahifadhi benk za nje kuna factors nyingi tu ht hivi wanapotk kupin mauzo ya gas na rubles kuna tuvitu flan kwe mfumo wa kisiasa wa moscow unacomplicate baadhi ya mambo hvyo kusabisha baadhi ya warusi kuwa na maeneo mengine ya kuishi au kutotrust mifumo ya kibenki ya kwao sema bahati mbaya hamna anayediscuss vitu hivi may be one day tutakuwa tunadiscuss matokeo au other developmentsHakuna mtu mwenye akiri timam anaenda kutafuta maisha Russia .
Wengi wanaishia kuwa vichaa kama Dr Shika.
Hata matajiri wengi wa kirusi ukifuatilia hawaishi nchini mwao.
Nini kipo Ukraine?Why not Syria,Venezuela,Yemen,Iraq,Somalia,Afghanistan,the Sahel etc.Ukraine ipo siri kubwa,vyombo vyao vyote vya habari vime-elekezwa huko,tena kuipaka matope Urusi,why.Labda mjinga,lakini mwenye akili anaona kwamba lipo jambo nyuma ya pazia.