Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The next live round of talks between Russia and Ukraine will be held in Turkey on March 28-30 - member of the Ukrainian delegation David Arakhamia.

Vladimir Medinsky confirms the face-to-face meeting of the delegations. According to him, it will take place on March 29-30.
Galip SV Liwagu
20220326_103402.png
 
Haya warusi weusi, hiyo hapa RT inashangilia bomba la mafuta lisijengwe UG-TZ, sababu anajua Mrusi atakosa deal la kuuza mafuta Africa baada ya vikwazo....
Mna akili za ki[emoji90]...

View attachment 2166037
Sasa hapo RT inafurahiaaa au imeripoti habari ilivo ...bila kutia mafigisu figisu .kama cnn na bbc waavofanya ...
 
The head of the Investigative Committee, Bastrykin, instructed to investigate all cases of ill-treatment of Russian servicemen by nationalists. It's about today's torture and murder video

“There are footage showing Ukrainian nationalists treating prisoners extremely cruelly. A video circulating online shows captured soldiers being shot in the legs without medical assistance. According to some reports, illegal actions took place at one of the bases of Ukrainian nationalists in the Kharkiv region, ”the Investigative Committee said.

In addition, an order was given to find out all the circumstances of the execution of civilians at a checkpoint in Zaporozhye.
Galip SV Liwagu
 
Wanazingua kinoma [emoji3][emoji3][emoji3]....wanapenda kuji mwambafai kwenye media[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]..blaaah .....blaaah....blaaa .....blaaha[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19] ...wakati PUT IN ...anawagonga kimya kimya .....yaani ni kupiga panapouma ....shenzi kabisa....afu na hivo vikwazo wanaviweka ..kumbe vinawafinya wao wenyewe........VIIIVA PUT 'IN'....VIIVA RUSSIAN.............afu mimi najiweka wazi urusi ikianguka bado mimi naiunga mkono ...sababu mwamba PUT IN ...anapigana na nchi karibu 30 ..na marekani wanafadhil hii vta upande wa ukrain.......[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji123][emoji123][emoji123]..VIIVA RUSSIAN ....AN 'PUTIN[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Story za konyagi
 
A
20220326_103402.png
fter negotiations, the Azerbaijani side carried out the withdrawal of its units from the area of the settlement of Furukh in Karabakh, the Russian Defense Ministry said.

At the same time, earlier the Azerbaijani Defense Ministry stated that Baku fully complies with the provisions of the tripartite agreements on Nagorno-Karabakh.
Galip SV Liwagu
 
Lines at supermarkets in Athens

Greece introduced restrictions on the sale of a number of goods this week. In particular, in one hand you can now buy no more than three bags of flour and three bottles of oil.

The country's authorities are concerned that against the background of anti-Russian sanctions, an increased demand for goods is beginning. The situation is exacerbated by rising fuel prices, which complicates logistics.

Countries across Europe face similar challenges. In Spain, drivers took to the streets, and in France, farmers.
Galip SV Liwagu
 
Ujue ukweli wa vita hausemwi, Ukraine haina ubavu wa kushindana na Russia, Russia wamepiga zaidi ya vifaru 1500 ya Ukraine, drone 230, air defense system zaidi ya 180.

Hii vita haisemwi upande wa pili, ukiwa unampiga mtu anajifanya ye ni mgumu hasikii lazima uongeze ujazo wa kipigo na hiko ndicho kinachomkuta Ukraine, wanajikakamua lakini ngumi ni nzito mno kana kwamba wapo kati kati ya ku surrender, hata Russia yenyewe walijua wata surrender lakini Ukraine wanajikaza lakini wanaugulia maumivu, wana bleed ndani kwa ndani ila wanajikaza tu.
Ukraine yaanza kutumia nguvu za giza zidi ya Urussi:
 
Ulishajiuliza why US anatumia nguvu sana kupambana na Russia na sio China?? Ulishawai jiuliza why Russia?? Russia ina nini kinachomkosesha usingizi US?
Kuna ule msemo wanasema fahari wawili hawakai zizi moja... Ndio hicho kinachoendelea hapo. Ukifanikiwa kuiweka Russia kiganjani umeiweka dunia kiganjani. Inakupa access ya kucontrol nchi nyingi zaidi kiuchumi na kitamaduni.

Ile power ya kivita aliyonayo Mrusi, Zile Rasilimali alizonazo Mrusi, ingekuwa ni silaha moja kubwa ya kuziadabisha nchi yoyote ambayo ingejaribu kwenda kinyume na matakwa yao.

Rejea tena kwenye ile Post ya Director wa CIA alioiweka mda tu toka 2020... Inakupa picha ya agenda iliyokuwa inapikwa kitaambo tu...
-5620876893901400008_121.jpg

Na kile nachowaza nahisi walikuwa nalengo la kumuingiza Ukraine Mzee Putin kisha wauyumbishe uchumi wa Russia kwa kuushambulia kadri wawezavyo. Then Warusi waone maisha yanazidi kwenda mrama waamue kumpindua Raisi wao.

Ila ajab zaidi tangu operation ianze approval rate y Putin imekua zaidi toka 69% up to 72% ilihali ile ya kiranja mkuu wa magharibi inazidi kuropoka n sasa iko below 40% mwezi March huu...

Wakati operation inaanza ilikuwa na mapokezi ya 64% kutoka kwa raia wa kirusi, ila walivoona na kushuhudia kilichokuwa kinaendelea Ukraine sasa wameongezeka mpaka 79% kwa mujibu wa hizo data zilizotolewa.

Wameshajua rafiki yao nani na adui yao nani so wameungana na kui'support nchi yao na Raisi wao.

Nakuongeza na hii Clip ya ziada uwsikie ndugu wa kimagharibi walivokua wamejipanga.

Mwisho nikwambie kua Russia ni Mpinzani wake in term of "Power" hapa basically ni kivita na China ni Mpinzani wake kiuchumi. So ni kama kurasa mbili hivi zenye sura tofauti.
 
The head of the Investigative Committee, Bastrykin, instructed to investigate all cases of ill-treatment of Russian servicemen by nationalists. It's about today's torture and murder video
View attachment 2166219
“There are footage showing Ukrainian nationalists treating prisoners extremely cruelly. A video circulating online shows captured soldiers being shot in the legs without medical assistance. According to some reports, illegal actions took place at one of the bases of Ukrainian nationalists in the Kharkiv region, ”the Investigative Committee said.

In addition, an order was given to find out all the circumstances of the execution of civilians at a checkpoint in Zaporozhye.
Galip SV Liwagu
Safi sana Ukraine, uvamie nchi ya watu alafu wakuchekee.
 
Soma nilichokisema tangu mwanzo, hakuna aliyebisha Ukraine haiwezi kushinda vita dhidi ya Urusi, wengi tulitegemea huu mchezo kuisha kwa siku tatu kama walivyojisifia, siku zote tulijua Urusi ni mbabe wa wababe, ila mpaka sasa tumeshuhudia ni bonge la useless, hana lolote, yaani sijaamini macho yangu Urusi yuko dhaifu kiasi hiki, mpaka akaanza kuomba msaada wa kijeshi Syria, pumbavu sana.
Vita ni vita huwezi kutabiri utashinda lini. Maarekani ilikwenda Vietnam ikapigana na kanchi kadogo zaidi ya miaka kumi, mwishowe ikanyoosha mikono. Ilienda Iraq ikapigana zaidi ya miaka kumi, haikuambulia lolote zaidi ya kumua Saadam Hussein, baadaye ilikimbia kwa aibu. Ilikwenda Afghanistan na kukpigana huko zaidi miaka 20, nako ilikimbia. Kwa hiyo kutegemea Urussi kushinda vita kwa siku tatu kwa nchi yenye uwezo wa kijeshi kama Ukraine ndoto. Urussi inataka iigane ipate mkataba utakaoikataza Ukraine kuingia NATO, basi.
 
Story za konyagi
Sawa wewe endekea kukaza hilo ZINJAN THROPA.....FUVU...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]..kutoka huko kibera njaa ....njaaa...... .wenzako ukrain inachapika huko ...[emoji2][emoji2][emoji2].na kuungua moto na bado hamtafanya kitu kwa urusi ....mtakua mnaitana kwa vikao vyenu uchwara vile .....ila sisi huku ....tunatembeza mkong'oto kimya kimyaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]......mpaka turidhike ... Shwaini kabisa...nyie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mafumbo andika kwa dera, vilkhivka kharviv liberated by UA
IMG_20220327_193408.jpg
IMG_20220327_193050.jpg
 
Ukraine yaanza kutumia nguvu za giza zidi ya Urussi:
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]wao wanatumia nguvu za giza.......sisi tutatumia nguvu za nuru kutoka mbinguni kwa baba ....afu tuone nani ataangukia pua ..

....[emoji2][emoji2][emoji2]....afu wao mpaka wawashe moto sisi tunatamka jina la YEHOVA ...kwisha habari yao...
 
Back
Top Bottom