Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Ukiona mtu anaandika na emoji nyingi jua amepanic.
Huna jipya wewe mturkana njaa kenya imeisha ??.......zelensky anaugulia huko anakuomba msaada kama vipi vaa mabom ukajilipue kama wenzio wanavo fanya ....[emoji856][emoji856][emoji856]...Tulia sindano iingie
Jamaa wanapigika aise na wanakufa haswaMedia za magharibi zinapotosha watu, Ukraine imefikia breaking point narudia tena.
Putin amesema operation hii ina kwenda kufanya mambo mawili tu.
1-Kuhakikisha wanaimaliza Ukraine kijeshi.
2-Kuondoa unazi hii ikiwa ina maana kuondoa serikali ya Zelensky.
Sasa watu Pro Nato na Us acheni kudanganywa, Russia imesema mission ya kwanza tayari imefanikiwa sasa wanaanza ya pili.
Russia wako sahihi 100%, Zelensky amesikika akiomba msaada wa vifaru na ndege kutoka Nato, kitu ambacho ni wazi kwamba Ukraine imemalizwa kijeshi tayari, kinachosubiriwa hapa ni kumkimbiza Zelensky.
Putin amesema nia si kuitawala Ukraine.
Media zinaongopea sana, lakini ni kweli kabisa kwamba Ukraine is no more!
Mpaka kusikia raisi akipiga kelele eti anataka 1% tu ya silaha it means kuna upungufu mkubwa wa silaha, na unajua nini kinakwenda kutokea silaha zikiisha.
HahahaInawezekana ni kweli, ofisini kwangu kwenye kompyuta yangu kuna app zinakua online kila wakati JF ikiwemo. Naweza kua busy na ishu nyingine lakini sipo active JF.
Sasa kuna vidampa hapa, kila ukichungulia wapo wanajibishana, tena wanajibishana pumba tupu. Wana wasi wasi US ikija kuanguka ushoga hautapata utetezi. Hawa ndio nawasema na kuwanyoosha.
Kuna nyumbu moja wa kijani ...anajiita.... COCO REBON ...anakwqmbia RUSSIA NI SUPA PAWA WA MCHONGON.....dahh ...aisee[emoji20][emoji20][emoji20][emoji45][emoji45]Kisha unakutana na Vijana wa "Chips zege nijazie jazie" wanakwambia Mzee VP ni Super Power w mchongo [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Ndio mkuu, unaambiwa kwenye ground vitu ni differentNilichojifunza kwenye hii vita. Rusha rusha makombora yote lakini ground boots ndo vita yenyewe ambayo Russia wanachapika
[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787].. Babu mla pwizzaTaasisi yake mwenyewe ya urais pale Ikulu inamwogopa putin na kutoa maneno yanayoweza kumuuzi putin ni kama kusema blaza putin huyo mzee ndo kakutusi sisi tunakuheshimu Sana hatuwezi fanya hvyo lakin babu hasikii alienda kula pizza poland pia labda alienda kuwatoa waswas Poland akajua field Marshall putin ataogopa matokeo yake akabomb Lviv about 100 km from babu mla pwizza
Wanasema kipigo kinachotembea huko hakijawahi kuonekana Russia anatoa toka WWII.Jamaa wanapigika aise na wanakufa haswa
Kaka sijui kama unaweza kujibu bila kujisikia unahitaji kutetea sijui nini.Media za magharibi zinapotosha watu, Ukraine imefikia breaking point narudia tena.
Putin amesema operation hii ina kwenda kufanya mambo mawili tu.
1-Kuhakikisha wanaimaliza Ukraine kijeshi.
2-Kuondoa unazi hii ikiwa ina maana kuondoa serikali ya Zelensky.
Sasa watu Pro Nato na Us acheni kudanganywa, Russia imesema mission ya kwanza tayari imefanikiwa sasa wanaanza ya pili.
Russia wako sahihi 100%, Zelensky amesikika akiomba msaada wa vifaru na ndege kutoka Nato, kitu ambacho ni wazi kwamba Ukraine imemalizwa kijeshi tayari, kinachosubiriwa hapa ni kumkimbiza Zelensky.
Putin amesema nia si kuitawala Ukraine.
Media zinaongopea sana, lakini ni kweli kabisa kwamba Ukraine is no more!
Mpaka kusikia raisi akipiga kelele eti anataka 1% tu ya silaha it means kuna upungufu mkubwa wa silaha, na unajua nini kinakwenda kutokea silaha zikiisha.
Mimi siyo shabiki wala adui wa Urussi, ila ninachojuwa ni kuwa Urussi ikipoteza nguvu za kijeshi ni lazima magharibi ianzishe ukoloni na utumwa upya. Kuwepo kwa Urussi na China ndiyo ahueni yetu sisi wanyonge. Gorbachov alifanya makosa saana kudanganywa na USA. Baada ya makubaliano kuwa nchi za Ulaya Mashariki hazitaingia NATO, sasa hivi hata zile nchi zilizoizunguka Russia ambazo zamani zilikuwa USSR zinakaribishwa. Zile za Ulaya Mashariki ziliishaingia zote.Wanazingua kinoma [emoji3][emoji3][emoji3]....wanapenda kuji mwambafai kwenye media[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]..blaaah .....blaaah....blaaa .....blaaha[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19] ...wakati PUT IN ...anawagonga kimya kimya .....yaani ni kupiga panapouma ....shenzi kabisa....afu na hivo vikwazo wanaviweka ..kumbe vinawafinya wao wenyewe........VIIIVA PUT 'IN'....VIIVA RUSSIAN.............afu mimi najiweka wazi urusi ikianguka bado mimi naiunga mkono ...sababu mwamba PUT IN ...anapigana na nchi karibu 30 ..na marekani wanafadhil hii vta upande wa ukrain.......[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji123][emoji123][emoji123]..VIIVA RUSSIAN ....AN 'PUTIN[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Somalia inawashinda hapo mnakuja kurukia ya mwamba [emoji635][emoji635]...russian ...kiazi wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukiona mtu anaandika na emoji nyingi jua amepanic.
Dah [emoji16]! Akili nyingine bana...Nilichojifunza kwenye hii vita. Rusha rusha makombora yote lakini ground boots ndo vita yenyewe ambayo Russia wanachapika
We nawe em kaa kwa kutulia.... asa unawezaje kuteka maeneo bila msaada kamandi ya ardhinin....russia kutumia makombora hayo ni maamuz yao ....wacha kuwapangia watu namna kutumia kile wanachoona ni sahihi kwao....kufanyaNilichojifunza kwenye hii vita. Rusha rusha makombora yote lakini ground boots ndo vita yenyewe ambayo Russia wanachapika
Ukraine ina karibia kuipoteza Dombas kabisa.Ramani ya leo kutoka Aljazeera
View attachment 2166122