Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
👉 Ukraine haijamalizika kijeshi kwanza ndo limepanuka zaidi kutokana na silaha na wapiganaji wapya.Media za magharibi zinapotosha watu, Ukraine imefikia breaking point narudia tena.
Putin amesema operation hii ina kwenda kufanya mambo mawili tu.
1-Kuhakikisha wanaimaliza Ukraine kijeshi.
2-Kuondoa unazi hii ikiwa ina maana kuondoa serikali ya Zelensky.
Sasa watu Pro Nato na Us acheni kudanganywa, Russia imesema mission ya kwanza tayari imefanikiwa sasa wanaanza ya pili.
Russia wako sahihi 100%, Zelensky amesikika akiomba msaada wa vifaru na ndege kutoka Nato, kitu ambacho ni wazi kwamba Ukraine imemalizwa kijeshi tayari, kinachosubiriwa hapa ni kumkimbiza Zelensky.
Putin amesema nia si kuitawala Ukraine.
Media zinaongopea sana, lakini ni kweli kabisa kwamba Ukraine is no more!
Mpaka kusikia raisi akipiga kelele eti anataka 1% tu ya silaha it means kuna upungufu mkubwa wa silaha, na unajua nini kinakwenda kutokea silaha zikiisha.
👉Ukraine inaongozwa na wayahudi sasa ukisema imekaliwa na wanazi inaonyesha ulivyokua mjinga
👉Ukraine tangia mwanzo haijapewa ndege vita hata moja na ndio maana wanazitaka wapeleke moto Moscow.
👉Putin amebadili msimamo baada kushindwa ichukua kyiv ndo kaamua kuelekea donbass.