Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Na hapa anastahili hongera. Kila mtu anajua kuwa kijeshi Ukraine ni dhaifu kwa Urusi hayo mengine unayoandika ni propaganda sababu UNAIPENDA SANA URUSI NA UNAMPENDA PUTTIN.
Kabla hatujampa hongera tuzingatie kwanza msaada aliopewa kutoka magharibi na vikwazo alivyowekea urusi. Lakini pia tusisahau na dhamira ya urusi kuhusu raia wa kawaida (humanitarian corridors) na mazungumzo yanayoendelea pia size ya eneo la nchi ya Ukraine.

Ni 'eqn' moja yenye 'variables' nyingi. Ili tupate jibu sawiya ni lazima tuzifanyie kazi 'variables' zote.

Mimi sioni kama Putin amechelewa kumaliza 'operation' yake hapo UKR. Ila kama wewe unaona amechelewa na unafkiri ushujaa wa Zelensky na vikosi vyake ndio vimemchelewesha usisahau na hayo mambo mengine!

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nimeacha kusoma nilipoona historia ya Libya huijui

[emoji117]Arab spring ndo iliangusha nchi za kiarabu
[emoji117]Arab spring ilianza Tunisia kutokana na mfumuko wa bei
[emoji117]Gaddafi aliuwawa na raia wake ambae walichoshwa na udikteta
[emoji117]Huyo Gaddafi unaemlilia ndo alimfadhili Idi Amin kuvamia nchi yenu Tanzania
Kwahali ilivyosasa Libya ukienda pale tripoli ukasema Gaddafi alikuwa dictator wewe hurudi huku
 
wenyewe wanasema gadafi alikuwa na nia ya kuinganisha afrika pro rusia wote ni vihiyo 😂😂😂
Hakuna mtanzania anaejielewa anaweza unga mkono Libya wala Palestine

👉Foreign support of Uganda in the Uganda–Tanzania War​



Before this conflict, the Second Republic of Ugandaunder President Idi Amin had generally strained international relations. Accordingly, only a few states as well as non-state allies provided Uganda with substantial military support during the war, most importantly Libya under Muammar Gaddafi and the Palestine Liberation Organisation
 
Japan baffled by demand to pay for Russian gas in rubles

Asian importers of Russian gas expressed confusion this week regarding Moscow’s demand to pay for deliveries in rubles. The new requirement concerns countries that have imposed sanctions against Russia over its military operation in Ukraine.

On Wednesday, Russian President Vladimir Putin said “unfriendly countries” would continue to receive Russian natural gas in volumes and prices fixed in contracts, but are now to pay for the commodity in the country’s national currency. In Asia, these countries include Japan, South Korea, and Taiwan, which import liquefied natural gas (LNG) from Russia’s Sakhalin-2 and Yamal LNG projects.
Toa RUBO au Ulale njaa
VIVA PUT IN
 
Hizi zilikuwa bunduki za msaada majasusi wa urusi walifanikiwa kuzitorosha kutoka mpaka wa poland na ukraine mpaka khersan hawa majasusi walijifanya wanajeshi wa ukraini. Hii picha moja tu ila bunduki zimebebwa nyingi
img_1_1648407804619.jpg
 
Hakuna mtanzania anaejielewa anaweza unga mkono Libya wala Palestine

👉Foreign support of Uganda in the Uganda–Tanzania War​



Before this conflict, the Second Republic of Ugandaunder President Idi Amin had generally strained international relations. Accordingly, only a few states as well as non-state allies provided Uganda with substantial military support during the war, most importantly Libya under Muammar Gaddafi and the Palestine Liberation Organisation
acha wale kichapo hadi wachakae
na muisrael alivyo mshenzi yuko nyuma ya mrusi muda kikinuka pale gaza utasikia warusi wa buza pray for gaza na hashtag zao mbuzi 😂
 
Wanajiongopea sana awa.Urusi sio wa kuishiwa silaha kama wanavyongopea watu.Tukichukua tu taarifa za ukraine ambazo ni za propaganda,sinasema kuwa Wamelipua vifaru 500.wakati warusi wana vifaru zaidi ya elfu 20,yani ni mara 40 ya vilivyopotea Ukraine.sasa mpaka mje kumaliza vyote ivyo sijui na nyie mtakuwa kwenye hali gani
Nchi inayoongoza kwa viwanda vya silaha duniani kuishiwa silaha kwa operation ya siku 30!
Propaganda nyingine ni kujimaliza wenyewe.
 
Hii ina maana kwamba Europe kwenye suala la maslahi wanaweza kumgeuka Putin, sasa kama hali ndio hii, je NATO wataingia Russia?
Hakuna upande wa NATO anayetaka kuingia Urusi. NATO ni jumuiya ya utetezi, si ya mashambulio.
Biden anajulikana anateleza kirahisi akiongea (siyo tu tangu amekuwa mzee, hata zamani). Hakuna anayetaka kuzidisha ugomvi zaidi ya yale ambayo wanaona ni lazima.
 
Kila raisi wa marekani anaekaa madarakani,walau huwa anajaribu kutatua tatizo fulani kubwa lililopo,ili aache historia nzuri,Bush alimuua sadam na kuikomboa Kuwait,Obama alimuua Osama bin Laden,trump alimuu kiongozi wa ISIS na kuzungumza na kiduku WA korea,Yeye BIDEN,mwanachama muhimu mtarajiwa wa NATO,anavurugwa mbele yake,na hana la kufanya na NATO wake,Kwa mzungu mwenzao,historia itamkataa sana,baada ya vita hii,mataifa mengi ya uarabuni yataanza kununua silaha za urusi,mfano ant missile za s400,Saudia wanazitamani sana,sema ndo wamekabwa na marekani...
Mzee anaropoka kama jibwa koko , mpaka Pentagon wanakuja na tafsiri mpya
 
👉 Ukraine haijamalizika kijeshi kwanza ndo limepanuka zaidi kutokana na silaha na wapiganaji wapya.
👉Ukraine inaongozwa na wayahudi sasa ukisema imekaliwa na wanazi ulivyokua mjinga
👉Ukraine tangia mwanzo haijapewa ndege vita hata moja na ndio maana wanazitaka wapeleke moto Moscow.
👉Putin amebadili msimamo baada kushindwa ichukua kyiv ndo kaamua kuelekea donbass.
Huna facts ....
 
Back
Top Bottom