Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Supa pawa wa mchongo aendelea kudhalilishwa. yani mpaka chupi wanavuliwa 👇👇

Wamarekani HALISI.
1. 71% Wanasema taifa linaelekea kusiko
2. 62% Wanasema vipato vya familia zao vimeshuka chini ya gharama za maisha.
3. 63% Wanasema hawakubaliani na sera za nje za utawala wa Biden

Wamarekani wa BUZA.
1. 101% Taifa la marekan kubwa na lipo kwenye right track.
2. 101% Akifanyacho Biden katika sera za nje yuko sahihi kwa ustawi wa taifa lake.
3. 101% Wanasema Marekani kama peponi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ukipewa machaguzi ya wapi uende utakimbilia huko.

Kwa mujibu wa Wamarekani wa BUZA hizo data za Wamarekani HALISI ni POROJO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Naomba kuwakilisha
Cc Tsh Mwanamkiwi Coco reborn T14 Armata Joannah Omary - Msamalia Nyamizi Imeloa na wengineo uko

Nimenunua ugonvi [emoji1739][emoji1732][emoji849][emoji847][emoji23]
Una kichwa kigumu Sana wewe kijana... naona tuutie grease ubongo wako ndio utaelewa!Sijui nikueleze Mara ngapi Mimi sio mshabiki USA?Putin na Biden to me wote wapo kwenye kapu moja.Siwaelewi na siwapendi,waache viherehere Basi watulie kwenye nchi zao Itapendeza.
 
Sasa hapo RT inafurahiaaa au imeripoti habari ilivo ...bila kutia mafigisu figisu .kama cnn na bbc waavofanya ...

Imeshangilia wapi wakati kiongozi wa hayo maandamano ni mkenya
Hata TBC na magazeti ya uhuru na mzalendo kazi yao ni kutangaza na kuandika tu au vipi.....
Waafrika ndio maana mlitawaliwa mkidhani wazungu walikuja kutalii tuu....
 
Niwe tu muwazi sijalizishwa kabisa na performance ya jeshi la Urusi kule Ukraine

wakati vita imeanza nilitegemea ndani ya siku 7 watakuwa washaikomboa kyiv na kumkamata mateka rais mchekeshaji Zelensky lakini cha ajabu mpaka leo zaidi ya siku 30 bado wanarandaranda hovyo tu wameshindwa hata kuidhibiti Odesa

niwe muwazi wamenivunja moyo sana hawa wajuba waliofanikiwa kuulinda utawala wa Asadi kule Syria

Putin kokote uliko jua umetuabisha sana sisi tulio against double standard za US na mashoga zake EU + UK

kama vipi mzee mwenzetu Putin tumia Nyuklia kulazimisha hao madogo wa Ukraine kunyosha mikono juu
Kaka hio vita ingekuwa ukraine kasimama peke ake nakupa wiki tuu ingeshabondwa sana ........we huoni mataifa 30 ya ulaya yanaipa silaha ukraine kupitia poland ...na marekani nao wanapeleka silaha na fedha za kutosha huko na mamluki .....sasa hapo huoni kama russia hawapigani na yukrain balai anapigana na marekani na ulaya .......ivi we kwa akili za kawaida tu ukiangalia ukraine anaweza kusimama peke ake mbele za putin .....bila back up yoyote......hapa alipo tu nchi ishakuwa majivu pamoja na msaada anaopata .....
 
kweli mkuu, [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2166369
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....acheni utoto basi .......pro nato bhana yaani mmemuokota pimbi moja huko mtaani mkamvisha gwanda mnasema ni kamanda kutoka russia katekwa ...hata kama mna propagandanism sio hivi asee... Jaman ....dahh
 
Kaka hio vita ingekuwa ukraine kasimama peke ake nakupa wiki tuu ingeshabondwa sana ........we huoni mataifa 30 ya ulaya yanaipa silaha ukraine kupitia poland ...na marekani nao wanapeleka silaha na fedha za kutosha huko na mamluki .....sasa hapo huoni kama russia hawapigani na yukrain balai anapigana na marekani na ulaya .......ivi we kwa akili za kawaida tu ukiangalia ukraine anaweza kusimama peke ake mbele za putin .....bila back up yoyote......hapa alipo tu nchi ishakuwa majivu pamoja na msaada anaopata .....
Pale wako wamarekani, wajeruman, waingereza na wanajeshi wengine wakukodi kibao! Hakuna anaejitolea pale ila walitumia mwanya uo kama njia tu yakuingiza wanajeshi wa mataifa mengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiangalia vizuri most of western supportes kwenye huu uzi hawana data za kutosha. Uwezo wa kupambanua mambo ni finyu mno zaidi wala hoja hawawezi jenga na ukihoji maswali zaidi watakuepuka.

Asilimia kubwa katika wao wanashindwa kutofautisha kati ya term hizi chini.
1. World Largest Producer
2. World Largest Exporter
3. World Largest Consumer
4. World Largest Importer
5. World Largest Reserves...

Hizo ni term 5 tofauti kabisa na kila term ikiwa na implication yake tofauti.

Kingine pia wakiwa wanazitizama data wanashindwa kutofautisha ni kitu kipi wanacholinganisha.
1. Oil
2. Natural Gas

Mfano [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] the country with most Largest Oil reserves nitataja 5.
Moja Venezuela
Pili Saudi Arabia
Tatu Canada
Nne Irani
Tano Iraqi
Nyongeza ni Russia wa Nane na USA wa 11. Apa tuelewane vizuri hii ni "Reserves" sio "Productions"

Na country with the largest Natural Gas reserves
Moja Russia
Mbili Iran
Tatu Qatar
Nne Turkmenistan
Tano US of America
Point ya nyongeza ni kuwa hizo nchi tatu za awali Russia Iran na Qatar zimeshikilia zaidi ya nusu ya Natural Gas zilizopo dunian.

Sasa hio list juu inapishana na list zingine katika yale makundi matano kule juu. Uchanganuzi na upambanuzi mzuri ni pale mtu anapoweza kutofautisha nchi katika matabaka hayo matano...

Hii ni kwenye Reserves yake, uzalishaji wake, utumiaji wake. Katika utumiaji wake ndipo utapata kujua ana imports kiasi gani na ana exports kiasi gani.

Nchi za kiarab kama Qatar, UAE na Saudi Arabia zinaeza zisishike number moja katia uzalishaji lakini zinashika nafasi za juu kwenye exports kubwa sana ya Crude Oil duniani.

Nchi kama USA anazalisha kwa wingi ila anafanya imports kubwa ya Gas ama Oil kutoka nchi zingine kwasabab ana consuming more zaidi ya anavyozalisha.

Nchi kama Venezuela ina high reserve by far ya Oil ila haizalishi kwa wingi ukilinganisha na wengine [emoji23][emoji23][emoji23] (hapa napo ndipo mtakapoona unafiki wa mmarekani) nchi zenye Largest reserve zipo kwenye list ya nchi alizozipiga sanctions za kutosha.

Nchi kama China, hazalishi kwa wingi ila ni mtumiaji mkubwa wa Oil and Gas kwa hesab rahisi kuliko Ulaya yote combined.

Na kwanini tunasema Russia, kwa mfano mwepesi ni sawa na mkulima mwenye familia ya watoto wawili kisha analima Ekari laki 1. Huyu hawezi lala njaa wala hawezi kuishiwa chakula. Tofauti na wenzie.

Katika makundi yote pale juu Exporters, Productions, Reserves humkosi kwenye top ten lakin linapokuja swala la Importers hata kwenye top 100 hayumo. Na kwenye list ya Consumers bado kiasi anachokitumia na kile anachozalisha kina surplus kwa ratio kubwa mno...

So nahisi na nafikiri ni vyema tunapozungumza flan anazalisha kwa wingi tuzame deep kwa ufafanuzi zaidi.
Jomba ...tafuta hela wewe
tunaoshabikia west hatuna huo muda wa kupoteza na kutafuta info ya kukupinga sababu time is money.....especially hii vita......... WTF....
hapa ni social interaction....and fun.... hatuna huo muda wa kupoteza
na pia tumewezeshwa na mfumo wenye akili wa kiwest wa kutafuta hela au tunaishi hukohuko west.....
tulikuwa na muda wa kutafuta info wakati wa kuyapanga maisha tukiwa chuo kikuu kwenye research assignments lakini sio JF ili nionekane najua sana ......

Mfumo wa Russia ni takataka ya dunia, kama Third world na unaedeshwa na ma oligarch including putin(baba wa ma oligarch)
jiulize kwa nini wananchi wa russia wenyewe kila kukicha wanatafuta njia za kuja kuishi west...
Hebu kunywa kahawa vikombe kadhaa nitalipa.....
Halafu tafuta hela Jomba.......
 
Wacha kujitapa tapa hapa ........[emoji3][emoji3][emoji3]...Two 2 wew labda upo west ya huku mbagala ....em kakojoe ulale kwanza.....
 
Hata TBC na magazeti ya uhuru na mzalendo kazi yao ni kutangaza na kuandika tu au vipi.....
Waafrika ndio maana mlitawaliwa mkidhani wazungu walikuja kutalii tuu....
Ila ingekuwa ni cnn au bbc au dw ....ungekenua meno yote 32 ....etii
 
Vita ni vita huwezi kutabiri utashinda lini. Maarekani ilikwenda Vietnam ikapigana na kanchi kadogo zaidi ya miaka kumi, mwishowe ikanyoosha mikono. Ilienda Iraq ikapigana zaidi ya miaka kumi, haikuambulia lolote zaidi ya kumua Saadam Hussein, baadaye ilikimbia kwa aibu. Ilikwenda Afghanistan na kukpigana huko zaidi miaka 20, nako ilikimbia. Kwa hiyo kutegemea Urussi kushinda vita kwa siku tatu kwa nchi yenye uwezo wa kijeshi kama Ukraine ndoto. Urussi inataka iigane ipate mkataba utakaoikataza Ukraine kuingia NATO, basi.

Vietnam haikua jirani na Marekani, Urusi amedhihirisha udhaifu mkubwa sana kushndwa kuteka Kiev na tayari ameanza mikakati ya kutotoroka, useless kabisa.
 
Umesoma hiyo graph mpaka mwisho .......jamaa anasema AMENUNUA UGOMVI ..jamaa alijua atakurupuka nyumbu kama wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuja humu kichwa kichwa na kweli umejaa ndani box .....ngedere wewe ......[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ...kaa chini tulia na ujifunze article za wenzio ....two 2 wewe...[emoji38][emoji38][emoji38]

Uyo dogo anautoto sana bado anabalehe na anakaa kwa shemeji yake. Wa kumpuuza tu bado anamihemuko
 
Back
Top Bottom