Marekani anasema makombora ya Urusi yanayovurumishwa huko Ukraine yanafeli, hayalipuki[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji1]
Mwambieni Marekani, sawa...hayalipuki. Kwa hiyo, majeshi ya Urusi yalitumia Kung'-Fu na Wing Chun (martial arts) kuigeuza miji ya Ukraine kuwa vifusi na majivu?!
View attachment 2166859View attachment 2166860View attachment 2166861View attachment 2166862View attachment 2166863View attachment 2166864
Nyie kenya si muna miaka kumi kenya au alishabab hata elfu kumi hawafikiHizo taarifa zote ni ukweli japo hamtaki kuuskia Warusi wa Gongo la Mboto, operation iliyokusudiwa siku chache imebuma, Kiev imeshindikana, Urusi wameanza mkakati mpya wa kutafuta pakutokea, useless kabisa, na njaa inawauma balaa maana malori ya supplies yalipigwa mabomu yote, majenerali wameuawa, wanajeshi wengi wanaumwa Frostbites, waziri wa ulinzi hoi, Putin ana hamaki hajui ashike lipi, uchumi wa nchi unaangukia pua.
Dah umempa za usoNi bora unyamaze kama kichwa hakina ubongo
Russia is a 'military (Nuclear) Superpower'. Unamdhoofishaje kwa kuprolong vita vya ukraine!? Kinachofanya Russia ahofiwe zaidi ni 'Nuclear arsenal' Ashinde asishinde kwenye hii vita bado hofu ya nuclear deterrence kutoka kwake ipo pale pale. Lakini pia Endapo russia akiemerge mshindi (which is more likely to happen) atakuwa stronger zaidi. Naona Kama lengo ni kuidhoofisha Russia basi Nato kasukuma kete sio! Watakuwa wameipoteza UKR lakn hasimu wao atakuwa ameimarika zaidi!Maoni yangu ni kuwa Maslahi ya NATO ni kuidhoofisha Urusi. Ukraine anatumika tu na amejitahidi sana kuhold jambo ambalo NATO ni faida kwake.
Pia sikubaliani na Urusi kuivamia Ukraine kwa sababu ya NATO. Kwangu mm ilimpasa atumie diplomasia na ikishindikana atumie njia za kijasusi kubadili uongozi wa Ukraine.
Kumvamia Ukraine kunamfanya Puttin awe bully na apigane na vikwazo unnecessary. Pia ameweka Ulaya kwenye hatari ya Vita iwapo USA na NATO wataamua kuingilia anachofanya.
Mzee umechimba vizuri juu ya hizo options ulizozitaja, nimeipenda jinsi ulivyoziwasilisha maoni yako!Russia is a 'military (Nuclear) Superpower'. Unamdhoofishaje kwa kuprolong vita vya ukraine!? Kinachofanya Russia ahofiwe zaidi ni 'Nuclear arsenal' Ashinde asishinde kwenye hii vita bado hofu ya nuclear deterrence kutoka kwake ipo pale pale. Lakini pia Endapo russia akiemerge mshindi (which is more likely to happen) atakuwa stronger zaidi. Naona Kama lengo ni kuidhoofisha Russia basi Nato kasukuma kete sio! Watakuwa wameipoteza UKR lakn hasimu wao atakuwa ameimarika zaidi!
On the other hand wanasema usimlaumu mtu kwa maamuzi aliyochukua bila kuzingatia kwanza 'options' alizokuwa nazo kabla. Pengine mamuzi hayo ndio bora zaidi kwenye options zote alizokiwa nazo. Putin alikuwa na options tunaweza kusema tatu. 1. Aachane na swala la UKr (awaache waukraine wafanye watakavyo) 2. Atumie dipolomasia 3. Military intervention/operation. Pia angeweza kutumia 4. Economic sanctions dhidi ya UKr kumfosi 'accomply'.
Kila option hapo ina faida na athari zake na kila moja ina ugumu wake lakini 'in the end' lazima Putin achague ile ambayo itakuwa na matokeo chanya (efficient). Nikuulize, Ikiwa sasa hivi tu vita vinaendelea watu wanakufa inchi inaharibiwa na bado maongezi 'diplomacy' yanayoendelea hayajazaa matunda unafkiri Putin angeamua kutumia diplomacy in the first place ingekuwa 'effective'?
Unamlaumu putin kuivamia UKr kijeshi (bullying) ambapo ameua na kufanya uharibifu ili tu atimize malengo yake ya kuineutralize UKR alafu hauwalaumu west (NATO) Kwa kutaka kuprolong vita ambayo inasababisha mauaji na uharibifu ili tu watimize malengo yao ya kuidhoofisha urusi. Huoni hapo kuna technical hypocrisy kwenye hizo lawama zako (biasness)!?.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ngoja tuwaulize wakazi wa Mauripol wanaweza kuwa mashuhuda wazuri.Marekani anasema makombora ya Urusi yanayovurumishwa huko Ukraine yanafeli, hayalipuki[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji1]
Mwambieni Marekani, sawa...hayalipuki. Kwa hiyo, majeshi ya Urusi yalitumia Kung'-Fu na Wing Chun (martial arts) kuigeuza miji ya Ukraine kuwa vifusi na majivu?!
View attachment 2166859View attachment 2166860View attachment 2166861View attachment 2166862View attachment 2166863View attachment 2166864
Wazee wa kazi wapo kazini.awa ndo warusi og.wale mnaosema wamekosa chakula ni copy ya mchina
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ukitaka kujua hizo taarifa huwa ni za kubumba angalia namna watoa taarifa wanavojificha [emoji847][emoji847][emoji847][emoji23]...Marekani anasema makombora ya Urusi yanayovurumishwa huko Ukraine yanafeli, hayalipuki[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji1]
Mwambieni Marekani, sawa...hayalipuki. Kwa hiyo, majeshi ya Urusi yalitumia Kung'-Fu na Wing Chun (martial arts) kuigeuza miji ya Ukraine kuwa vifusi na majivu?!
View attachment 2166859View attachment 2166860View attachment 2166861View attachment 2166862View attachment 2166863View attachment 2166864
Pro NATO, Pro USA wa JF walipinga kwa nguvu zote tulivowaambiwa kuhusu hili kabla halijatangazwa kabisa huko nyuma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dola inaporomoka kwa kasiView attachment 2166882View attachment 2166883