chakula mujarab cha akili ......ubarikiwe sana
nje ya mada lkn vip biden atashinda uchaguzi ujao? je asiporudi madarakani tutarajie us rf kurudi kama enzi za obama trump ( walkua wanavumiliana na kuheshimiana)
au tramp alitolewa ili aingie mwenye kuliweza fupa ambae ni biden (rf)?
Wanasema yajayo yanafurahisha. Ukiangalia kwa US kuna vyama vikuu viwili, Democrats na Republican... Ajab zaidi wana Right wing na left wing. Wana uhasama wa ajab kama bongo CCM na Chadema.
Trump na Republican wenzie wanamtuhum Biden kua ni dhaifu, Democrats wanamtuhum Trump kama Rais mbovu kuwah kutokea hapo USA. Biden wanampa Big up namna vile anavotunisha misuli ake nje ya mipaka ya US... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nazan hyo ndio mentality yao ambayo washajijengea.
Ndani ya US kuna wanaotaka
"American First"... Yani wakae wajenge America yao na sio umbea kila kona ya dunia. Imagine mpk msemaji wa ikulu ampandishia sauti Raisi wa taifa lingine... Em imagine mwandishi wa habari anampiga mkwara kiongozi wa taifa lingine? [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847] Sio kwamba napiga story... Angalia hii pic chini.
Upande ule wengi katika Raia hawana shida. Ila katika uongozi kuna kikundi nyuma ya pazia ndicho chenye tatizo na ambacho kinanufaika na kila nukta ya tukio linalofanywa na US kwa mfano TZ kale ka kikundi tunakokaita "System" ndani ya CCM.
Umeniuliza maswali na mie nikuache na maswali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Media zimekuwa zikitwambia Ukraine are winning. Russia anapoteza si ndivo? Ila siku za tukaambiwa tena kua Central Bank imefilisika katika kugharamia shughuli za jeshi...
Akati huo huo tunaambiwa US pekee imetuma msaada wa kijeshi na fedha zaidi ya USD Billion 13. Nchi zingine vile vile kwa idadi yao... Yet tukaambiwa Ukraine are running out of ammunition.
Ukigeuka nyuma ukiangalia Data zinazotolewa na MoD of Russia ziko based na kile kilichokuepo Ukraine kabla ya uvamizi. Je ushawah jiuliza hizo fedha zilikuwa zinaenda wapi?
Gharama zilizotumika kwenye makaratas za kutoka nje achilia mbali za ndani kwa ulinganifu ni sawa na budget ya Millitary kwa mwaka mzima ya Turkey ama Poland ama Spain au ni sawa na Budget ya nchi takriban hizi zote ambazo nitazitaja zilizopo NATO.. Portugal, Hungary, Slovakia, Croatia, Lithuania, Bulgaria, Latvia, Slovenia na Estonia zooote combined ndani ya mwaka mzima kwa mwezi mmoja Ukraine. Je hizo gharama zilizotumika na ushindi wanaotuaminisha zinafanana?
Kama wameshinda hizo gharama zilikuwa zinatumika wapi na kwa akina nani? Na kama zilitumika kweli ikawaje wakaishiwa silaha na kama ziliharibiwa je zilizoharibiwa zinafanana na hizo gharama??? Dunia ina mengi wacha tuendelee kulima mchicha tu. [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]