Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukraine sio Adui wa Urusi dada yangu,amini nakuambia,Hawa ni ndugu wa damu kabisa .
Mchawi hapa ni USA TU,ndio mchonganishi.
Anachokifanya Urusi kwa Ukraine ni kama baba au mama kumchapa mtoto wake,au kaka kumpiga mdogo wake ikiwa atakua ame misbehave.
Hii IPO hata kwenye familia.
Adui wa Urusi ni mmoja TU, USA.hata Hawa EUROPEAN wanapelekeshwa TU na USA kugombana na Urusi .
Ndio maana unaona miradi ya Gesi na mafuta wanafanya sana EU na Russia.
USA hapendi miradi hii istawibkwa sababu Urusi anafaiduka sana kiuchumi hivyo kumwezesha kutengeneza masilaha ya Hali ya juu kama hayo. Na hii ndio chuki ya USA ilipo.
Hata Tanzania Baba au mwalimu anayempiga mtoto hadi damu inakuja anakamatwa na kupelekwa mahakamani, sivyo?
 
The German Ministry of Economy commented on the formula "gas for rubles":

▫️Germany will not violate contracts and pay for gas in rubles, German firms agree with this
▫️The German authorities have launched an emergency plan in the event of a cessation of gas supplies from Russia

Meanwhile, Chairman of the State Duma of the Russian Federation Vyacheslav Volodin suggested that Western partners stop looking for excuses and think about a situation where "there is money, but no goods."
 
"Look for rubles": Chairman of the State Duma of the Russian Federation Vyacheslav Volodin proposed expanding the list of goods exported for rubles

“European politicians need to end their conversations, stop looking for excuses why their countries cannot pay in rubles. Before, they had to think,” he wrote on his Telegram channel.

According to him, the situation is much worse when there is money, but there is no goods. Therefore, Volodin considers it right to issue payments in rubles for such goods as fertilizers, grain, oil, oil, coal, metals, timber, etc.
Tuone kama ni serious. Putin aliacha mlango wa nyuma kupokea Euro.
Maana makampuni yanayonunua gesi yake (si serikali) yanafanya malipo kupitia benki ndogo ambazo hazikuchapwa vikwazo bado. (EU ilisamehe benki chache ambazo zinapokea malipo ya gesi, hazikubanwa bado katika SWIFT).
Njia inayobaki: kampuni inalipa kwa Euro jinsi ilivyo katika mkataba na kulingana na masharti ya EU; benki inayopokea inalipa rubel kwa GAZPROM wanaouza gesi.
Njia hii ya panya iko, tuone kama wataitumia. Baadaye kila upande una nafasi yake ya unafiki...
 
Mwendelezo kutoka post hii LIVE - Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kama tutaangalia vizuri bila ushabiki tutaona western walijipanga sana kwenye huu mchakato. Walicho anza nacho kikubwa ni kutawala muundo wa taarifa kwa kuzifungia taasisi zote huru za habari zilizo mlengwa wa Russia.

Walijitahidi sana kutafuta sympathy kutoka kona zote za dunia wakijarib kutuaminisha kua Russia ni Adui, jambo ambalo kwa kiasi wamefail. Kukurupuka ku'attack Russia economy ambalo ndio lilikuwa lengo haswa huku wakiepuka suluhu ya diplomacy kama aliyokuwa akiitaka Uturuki na wengineo.

Utumiaji wa gharama kubwa mno tena mno kui'sponsor hii vita mfano kama Marekani mpaka sasa katumia zaidi ya USD 13Billion kuisponsor hii vita. Lakin uikijiuliza nguvu zote hizi za nini ilhali matakwa ya Mrusi yanaongeleka kauli yao inabaki kua amevamia nchi huru [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] ilhal ule uvamizi uliandaliwa na wao wenyewe toka awali.

Wakati wa ukraine wakiumia, upande wa media walikuwa wamepashikiria vilivo na kueneza taarifa za ajab haijapata tokea. Tumeshuhudia Clip za Movie, Clip za Game, Picha za Zaman uko Syria na nyinginezo zikitumika kama kuonesha matukio yaliyopo Ukraine. Swali la kujiuliza hapo nini lengo haswa la udanganyifu huo.? Hapa kila mtu ana majibu yake.

Kwa ninachokiona Russia alijipanga, 2014 kule Crimea kuliwapa somo... They knew vizuri tactics wanazotumia upande wa magharibi...

Mambo yapi ambayo binafsi naona Russia kafanikiwa kutoka kwenye ajenda ambazo nazihisi zilikuepo nyuma ya pazia.

1. Kafanikiwa kuweka imani ndogo kwa mataifa ya magharibi kwa zile nchi ambazo zimewekeza katika nchi hizo. Hii kaifanya at expense of his foreign reserve.
View attachment 2168908
Ukiitizama vizuri hiyo list kisha ukaisikiliza hii video hapa chini. Utagundia kua ni kama vile ilikuwa kwenye ajenda tusisahau kama asilimia kubwa ya nchi duniani inataka kutoka kwenye mfumo wa kitumwa wa dollar.
View attachment 2168912

2. Kafanikiwa kuwachonganisha viongozi hao na wananchi wao wenyewe kupitia mfumuko wa bei na gharama kubwa za maisha, maandamano ya apa na pale apo ulaya tumayaona. Kiasi wengine wakaanza hizi meme.
View attachment 2168917

3. Now Russian Ruble is pegged to Gold, haina maana kua itapanda sana thaman kufikia size ka Sterling, Oman Rial ama Kuwait Dinar, ila itakuwa very stable kuliko currency yoyote ever. Na due to Default iliyowekwa na USA na wengineo hii itampa chance ya yeye kuanza ku'print ela zake mwenyewe ka afanyavyo USA na dollar zake.

4. Kinyume na ilivotarajiwa, waliosuka mpango wa Russia kuingia Ukraine walitegemea ataenda lipua lipua ovyo na kuua mamilion hivo uhalifu wa kivita. Ila hali ikawa tofauti. Ushahidi wa Ukrainians army kuua raia wao uko wazi. Japo Media zao zauficha. Kinyume chake kafanikiwa kuigawa Ukraine. Apa itakuwa kama North na South Korea ama North na South Sudan.

5. Ile mihemko ya baadhi ya kampuni za kimagharibi imepenyeza mwanya wa kampuni nyingi za kichina [emoji23][emoji23][emoji23] kujipatia soko adhim bila nguvu nyingi ndani ya Russia. Hapa unakuja ule msemo wa ukisusa wenzio twala...

Mambo ni mengi mda mchache.

Mwishi niwaambie kua tunakoelekea saaasa ni kutam kuliko apa. Em vuta picha hii trailer ya Ruble kwa unfriedly countries. Kisha ziangalie vizuri hizo nchi zote kwa jicho zuri. Kisha tizama Kipengele kimoja tu cha Viwanda.

Anza kuangalia sehem muhim kuanzia Malighafi, nishati, na mengineyo. Kisha angalia sheria mpya iliyopitishwa ja Russia kwa Raia na wawekezaji kutoka hizo nchi. Kisha tuambizane nani anaenda kua mtumwa wa kiuchumi kwenye siku za usoni.

Hapo tuangalie shift ya Saudia kuhama kutoka Dollar kwenda Yuan kwa mauzo yake Gas, kisha tujiulize ikiokea Dollar ikaanza kupoteza stability maana ake itakuwa un useful sokoni. Nini kitajiri kwa nchi ambazo zimehifadhi Dollar notes kwenye reserves zao? Wataanza kuziuza kwa exchange of stable Assets kama Dhahab n.k Je nini kitatokea kwa US?
kama hautojali.... hio👆 aya ya mwisho inahitaji maelezo zaidi maana naona umeandika vitu complex sana kwa mchanganyiko nashindwa kuelewa kwa ufasaha unamaanisha nini
kama hutojali kushea maarifa
 
Back
Top Bottom