Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ni kweli ..ila tu nashangazwa na baadhi ya members humu jukwaani ni kuwa kuna wakati Israel anashambulia Palestine au Syria kusababisha mauaji watu wanalaani the same people Katika mgogoro huu wanaunga mkono Russia( kwa vigezo vilevile vya Israel na US)
*Maajabu hayaishi duniani!
Mkuu hakuna jipya katika hilo maana kila mtu hujiona yuko sawa katika kile anacho kiamini.
Wakati una washangaa hao mbona hujaishangaa Marekani anaye pinga uvamizi wa Urusi wakati yeye ndio bingwa wa kuvamia nchi nyingine?

Mbona hujaishangaa Israel inayo pinga Iran kuwa na silaha za kinyukilia mpaka anatishia kupigana vita ambavyo vitagharimu maisha ya maelfu ya watu wakati wao wamezirundika kwenye maghara yao ya silaha?
Mbona hajaishangaa CCM inayo kataza vyama vingine kufanya siasa wakati wao wao wanafanya?
Ukijiuliza hayo maswali utagundua ya kwamba hali halisi ya siasa ni tofauti na wengi wanavyo itafisiri na kuielewa.

Hata humu wale wale walio kuwa wana unga mkono na kushangilia vitendo vya uvamizi wa Marekani ndo wapo humu wanajifanya kupinga uvamizi wa Urusi akiwemo ww hapo.
Kwa hiyo hakuna cha ajabu hapo.

Mm sija mkataza huyu dada kulalamikia vitendo vya Urusi dhidi ya Ukraine ila nilikuwa namwambia hali halisi ya kitu kinacho itwa siasa maana nime mfatilia kwenye michango yake amekuwa akielezea siasa kama kitu kidogo tu cha kawaida wakati siasa ni kitu kilicho ficha mambo mengi yanayo julikana na yasio julikana, mazuri kwa maovu.
 
img_3_1648552922723.jpg
img_2_1648552915367.jpg

T 72 AG NI VIFARU VIPYA VYA UKRAINE URUSI ILIVIFUMA KWENYE WORKSHOP ZAID YA 100
img_1_1648552907048.jpg
 
The supply agreements are for a term of 20 years and first deliveries are expected to begin in 2026, the Dallas-based pipeline company added.

The companies did not disclose the purchase price, but said it is indexed to the Henry Hub benchmark plus a fixed liquefaction charge.

The number of US proposed LNG projects to reach final investment decision is expected to get a push following demand from Europe to replace Russian gas over the next few years.
Screenshot_2022-03-30-19-26-19-445_com.facebook.katana.jpg
 
The supply agreements are for a term of 20 years and first deliveries are expected to begin in 2026, the Dallas-based pipeline company added.

The companies did not disclose the purchase price, but said it is indexed to the Henry Hub benchmark plus a fixed liquefaction charge.

The number of US proposed LNG projects to reach final investment decision is expected to get a push following demand from Europe to replace Russian gas over the next few years.View attachment 2169642
Mpaka 26 hapa kati kati tutawapelekesha mpaka wajute
 
Hatimae wameanza kukiri taratibu kua Ukrainias wanaficha vifaa vya kivita kwenye makazi ya Raia kisha kusingizia Russia anaharibu makazi yao.
IMG_20220330_191128_170.jpg

Russian troops are attacking military equipment that Ukranian forces deploy in residential areas.

Even Western experts and publications have already paid attention to this.

The Washington Post released an article stating such facts. Human Rights Watch Crisis and Conflict Researcher Richard Weir commented:

"If there is military hardware out there and [the Russians] say they are shooting at that military hardware, that disproves the claim that they are intentionally targeting civilian targets and civilians."

He clarified that all military equipment is a legitimate target, and the duty of the Ukrainian military is to remove it from residential areas. And if they don't, it means "violating the laws of war."
 
[emoji338] Biden told Zelensky that the United States plans to provide Ukraine with $500 million in direct budget assistance - White House
Wakitoa hivi pesa wabongo wanawaona kama wamarekani wana pesa chafuuu kulisha kila na kuhudumia kila taifa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilhali kwa sasa tu kwenye budget aliyotangaza Biden siku 2 zilizopita ina deficit ya zaidi ya Dollar Trillion 1.15 ambayo itabidi ikopwe [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]

snapshot_search_1648658948741.jpg
 
Wayukraine wa Wang'ing'ng'ombe ... Wanashupaza shingo wakati wenzao wanaconvert utajiri wao kwenda Rubles Ili wafanye Biashara na Urusi ..wameshupaza shingo kama wanauza matikiti .... Hawaoni impact ya Urusi Biashara zake kuamua ziwe Kwa Rubles. Hizo Mali walizozi confiscate watazichange Kwa Rubles na zitainflux Urusi kwenyewe. Wajinga ndio wali wao lakini tutawaomgezea na matembele pia yawe yao sio wali tu.
 
Back
Top Bottom