Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The Russians again vikoristalis phosphorus shells - today, near Mar'intsy. A dozen fireworks were revealed at the city, they were liquidated by the servicemen of the DSNS.
 
LAP, 30/03/22, consequences of the arrival of "Point", part 1
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Pro Russia mnashida Gani?

Mgogoro wa Sasa na Hadi kupeleka Russia kuivamia Crimea na Yale Majimbo ya Donbass kutaka kujitenga ni baada ya Rais kipindi hicho kukataa kujiunga na EU na kutaka mkopo wa Russia...

Muwege mnatumia akili kureason, Hadi kesho Turkey anataka kujiunga na EU na anachukizwa sana anavocheleweshwa...
Toka katika historia ,Toka kale mturuki au ottoman hajawahi kuaminika.

Huwezi kumuamini mtu anayeweza kukugeuka wakati wowote.

Awe mrusi au waeu hawawezi kumwamini Mtatuki.

Je, unazifahamu sababu zinazofanya umoja wa Ulaya kutoikubali Uturuki?

Unafahamu imepita miaka mingapi Toka waombe kwa mara ya kwanza?

Tuambie lini Crimea ilivamiwa?
Kwa hiyo watu waliofanya referendum na kutaka kuwa nchi huru au wajiunge na urusi ni uvamizi?
Kama hili ni kosa, vipi utauelezea muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliofanywa na viongozi pekee bila kuhusisha raia?

Donbas walitaka kujitenga sawa ila ndio wafanye mauaji kwa raia wa kawaida kwa miaka 8?
Jumuiya ya kimataifa ilikuwa wapi kukemea?
Unafahamu pro Russia walichofanywa huko Mariupol mpaka Odessa?
 
#MalayaRogan Kharkov region: behavior, traditions and appearance of a modern Russian officer
 
Achana na hao, wanatumia simu iliyotengenezwa kwa msaada wa USA, Mama zao wanazaa kwa USAID afu wanajifanya wanapinga
Ishiiiii....we jamaa unajua unachokiongea......kwani hiyo simu unayotumia kuandika hizo pumba USA kumbe ...walikupa bure hukwenda kununua kwa hela yako acha uboya wa kupumbazwa na misaada ya wamarekani nwisho wa siku wanakuja kukwambia muoane vidume kwa vidume kwa sababu unapenda misaada hao .......

Alafh mama zetu walikuwa wana zaa toka enzi kabla hata nchi haijapata uhuru mpaka leo wanazaa vizuri tu
 
Jamaa yupo sahihi.

Hakuna siasa kwenye majeshi duniani kote.
Kule Kuna amri au kwa lugha ya kale kakisiwa kadogo kaliopo Magharibi mwa Ulaya ni Order.

Askari Dunia nzima hufuata amri katika utumishi wao.

Nao wanajua kifo kwenye uwanja wa vita ama wakitetea nchi yao au wakilinda maslahi ya Taifa lao ni heshima ya juu.

Vita inapoanza na Kutokea wakagoma hao ni maadui wa taifa hivyo kosa la usaliti au uhaini watahusika na kuonekana waoga maisha Yao yote.

Na Warusi kwa asili ya tamaduni zao, askari anayeogopa vita ana hadhi ya chini kuliko mbwa.

Halafu askari 12 ni nini?
Wana athari gani katika jeshi lenye askari ambao wapo fiti na kutumikia zaidi ya Milioni Moja.
Akiba wapo zaidi ya Milioni 2.

Sioni mantiki ya hoja yako.

Hakuna kikosi kinachosonga mbele bila kuwa na mission na uelekeo wa nini wanaenda kufanya,
Acha propaganda.
Kaka hupo up-to-date.
Kwanza kabisa nchi nyingi duniani pamoja na Tume la Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa zinatambua kisheria haki ya kukataa huduma ya kijeshi . Maana uhuru wa utashi (freedom of conscience) inakubaliwa na nchi zote kama haki ya kibinadamu - kama mtu ana chukua amri USIUE kama kipimo chake anaweza kuona huduma ya kijeshi hailingani na utashi wake.
Pili hata Urusi ina sheria inayolinda haki ya kukataa huduma ya kijeshi. (Federal Law No. 113-ФЗ of July 25, 2002 "On Alternative Civil Service") Ingawa kwa masharti makali kidogo, mwenye kukataa anapaswa kuandika kabla ya kukaguliwa kwa huduma ya kijeshi, halafu anafanya huduma ya kijamii ya miezi 21, ilhali askari anahudumia miezi 12 tu.
Sijui elimu yako kuhusu hadhi ya mbwa nchini Urusi umepata wapi?

Kuhusu siasa na jeshi:
Hujui kwamba kote duaniani maafisa wa jeshi wakiandaliwa kwa ngazi za juu na kujifunza nadharia za vita, wanapitilia pia kitabu cha Clausewitz wanaposoma "Vita ni mwendelezo wa siasa kwa mbinu tofauti".

Kuhusu amri: ndiyo mwanajeshi anapaswa kufuata amri halali. Akifuata amri ambayo ni kinyume cha sheria, yuko hatari ya kushtakiwa. Kuna nchi ambako makosa ya aina hii yanafichwa tu, kuna nchi ambako wanajeshi wanashtakiwa na kuhukumiwa walitekeleza amri inayovunja sheria.
 
Mkuu hakuna jipya katika hilo maana kila mtu hujiona yuko sawa katika kile anacho kiamini.
Wakati una washangaa hao mbona hujaishangaa Marekani anaye pinga uvamizi wa Urusi wakati yeye ndio bingwa wa kuvamia nchi nyingine?

Mbona hujaishangaa Israel inayo pinga Iran kuwa na silaha za kinyukilia mpaka anatishia kupigana vita ambavyo vitagharimu maisha ya maelfu ya watu wakati wao wamezirundika kwenye maghara yao ya silaha?
Mbona hajaishangaa CCM inayo kataza vyama vingine kufanya siasa wakati wao wao wanafanya?
Ukijiuliza hayo maswali utagundua ya kwamba hali halisi ya siasa ni tofauti na wengi wanavyo itafisiri na kuielewa.

Hata humu wale wale walio kuwa wana unga mkono na kushangilia vitendo vya uvamizi wa Marekani ndo wapo humu wanajifanya kupinga uvamizi wa Urusi akiwemo ww hapo.
Kwa hiyo hakuna cha ajabu hapo.

Mm sija mkataza huyu dada kulalamikia vitendo vya Urusi dhidi ya Ukraine ila nilikuwa namwambia hali halisi ya kitu kinacho itwa siasa maana nime mfatilia kwenye michango yake amekuwa akielezea siasa kama kitu kidogo tu cha kawaida wakati siasa ni kitu kilicho ficha mambo mengi yanayo julikana na yasio julikana, mazuri kwa maovu.
Mkuu ni kweki Mimi nimekuwa nikushsngilia uvamizi wa US au Israel !
Unaweza kuleta ushahidi..Mimi siyo mnafiki na ndio maana hsta kwenye mifano nimewataja kwa ubaya..Au maybe Unanifananisha na member humu.
 
Labda nitakuwa nime kufananisha mkuu maana kuna mtu humu ID yake ina picha kama ya kwako huwa anashabikia kila anacho kifanya USA mashariki ya kati.
 
Duniani ogopa Teknolojia na watu.

Kwa mtu asiye kujua atadhani unamchukia kweli Vladirmovich pekee.

Ila watu wa aina yako, huwa wanachukia sera, mifumo na aina ya siasa isiyo ya kiliberali.

Sisemi ya kidemokrasia maana hata Marekani yenyewe hakuna hiyo demokrasia kama wanavyotuhubiria huku?

Kwao wanaamini thamani ya tamaduni ya Magharibi ni bora.

Hivyo Kuoa mke zaidi ya mmoja si sawa, ila wanaume wakipandana kwao ruksa.

Tujiulize je Boris Yeltsin alipokuwa raisi wa Urusi. Ilichukiwa Urusi au Boris

Je kipindi Cha Nikita Khrushchev? Alichukiwa Nikita au Urusi.

Kumbe unagundua hawa wazungu Wana sababu zao za asili za kumchukia Urusi Toka kale.
Na haijalishi raisi Gani yupo Ikulu,
Ila Kuna watu wamemezeshwa sumu na sumu imewaingia kama ndugu yetu mleta mada aka mwanamkiwa.

Nawasilisha
sehemu sina uhakika unalenga nini.
Kuhusu maswali yako: ndiyo, nimepata picha kwamba Putin aliamua kuanzisha vita hii na hivyo anawajibika kwa uharibifu na umwagiliaji damu wa Warusi na Waukraine. Naamini kutunza amani pia haki ina maana.

Kipindi cha Yeltsin: sijaona kwamba wakati wake watu wengi walichukia Urusi.
Kipindi cha Khrushchev: nikisoma vitabu vya siku zile, napata picha watu walihofia zaidi ukomunisti, siasa yake ya kuharibu utamaduni, udikteta wa chama,

Hii sentensi "Wazungu wana sababu za kuchukia Urusi" - sielewi. Warusi si Wazungu?
Nimejifunza kuna watu katika Ulaya Mashariki ambao hawapendi Urusi - kwa sababu katika historia ya Poland, Estonia, Latvia, Lithuania, sehemu za Ukraine, nchi za Kaukazi (Georgia, Azerbaijan, Waislamu wa Asia ya Kati ) wanakumbuka Urusi kama mkoloni aliyevamia nchi zao na kuzitawala kwa ukali - kabla ya ukomunisti na wakati wa ukomunisti.
Si historia yangu, si hisia zangu - ila mimi ni nani kuwaambia wanakosa?

Wazungu wengine - mara nyingi nasikia kuna urafiki kwa Urusi, au hisia chanya, au wengine hawajali...
 
The West is in a fix: Putin Gives Friday Deadline for Dumping the Dollar! (Video)👇.
Yes,Putin has Chessmated the West,while the smoky dimentia Joe and his US,Davos/WEF and the West do not have any checkers.Yea,Putin is the Chessmaster!Very brilliant.

You are being redirected...
je inawezekana umechelewa kidogo kushangilia? Maana checkmate na kuanzishwa kwa utawala wa rubel tayari vimeahirishwa. Putin aliongea na Mjerumani Scholz kwa simu akamwambia makampuni yake yaendelee kulipa kwa Euro. Pole.
 
Ha ha haa,aisee una hasira sana,Huna tofauti na Ramzan Kadriokov.
Huyu jamaa kaomba ruhusa kuendelea na vita Hadi malengo yake yatimie.
Anaponda sana mazungumzo hayo,anasema hayana fa

Labda nitakuwa nime kufananisha mkuu maana kuna mtu humu ID yake ina picha kama ya kwako huwa anashabikia kila anacho kifanya USA mashariki ya kati.
Maybe maana pia Mimi sipo active sana humu jukwaani ,muda mwingi nakuwa msomaji tena ni Mara chache nachangi ukiomdoa katika Uzi huu (nyingine ni nadra) na naweza kukaa hats miezi nisichangie chochote.
Ukiona nachangia basis ujue kuna kitu nakifahamu na nataka niweke wazi.
Thanks kwa kuelewa!
 
Ukrainian forces continue to capture, or at least stumble across, examples of some of Russia's most sophisticated ground combat hardware as the conflict in the country rages on. Just this past weekend, pictures emerged online showing a Russian radar-equipped air defense command post vehicle, part of a larger system known as Barnaul-T, that Ukrainian troops found during a counteroffensive in the northeastern Kharkiv region. The fact that this vehicle is intended to serve as a sensor, command and control, and communications node all rolled into one could make it a particularly invaluable source of intelligence for Ukrainian and foreign governments, as well as be a significant operational loss for Russian forces.
Screenshot_2022-03-31-00-26-11-657_com.facebook.katana.jpg
 
Kaka hupo up-to-date.
Kwanza kabisa nchi nyingi duniani pamoja na Tume la Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa zinatambua kisheria haki ya kukataa huduma ya kijeshi . Maana uhuru wa utashi (freedom of conscience) inakubaliwa na nchi zote kama haki ya kibinadamu - kama mtu ana chukua amri USIUE kama kipimo chake anaweza kuona huduma ya kijeshi hailingani na utashi wake.
Pili hata Urusi ina sheria inayolinda haki ya kukataa huduma ya kijeshi. (Federal Law No. 113-ФЗ of July 25, 2002 "On Alternative Civil Service") Ingawa kwa masharti makali kidogo, mwenye kukataa anapaswa kuandika kabla ya kukaguliwa kwa huduma ya kijeshi, halafu anafanya huduma ya kijamii ya miezi 21, ilhali askari anahudumia miezi 12 tu.
Sijui elimu yako kuhusu hadhi ya mbwa nchini Urusi umepata wapi?

Kuhusu siasa na jeshi:
Hujui kwamba kote duaniani maafisa wa jeshi wakiandaliwa kwa ngazi za juu na kujifunza nadharia za vita, wanapitilia pia kitabu cha Clausewitz wanaposoma "Vita ni mwendelezo wa siasa kwa mbinu tofauti".

Kuhusu amri: ndiyo mwanajeshi anapaswa kufuata amri halali. Akifuata amri ambayo ni kinyume cha sheria, yuko hatari ya kushtakiwa. Kuna nchi ambako makosa ya aina hii yanafichwa tu, kuna nchi ambako wanajeshi wanashtakiwa na kuhukumiwa walitekeleza amri inayovunja sheria.
Naomba nikujibu kama ifuatavyo:

Freedom of thought kwa jina jingine
Ni haki ya kuwa na mawazo tofauti,
Naomba nikuulize swali je kabla hajajiunga na jeshi au baada ya kujiunga na jeshi?
Kumbuka wakati unanijibu ukumbuke askari hao wanaongozwa na code of conduct zao ambazo zipo kwenye military doctrine.

Kipengele Cha pili;
Njia nyingine ya kuserve mother Russia ni civilian duties, ila hapa hujaonyesha jinsi hawa nao wanahusiana vipi na swali la kwanza, hawa ni raia typical.

Upo sahihi duniani kote maafisa wanafunzi wakiwa military college zao hufundishwa pia siasa.
Ila siasa hii haiwatoi kwenye viapo vyao Wala kwenda kinyume code of conduct zao.
Hivyo hao waliogoma huko Urusi kwanza watapelekwa mahakama za Kijeshi.

Embu nielezee wewe amri Hali Kijeshi ni ipi?
Je ni Ile itokayo kwa kufuata chain of command au ipi?
Na kama chain of command basi aliyoitoa ni raisi wa shirikisho la Urusi?
Je ni halali au sio halali?

Kuhusu hiyo hadhi ya chini kuliko mbwa.
Taifa lenye tamaduni ya kivita kama Urusi, halafu anatokea askari wao anagoma unafikiri Wana hadi Gani hao ndani ya tamaduni za kirusi.

Malizia na rules of engagement in military conflict halafu uje na majibu
 
sehemu sina uhakika unalenga nini.
Kuhusu maswali yako: ndiyo, nimepata picha kwamba Putin aliamua kuanzisha vita hii na hivyo anawajibika kwa uharibifu na umwagiliaji damu wa Warusi na Waukraine. Naamini kutunza amani pia haki ina maana.

Kipindi cha Yeltsin: sijaona kwamba wakati wake watu wengi walichukia Urusi.
Kipindi cha Khrushchev: nikisoma vitabu vya siku zile, napata picha watu walihofia zaidi ukomunisti, siasa yake ya kuharibu utamaduni, udikteta wa chama,

Hii sentensi "Wazungu wana sababu za kuchukia Urusi" - sielewi. Warusi si Wazungu?
Nimejifunza kuna watu katika Ulaya Mashariki ambao hawapendi Urusi - kwa sababu katika historia ya Poland, Estonia, Latvia, Lithuania, sehemu za Ukraine, nchi za Kaukazi (Georgia, Azerbaijan, Waislamu wa Asia ya Kati ) wanakumbuka Urusi kama mkoloni aliyevamia nchi zao na kuzitawala kwa ukali - kabla ya ukomunisti na wakati wa ukomunisti.
Si historia yangu, si hisia zangu - ila mimi ni nani kuwaambia wanakosa?

Wazungu wengine - mara nyingi nasikia kuna urafiki kwa Urusi, au hisia chanya, au wengine hawajali...
Naomba niludie labda Mmarekani wewe utanielewa.

Wazungu wa Magharibi wakiongozwa na Mwingereza Wana uhasama wa asili na Urusi kubali kataa.
Unatambua kuanzia mfaransa mpaka mjerumani wote walishawahi kuivamia Urusi?
Kilichotokea ni nini?

Hizi hazihusiani kabisa na huu uvamizi wa juzi?
Huko south osetia wanataka wajiunge na urusi, vipi hawa wanataka kutawaliwa upya?
Kuna njia za kijasusi zinatengenezwa ili watu waichukie Urusi pamoja na Uchina.

Lakini hofu ya Mmarekani unaijua ni nini? Iwapo Urusi ikiungana na Ulaya?

Unafahamu kwa nini raisi wa Sasa wa Marekani anaishupalia Ukraine? Je ana maslahi gani?

Urusi pekee itakayo pendwa na Magharibi ni Ile iliyo dhaifu tu, kwa nini?

Kipindi Cha vita baridi tulikuwa tunasema jamaa ni makomunisti, je mzozo wa Sasa unasababishwa ni nini?
Maana hapa Ukraine anataka kama kisingizio
 
Back
Top Bottom