F9T
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,684
- 4,973
nakunukuu "Ukiwa EU Russia hana shida na wewe , yeye anashida na NATO" .EU Sio NATO.
Urusi Hana shida na Eu.
Kuna Wana NATO wengine sio wa EU,mfano Ututruki.
Na kuna Wana NATO wengine sio wa EU mfano UK.
Na kuna wa EU wengine sio wa NATO mfano Finland na Sweden.
Ukiwa EU Russia Hana shida na wewe,
Yeye ana shida na NATO.
Harafu wakati huo mnasema NATO anamuogopa RUSSIA. inahitajika akiri ya Dr shika kuwaelewa warusi wa ulyankulu .